Watoto wa kiume waruhusiwe mapema?

Watoto wa kiume waruhusiwe mapema?

you are very wrong!!!!!!! check red, na kabinti kako kakuletee tu mirijali kama saba hivi na ukasisitize tu kuwavalisha comndoms??????

We have our own traditions, we have to abide them. Mbona middle east, ASEAN regions and other countries in asia wanaweza?


lat year pakistani had 67 HIV positive, na walipiga kelele sana kwa nini imekuwa 67 while they knew it was 66. Hapo hakuna suala la kusema ni dini yao ya uislam bali wanashikilia traditions zao. Hata sisi tunaweza tatizo letu ni kuiga vitu vya Ulaya na Marekani. Na hasa Hollywood life style ambayo ni ya kwenye sinema tu.
Middle east na Asia wanaoa mapema sana na pia kuna research mbalimbali zinazoonesha kuwa black africans wana sex drive kubwa sana kulinganisha na hao light skinned people. Kwa hiyo inawezekana siyo sahihi sana kulinganisha middle eastern people na black africans for that matter. Ni maoni tu............
 
Middle east na Asia wanaoa mapema sana na pia kuna research mbalimbali zinazoonesha kuwa black africans wana sex drive kubwa sana kulinganisha na hao light skinned people. Kwa hiyo inawezekana siyo sahihi sana kulinganisha middle eastern people na black africans for that matter. Ni maoni tu............

Mkuu Thanks for clarification especially sexual drive. Ndiyo maana nimezingatie kushika traditions kwa sababu tukishika traditions zetu tutaoa mapema, pengine yaweza kusaidia. Mojawapo ya vikwazo vya wengi kuchelewa kuona ni kudream mambo ya ulaya na USA yanayo sababisha sherehe za harusi kuwa ghali mno na wengi kuamua kuvuta muda hasa wakristo.
 
Hakuna sababu ya kuanzishwa mapema. Tufuate mila, bibi yangu alio;ewa akiwa na miaka 16 na babu 18. Turuhusu waoane mapema. Swala la shule na profession search ndio linasumbua dunia ya sasa kiasi cha muda wa kuoana kuwa mkubwa. Vijana wasubiri mpaka miaka ya ishirini na inawezekana tu ndipo wadate. Wazungu hizi tabia za watoto kuleta wavulana au wasichana nyumbani inawasumbua lakini wafanyeje. Wanashukuru ukimwi kwao ni kidogo! Tusiwaige ila kama uko huko kazi kweli kumsomesha mtoto kuwa kwetu haiwezekani!!
 
mimi nafikiria kabisa kuwapa ruksa watoto wa kiume walete
wanawake nyumbani ni sahihi.....kuanzia miaka 15 walete tu warembo mradi wafundishwe
kutumia condoms.....

but maybe i am wrong......
Sasa mkuu ina maana hata ukiwa na mtoto wa kike ni ruksa kuleta watoto wa kiume home kwako?
 
The boss; so you think its oright for your son to screw others ppl's daughters but its not right for your girl to b scrwd?:twitch: I have trouble making out what are you trying to say here.. I guess it is wise to teach your son the cons of teen Sex...and it is so stupid to think that boys cant be virgins and if they are ; then they are susceptible to be gays. :twitch:

Thanks God am not your wife Boss I would have smack u for trying to put our son in to trouble... Let me try to mentions the cons of teens sex

1. He will have a sexual past and that sexual past could come back and haunt him. how would it be to find out the girl he slept with is pregnant? he will be risking pregnancy even using protection.. u dont want your son to take such a big responsibility..dont u?
2. Of course, he is at risk of contacting some type of sexual disease, even if he do use protection, chances will still be there..
3. If he do not sleep with someone as a teenager, this means that he has good morals for himself.
4. The wedding night will be wonderful and will be very memorable, especially if the both of them are still virgins.
6. He will be saving himself for the right person to come in his life, which really does mean something.
 
mimi nafikiria kabisa kuwapa ruksa watoto wa kiume walete
wanawake nyumbani ni sahihi.....kuanzia miaka 15 walete tu warembo mradi wafundishwe
kutumia condoms.....

but maybe i am wrong......

Boss,wewe unaruhusu kijana wangu rijali amlete binti yako nyumbani kwangu amkamue?

Amlete binti yako?Kila akiaga anaenda twisheni amlete amkaze?
 
Mmmmh, hii The boss hiyo Familia za Kiarabu mbona mageni sana hayo kwenye masikio yangu,sisemi kua hawawezi kufanya lakini sio Tabia zao hao sijui watakua Warabu wa wapi..
 
Back
Top Bottom