Watoto wa Mwanza wanalawitiana

Watoto wa Mwanza wanalawitiana

Hizi dini zinatupa tabu mnoo, mtu anaropoka hali hajui kitu ndani yake wala hana elimu juu ya jambo hilo,
Binafsi nikiona jambo linatatiza hata kama ni la upande wa pili nitatafuta mtu anielekeze kisha nitachanganya akili za kuelezwa na zangu mwenyewe, km jambo sina elimu nalo huwa nakubali kukaa kimya kuliko kuongea hovyo.
Ubarikiwe mkuu,ndio maisha yanavyotakiwa kua hivyo,big up.
 
Kuna madogo moro wale wa mtaani nilipewa stori kuwa kuna makonda na madereva wa daladala huwa wana wafumua marinda.

Sasa siku moja nikiwa napata msosi pale Wami, akaja dogo mmoja anaomba nimnunulie chakula.

Dogo nikamnunuliaa na kuanza kumdadisi. Dogo alisema huwa anafanyiwa hivyo kila siku, na kashazoea.

Mama yake hajui yupo wap, na hana ndugu yoyote. Nikwasababu nilikuwa bado mwanafunzi sikujua hata namsaidiaje.

Hawa madogo wa mtaani wakiume washaharibiwa sana
 
Bora hata wewe mkuu umekuja na solution badala ya lawama,big up mkuu.
wewe Jamaa kweli Tomaso ...hahaaa..nilikuwa sitaki kukujibu " kwa sababu sikutaka kupenda kuharibu huu Uzi ...na kuingiza maswala ya udini ..LA kini maswali yako yanaonyesha kuwa unauoungufu mkubwa mnoo wakile unachokiamini ....
 
Kama hili suala lilikuwa linakusumbua ungeuliza hata mwenye elimu nalo upate kujifunza ndugu yangu, kuliko kubeza hali hujui kitu.
hahaa..makaveli umepanic in short sinaga desturi ya kuzumgumza jambo ambalo silijui..."" mpaka nimeongea hivyo niwazi najua nilichokiwasilisha
 
Unamlindaje mtt wakati yupo shule huko
Haya we zembea tu. Sio mashuleni tu hata majumbani wanaharibiwa..don't trust anyone even your relatives. Kuna mtoto dar alikuwa anafanyiwa kitu kibaya na baba yake mdogo, just imagine na tayari ameshaharibika hana uanaume tena.
 
Hiyo taarifa kuna sehemu imesema dini ya hao watoto ni ipi?

Unazo statistics kuonyesha kua mwezi fulani maasi ndio yameongezeka?
Kuna wengine huko wanafungishana ndoa za mashoga kwenye nyumba za ibada unalijua hilo?

Au ulicomment tu ili uonekane kua na wewe upo jf ili usisahaulike?
kwenye imani ya kiislam inaaminika kuwa mtume muhhamad mimtu wa uma wote " na ndiye mtume wa mwisho "" hivyo basii ni wazi utakuwa unakubaliana nami kuwa mtume wa uma wote anapoongea jambo basi ni mafundisho ya watu wote pasipo kujali kuwa wana muamini au Hawa muamini "" ........sasa basi hoja yangu ni hii"" hata kama ikiwa hao Watoto imani yao ni pinzani na uislam " hiyo haiharamishi " uhalali wa mtume kwao " wala hai haramishi uhalali wa mafundisho ya mtume kwao pia....."" MTUME anasema kuwa ikifika mwezi mtukufu shetani huwa ana fungwa minyorolo na means hushindwa kuweza kuzuia ushawishi wake wa kuyafnya maasi ya weze kutendeka ....""

so waweza kuniambia kuwa kauli hii haiwahusu watu ambao wanaimani tafauti na mtume " wakati tunaambiwa kuwa mtume ni wauma wote " wanao muamini na wsio muamini ....waweza kunaimbia kuwa maasi hayo yaliyofanyika kwa hao vijana yapo supported na nani wakati shetani ambaye huwa anaya support amefungwa minyorolo katika huu mwezi ....?? au shetani wapo wengi kiasi kwamba aliyepigwa minyorolo nimmoja ila wengine haijawezekana kukamatwa ..!?ndio maana tunaona hao Watoto wakiendelea kufanya maasi katika huu mwezi ...?
 
Back
Top Bottom