Watoto wa Mwanza wanalawitiana

Watoto wa Mwanza wanalawitiana

Aiseeee... imani hizi " ukifikaga mwezi mtukufu sihuwaga mnasema kuwa shetani anafungwa minyorolo" sasa hao Watoto nao vipi " au shetani wao " ametoroka"""?
Kwani hao watoto waislam,shetani anafungiwa kwa waislam wanafunguliwa kwa wenye Imani nyengine
 
Analala lakini ukiwa karibu nae kama kuna chochote tofauti utagundua mapema. Kuna wazazi hawana time na watoto wao.

Umewahi kumwambia mwanao kuhusu mambo haya mabaya?!
 
Haijakutokea wewe..sasa kwa taarifa baba wa huyo mtoto alitaka kumuua ndugu yake..mke ndio aliokoa jahazi. Sasa sijui hapo nani ana roho ngumu!
Ah! Kwa mwanaume ni normal condition hiyo lzm ureact kuonesha ww ndo faza hausi
 
Umeisoma hiyo comment yako #8 ? Umeona kua ulianzisha udini kwa ufinyu wako wakifikra wakati mada haihusiani na udini?

Haya ni mambo/matatizo ya kijamii na ni janga kubwa kwa kizazi cha sasa,so,kama GT ulitakiwa uje na solution ya kutatua hilo tatizo na sio kucomment tu ili uchekewe! Ukisha chekewa unapata faida gani? Ndio tatizo linakua limekwisha? Jitafakari kisha think big.
ndio maana kwakutambua " kuwa ni janga kubwa lakitaifa nikabaki na shangaa"" kuona kuwa linatendeka katika huu mwezi " mwezi ambao " inasemekana kuwa shetani huwa anafungwa minyorolo "" hiyo suala la udini umeliona wewe kutokana na uwezo wako wakufukiri ambao unakimo cha zakayo " umesahau kuwa dini yako " inakwambia kuwa maana ya dini nimfumo mzima wa maisha ya mwanadamu "" kwa mantiki hiyo linapotokea tatizo lolote katika jamii inakupasa wewe mwenye dini ambayo inasema kuwa dini nimfumo wa maisha ya mwanadamu...urejee katika mafundisho ya dini yko kisha uangalie sabbu inayopelekea matatizo kama hayo kuweza kutokea ....tena sio kutokea tu bali kutokea ndani ya mwezi huu mtukufu " mwezi ambao kwa mujibu wa imani yako shetani huwa ana fungwa minyorolo " ....so kati yangu mimi na wewe nani mwenye akili fupi"" ? mimi ambaye naishi katika mazingira yakuangalia maandiko ya dini yako yanasema nini linapojitokeza tatizo katika jamii"" au wewe ambaye " umeamua kuachana na maandiko yako " nakuangalia matatzo yakijamii yanapojitokeza kwa mtazamo wako "" lakini hapo hapo unathubutu kumshambulia mtu anaye yaangalia matatizo ya kijamii kupitia imani yko "" ?

uko vizuri timamu kweli au umerogwa ??
 
Kwani hao watoto waislam,shetani anafungiwa kwa waislam wanafunguliwa kwa wenye Imani nyengine
mkuu"...limetumika neno shetani na sio mashetani " sindio ?? hakuna wingi katika hiyo kauli "" ...nachomaanisha kama shetani anakuwa amefungwa minyorolo " anaweza vipi kujinasua nakwenda kudhuru watu wengine ...halafu mpaka muda huu si mimi wala wewe "" ambaye anajua imani ya hao Watoto ....so hatujui kamba wao ni Christian .Hebrew" muslim au budha
 
Umetaja mwezi mtukufu kwahiyo "target" yako ilikuwa waislam,sifikirii kama wakristo,Jews huu ndio mwezi wao mtukufu
 
Ni bora kwa sasa upate taarifa mwanao wa kiume Malaya anakula wanawake ila sio kuambiwa mwanao wa kiume anapigwa mashine.
Yote ni mabaya kwa mvulana,awe anapiga wanawake au anapigwa yeye.
Akianza kupiga wanawake ktk umri mdogo ndo mwanzo wa hata yeye kuwa anapiga wanaume wenzake au kupigwa yeye na wanaume wenzake
 
Sio rahisi ujue

Sasa mtoto wa kike unamuonea aibu ww mama yake...unakuwa kauzu tu unamwambia

Sisi wakat tunakua home maza alikuwa kauzu sana yani saa nyingine tunakula mezani anatuambia kuhusu mambo ya ukimwi na wanawake utasikia akija mtu umempa mimba hapa ndio ukatafute nyumba ya kuishi,ukipata ukimwi unarudi kijijini

Mimi mwanangu wa kiume huwa namuuliza mambo yeye ndio anaona aibu anacheka
 
Hiyo taarifa kuna sehemu imesema dini ya hao watoto ni ipi?

Unazo statistics kuonyesha kua mwezi fulani maasi ndio yameongezeka?
Kuna wengine huko wanafungishana ndoa za mashoga kwenye nyumba za ibada unalijua hilo?

Au ulicomment tu ili uonekane kua na wewe upo jf ili usisahaulike?
Au wale mapadri wanao walawiti watoto wadogo wa kiume huko ulaya huwa wanafanya mwezi wa ramadhani ?
 
Umetaja mwezi mtukufu kwahiyo "target" yako ilikuwa waislam,sifikirii kama wakristo,Jews huu ndio mwezi wao mtukufu
refer Mtume muhhamad nimtume wa uma wote " pasipo kujali kuwa una muamini au haumuamini "" kwahiyo anachokitamka " kama kitakuwa nikinga basi kitakuwa nikinga kwa wote " endapo wakiwa katika misingi ya kinga hiyo ..kama kitakuwa ni maagizo basi yatakuwa ni maagizo kwa wote pasipo kujali " Tabaka la imani ya mtu " na watu wote watakwenda kuulizwa waliyafanyia vipi kazi maagizo ya huyu mtume wao "" iwe unamuamini au haumuamini ""
 
Dah sijajua kuwa wanakuwa na mihemko gani hadi wapandane wao kwa wao.

Mwanangu wa kiume nataka nianze kumpiga brush namna ya kula wasichana asije akazubaa.
Utampiga mwenyewe brush! uuuwi njooni muumsikie huyu.
 
ndio maana kwakutambua " kuwa ni janga kubwa lakitaifa nikabaki na shangaa"" kuona kuwa linatendeka katika huu mwezi " mwezi ambao " inasemekana kuwa shetani huwa anafungwa minyorolo "" hiyo suala la udini umeliona wewe kutokana na uwezo wako wakufukiri ambao unakimo cha zakayo " umesahau kuwa dini yako " inakwambia kuwa maana ya dini nimfumo mzima wa maisha ya mwanadamu "" kwa mantiki hiyo linapotokea tatizo lolote katika jamii inakupasa wewe mwenye dini ambayo inasema kuwa dini nimfumo wa maisha ya mwanadamu...urejee katika mafundisho ya dini yko kisha uangalie sabbu inayopelekea matatizo kama hayo kuweza kutokea ....tena sio kutokea tu bali kutokea ndani ya mwezi huu mtukufu " mwezi ambao kwa mujibu wa imani yako shetani huwa ana fungwa minyorolo " ....so kati yangu mimi na wewe nani mwenye akili fupi"" ? mimi ambaye naishi katika mazingira yakuangalia maandiko ya dini yako yanasema nini linapojitokeza tatizo katika jamii"" au wewe ambaye " umeamua kuachana na maandiko yako " nakuangalia matatzo yakijamii yanapojitokeza kwa mtazamo wako "" lakini hapo hapo unathubutu kumshambulia mtu anaye yaangalia matatizo ya kijamii kupitia imani yko "" ?

uko vizuri timamu kweli au umerogwa ??
Wewe dada bila shaka una matatizo sio bure,naona ya mbele unayapeleka nyuma na ya nyuma unayapeleka mbele kisha unakuja kujifunga wewe mwenyewe! Nadhani uwezo wako wakupambanua mambo ni mdogo sana,naona unaandika mlolongo mrefuu sijui hata kama unajua unachokiandika lakini?
 
Back
Top Bottom