William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,464
Hapo ndipo unapokosea, wapi mimi nimewalaumu hao vijana moja kwa moja? Mimi napinga uchunguzi uliofanya na BOT kwamba ulikuwa ni udanganyifu.
Why bother kuwa na chuki binafsi wakati hata nikitaka ajira hapo BOT nitapata tu kwa kutumia qualifications zangu?
Hoja hapa ni BOT na watoto wa Vigogo,
Ndugu yangu Mtanzania, ninaomba ku-retire na hu mjadala maana hizo juu zote ni quote zako mwenyewe, sina zaidi la kuongeza.