Watoto wa kambo

Watoto wa kambo

Pole.
Angekua amebalehe ningekwambia labda kuna kitu anahitaji.
 
kama unahisi utapata shida kumlea basi cha kufanya ni akija jaribuni kumpeleka boarding school awe anakuja likizo tu
Unapaswa kufahamu boarding siyo vituo vya kulelea watoto, mtoto wako unapaswa kumlea mwenyewe kwenye stage muhimu za umri.

Mimi nakubaliana na bording school kuanzia level ya secondary na si vinginevyo.
 
Pole dada. Kwa mtu ambaye hajawahi kuwa mtoto wa kambo au kuishi nae ni vigumu kuelewa. Mimi nimewahi kuwa na mdogo wa kambo. Tulianza kuishi nae akiwa na miaka 7. Mamake alifariki akiwa na miaka 2. Babake ni "negligent parent". Yule mtoto hakuwa na maadili, alikuwa na kila tabia mbaya (uchafu, udokozi, wizi, uzururaji, uongo, uzembe shuleni n.k). Mamangu alikuwa na upendo wa dhati na huruma juu. Alitumia kila njia kumridhisha mtoto na kujaribu kumrudisha kwenye mstari. Babake muda hana. Akitoka alfajiri anarudi usiku. Akiambiwa matatizo ya mtoto hayatilii maanani. Barua za mzazi kuitwa shule zikija baba haendi, anaenda mama. Mtoto alikuwa anaiba mpaka malaki ya hela na vifaa vya ndani lakini hata apigwe vipi hasemi anakopeleka. Alikuwa anaweza kutoroka nyumbani siku 2 na akirudi hata mumfanyeje hasemi alikokuwa. Babake aliwahi kumpeleka polisi ili wamsaidie kuhoji lakini wapi. Majirani kama kawaida kudandia treni kwa mbele wakazua kuwa mama anamtesa yule mtoto. Hayo maneno wanamwambia baba mtu, baba mtu anakuja kumuwakia mama. Mama akawa mbaya kwa mtoto wa kambo, majirani, mume na ndugu za mwanaume. Kwa ufupi yule yule mtoto alikuja kufika sekondari, akaendeleza tabia mbaya za utoro na wizi. Siku moja akatoroka. Aliporudi shuleni mwalimu wa malezi akajidai kumsaidia kwa kuongea nae kama mzazi. Si akamkaribisha nyumbani kwake ili amuweke karibu? Hahahaaaa,,,,mtoto akakubali ukarimu wa mwalimu akamshukuru kwa njia ya kumwibia laki zake 2 na kamera na ukawa ndo mwisho wa shule. Akakimbilia kusikojulikana kwa miezi 6 kisha akaibukia kijijini kwa babu zake na baba zake. Akachukuliwa na babake mkubwa. Akawaonyesha rangi baba mkubwa akamtimua. Kila anakoenda wanamtimua. Ndo wakaanza kujipendekeza kwa mama na kumuuliza alikuwa anamuwezaje!

Turudi kwangu. Mie mwenyewe huyo baba wa kambo na mtoto wake sikuwa nawapenda. Niliwachukia, nikachukia nyumba ila sikuwa na pa kwenda. Yule baba alikuwa anajipendekeza na maneno mazuri na zawadi na vijipati sijui birthday yangu, sijui nimefaulu masomo lakini kadri anavyojipendekeza mi ndo nazidi kumchukia. Nilikuwa nawaona visirani wamekuja kuharibu furaha yangu na amani yangu. Nikiona mama yangu anavyoteseka na wakati mwingine namuona akilia mo ndo nazidi kuwachukia. Huyu baba nilikuja kumwachia moyoni nikiwa mtu mzima.

Niliwahi pia kusoma makala zilizohusisha interviews za watoto wa kambo. Wengi walisema hawakuwahi kuteswa na mama zao wa kambo ila wao ndo walikuwa visirani. Mmoja alikiri kuwa anaishi kwa kushtakiwa na dhamira yake na alishawahi hata kwenda kwenye kaburi la mama yake wa kambo kwenda kumuomba msamaha. Mama yake wa kambo alikuwa akijitahidi kumpenda ikiwa ni pamoja na kumnunulia vitu vingi na vizuri kuliko watoto wake wa kuwazaa, lakini aliishia kumdharau na kumsingizia uongo kwa baba yake. Wachache walisema waliteswa na mama zao wa kambo.

Yote katika yote kulea mtoto wa kambo ni changamoto kubwa. Haijalishi wanaooana ni single parents au mmoja wao hana mtoto. Amani ya nyumba yenye mtoto wa kambo inategemea vitu vifuatavyo:
1. Tabia binafsi ya mtoto (kuna watoto ni wazuri tu hata wakae na nani, na kuna watoto ni wagumu hata kwa wazazi waliowazaa).
2. Mahusiano ya huyo mtoto na wazazi wake wa kuwazaa (yanahusiana na namba 3).
3. Aina ya mzazi wa huyo mtoto (authoritarian, authoritative, negligent au permissive).
4. Aina ya mzazi wa kambo (kama hizo hapo juu na uwezo wake wa subira, uvumilivu na uelewa). Usiogope kumwambia mtoto "mimi si mama/baba yako lakini nitapenda hapa uishi hivi na hivi.....Pia usitarajie mabadiliko ya haraka. Pia usitake akuite baba au mama. Muache mpaka atakapojiskia amani moyoni mwake kuyatamka hayo maneno. Mzazi wa kambo usijiingize kwenye maswala ya kumuadibisha mtoto wa kambo, hata kama ungependa sana awe kama walivyo wengine. Maswala ya uadibishaji aachiwe baba/mama mzazi mpaka mtoto atakapokuwa amekukubali. Mzazi wa kambo usijifarague kutaka ku-win acceptance ya mtoto wa kambo kwa kujipendekeza pendekeza. Unapojipendekeza ndo anazidi kukuona mwenye hatia, na yeye kuona anachofanya ni sahihi.

5. Mahusiano ya wazazi walioachana. Je yana afya? Au mama/baba aliyeachwa bado ana kinyongo hivyo anamtumia mtoto kama fimbo ya kuwaadhibu mzazi mwenzie na mkewe/mumewe? Hili litategemea uwezo wa mzazi mwenza kuweka msimamo na mipaka ili kuilinda familia yake dhidi ya mzazi mwenza aliyeachwa. Mzazi aliyeko na mtoto ndiye anayeweka mipaka kati ya mtoto na mzazi aliyeachwa.

6. Mahusiano ya wazazi husika (mzazi na mzazi wa kambo). Wanapendana? Wana umoja? Mara nyingi mzazi wa kambo kama hapendwi au kuheshimiwa na mumewe/mkewe huhamishia hasira kwa mtoto.
7. Na kadhalika
 
Kuliko kumuumiza mtoto kwa kushindwa mpa mapenzi ya kweli ni bora aende kule apate mapenzi ya.dunia.... kwa mimi sidhani kama na moyo wa kulea mtoto wa mwanamke hasa aliyekula tamu yangu... kuliko kuwa mnafki bora aende boarding tu apate furaha ya walimu
 
Binafsi umenchanganya sana na aina ya kauli zako! Naangalia umri wa mtoto, nafananisha na tuhuma zako, nakosa pa kushika! Daah, sijui lkn mtoto wa miaka 8, tena wa kukutana nae w.end hadi w.end, daaah!
Mkuu hayajakukuta bado na usiombe yakukute. Assume ndo hivyo halafu nipe mawazo chanya
 
Ombwe hili litakoma ikiwa good (Wo)man tutakapoanza kufuta ile mentality ya "huyu ni mtoto wa kambo!
 
Mkuu umeongea mengi sana yanayo make sense sana kwangu. Nashukuru
 
Kuliko kumuumiza mtoto kwa kushindwa mpa mapenzi ya kweli ni bora aende kule apate mapenzi ya.dunia.... kwa mimi sidhani kama na moyo wa kulea mtoto wa mwanamke hasa aliyekula tamu yangu... kuliko kuwa mnafki bora aende boarding tu apate furaha ya walimu
Bado unachukulia ndoa ni swala la kupigwa dudu la hasha unajidanganya sana ni bora ujaribu to win love kwa mtoto wa kambo kuliko hiyo option yako.

Na usisahau sisi ni binadamu na tunakufa.
 
Tatizo liko kwako mwenyewe.. kwa nini umekuja humu JF?? Angekuwa mwanao ungekuja JF kutuambia umemshindwa mwanao!!! Akili yako tayari imeshajenga hofu kwa mtoto wa kambo hapo unatakiwa utulize akili na mchukulie yule kama mwanao lolote linalojitokeza malizeni na baba mhusika.. mtoto anakosa gani na wewe yaonyesha vigezo na mashariti umevikubali kwahyo malizaneni huko huko.. baadhi ya wanawake niwa ajabu sana yupo tayari ku-adapt mtoto huko nje lakini sio damu ya mumewe.. huwa sielewi kabisa
 
Watoto wa kambo ni miiba katka familia, kama huamini angalia wapalestina, watoto wa rahabu mjakazi, leo hii wamekua miiba, hata wapewe nn ni wakaidi na wachokozi tuu. Uzi wako uwe funzo kwa wanaochepuka bila condom. Pole sana kwa kupewa adhabu na mumeo maana kama angalitulizana ajue anataka nn yasingekukuta. Vumilia ndio maisha ulichagua mama.
 
Umenena, hapomtoto hajafika kwenye teens - jinsi zilivyokua na challenges wallah sipatipicha.

64Bits put yourself in the shoes of this poor 8 years old kid, mwanzoni alikuaanapata mapenzi ya baba na mama kwa pamoja, ghafla maisha yakabadilika in hislittle mind anaona jinsi ulivyo divert love of his father towards his mother,believe me or not mtoto huyo anaumia na hii inamuathiri psychologically. Hivyoanahitaji mapenzi na support ya kutosha.Ondoa kabisa ile dhana eti mama yake ana mpa maneno akuchukie, kama kweli weweni mwema kwake una mapenzi ya kutoka moyoni (sio ya unafiki alimradi tu) mtoto hataaambiwe kitu gani na nani hawezi kuwa against you.

Kumbuka
1. watoto ni kama wanyama (pets) aki-sense unamapenziya kweli kwake na yeye automatically ata reciprocate. Kama akiona uko hostile tegemeathe same.
2. Watotoumri huo hupenda kujaribu/ kutest zali, aone response yako mtu mzima,ukimchekea hata kama ni mwanao wa kumzaa utavuna mabua na atakupanda kichwanikwa mfano hiyo ya kucheza mpira ndani, mwambie madhara yake kwa upole siolazima u-shout kila mara. Hakikisha siku uki-shout hata yeye ajue mh kweli hapaleo nimechemsha mama whatever s/he calls you mpaka amefoka kweli nimeharibu,atajirekebisha.
3. Pamojana udogo wake anaelewa na kusikia kila unachomuongelea either yeye au mamayake, pia anaona jinsi unapokua na mwanao wa kumzaa namna unanyobehave.

Mwisho ushauriwangu, mpende, mpende, mpende kama mwanao wa kumzaa, na umuombee kwa Mungu. Fikiriahili, kuna leo na kesho na wewe usijejikuta huyo mwanao wa kumzaa anakujakulelewa na mama wa kambo kutoka kwa baba huyo huyo (sio maombi yangu ikutokeeni angalizo tu).

Unajua mkuu kwa hali ya kibinadamu mwenzio nilifika mahali nikawa nahisi ku withdraw tu. Sio rahisi kuandika kila kitu hapa jamvini. Mwanangu wa kumzaa ni under a year so ni ngumu kwa yeye kuona usawa maybe wa jinsi nnavyo mtreat mwenzie. Ukweli ni kwamba issue za step mom and step kids sio issues rahisi kuzi discuss openly na ur partner na ndani ya familia, kuna a lot of unsaid stuff watu wanakaa nazo hawajui pa kuanzia kwa kuwa unahofia mazungumzo haya yatachukuliwa vipi na mwenzio. Binafsi mimi nimefaidika sana na mawazo yenu kwa kuwa nimepata perspective mbali mbali za suala hili
 
Tatizo liko kwako mwenyewe.. kwa nini umekuja humu JF?? Angekuwa mwanao ungekuja JF kutuambia umemshindwa mwanao!!! Akili yako tayari imeshajenga hofu kwa mtoto wa kambo hapo unatakiwa utulize akili na mchukulie yule kama mwanao lolote linalojitokeza malizeni na baba mhusika.. mtoto anakosa gani na wewe yaonyesha vigezo na mashariti umevikubali kwahyo malizaneni huko huko.. baadhi ya wanawake niwa ajabu sana yupo tayari ku-adapt mtoto huko nje lakini sio damu ya mumewe.. huwa sielewi kabisa

Asante mkuu naheshimu mawazo yako
 
Hata watoto wa kuzaa wenyewe wanagomaga kula na wanacheza sehemu hatarishi...

Akigoma kula muache jua huyo hana njaa...as long as haujamyima msosi...

Akitaka cheza jikoni funga jiko mtoe nje...simple...
Wewe una mtoto mdogo ndio maana hujui...hata huyo wako akiwa mkubwa kidogo atafanya hayo hayo...

Asante wote kwa mawazo yenu. Wengi wameuliza anakuja weekend tu tunagombanaje sasa?
Ni hivi mfano mtoto anaweza kutaka kucheza mahali hatarishi mfano jikoni etc, mtoto anaweza kugoma kula na vitu kama hivyo so kuna saa inabidi umueleze na ikibidi uwe mkali for his own sake. Kama hizo zawadi jamani nanua sana nikipita nikiona kinachomfaa na kama nina pesa namnunulia. Mi sio mchapaji kwa kweli wala sijawahi kumchapa na fimbo kuna siku nilimfinya kidogo kwenye makalio baada ya kuwa hasikii anacheza na mpira ndani na kuna saa unapitiliza jikoni na kulikuwa na mafuta ya moto. Mimi sipo hapa kuchukua nafasi ya mamake wala siitaki, ila ndo hivyo tena. Inaniuma sana kuona kila nilifanyalo kwake halina wema, so why bother? Nihangaike na mwanangu tu nijitazamie mambo yanavyokwenda manake mama mtu pia anawapigia simu ndugu za mume wangu kusema mi namtesa mtoto. Acha nikae nae tu kama yai, anachotaka atapewa, sitasema kitu labda aje anifunue sketi yangu ndo ntasema! Mweeee! Kua uyaone!
 
Point ! Binafsi ni Mtoto niliyelelewa na Mama wa Kambo , naye alinikuta wakati akiolewa na Baba yangu , Namshukuru Mungu sana Mama yangu alinitoa kwa upendo kwake na kuhakikisha anamahusiano mazuri sana na huyu Mama aliyenilea , kutoka Moyoni Yule Mama alinilea kama Mwanaye Mpaka ikafika kipindi ikija Likizo nikiambiwa niende kwa Mama yangu Mzazi nagoma , Yaani Mpaka Namaliza secondary ndio nikamgeukia Mama yangu , Ninachoweza kusema Mtoto wa Kambo Mbaya sana ukikuta Mama yake au ndugu wa Mama yake wanamjaza Maneno , na kama Mama yake bado alikuwa na Mpango na Baba yake , kwa maana Bado anavizia vizia , Ila kama Mama yake alishaendelea na Maisha yake huwezi kuta akakusumbua maana kama vipi si akakae na MAMA yake , Pole sana Nimeolewa na Mimi nikakutana na Mtoto wa Kambo miaka sita hivi , Nilikaa naye wiki tu Nikamwambia Mume wangu aniwie radhi naomba either aoe Mwanamke Mwingine kwa Upendo kabisaaa au Mtoto akakae na Mama yake , Finaly mtoto akarudishwa kwa Mama yake , tukawa shwariiii, Nikianza kukusimulia hivyo vitimbi Utazimia wewe , Nikashangaa sana Maana na Mimi ninaexperience na hata Mume wangu nilikuwa namsimulia Mama yangu wa kambo alivyonilea , So Binafsi nakuelewa sana Kuna Watoto wa Kambo Balaaaa
wangu acha leo ngoja nisome comments
ni nlijua mhanga peke yangu kumbe tuko wengi
nna mengi sana ila hawa watoto ukiwapata fitna!
wanakua fitna kweli
na mwingine baba ndo ukute yuko upande wa wanawe
aisee wana mmu mi sishauri mtu kuolewa na mme mwenye mtoto au watoto
ni mtihani jamani sanaaa!!
 
Binafsi umenchanganya sana na aina ya kauli zako! Naangalia umri wa mtoto, nafananisha na tuhuma zako, nakosa pa kushika! Daah, sijui lkn mtoto wa miaka 8, tena wa kukutana nae w.end hadi w.end, daaah!

kaka usibishe yaani watoto ni zaidi ya uwajuavyo
tena akijua anasikilizwa ndo mtihani inazidi
na anajua we si mama yake
waongo yaani mimi simshauri mtu aolewe na mwanaume mwenye watoto
jamani hawana jema
 
Pole mwaya;
Shikilia tu hiyo ndoa yako mkononi vizuri;
zaidi sana inaweza kukuponyoka wakati wowote.
........Mtoto wa kambo >>>> Bakari, loooh!!!
 
Pole dada. Kwa mtu ambaye hajawahi kuwa mtoto wa kambo au kuishi nae ni vigumu kuelewa. Mimi nimewahi kuwa na mdogo wa kambo. Tulianza kuishi nae akiwa na miaka 7. Mamake alifariki akiwa na miaka 2. Babake ni "negligent parent". Yule mtoto hakuwa na maadili, alikuwa na kila tabia mbaya (uchafu, udokozi, wizi, uzururaji, uongo, uzembe shuleni n.k). Mamangu alikuwa na upendo wa dhati na huruma juu. Alitumia kila njia kumridhisha mtoto na kujaribu kumrudisha kwenye mstari. Babake muda hana. Akitoka alfajiri anarudi usiku. Akiambiwa matatizo ya mtoto hayatilii maanani. Barua za mzazi kuitwa shule zikija baba haendi, anaenda mama. Mtoto alikuwa anaiba mpaka malaki ya hela na vifaa vya ndani lakini hata apigwe vipi hasemi anakopeleka. Alikuwa anaweza kutoroka nyumbani siku 2 na akirudi hata mumfanyeje hasemi alikokuwa. Babake aliwahi kumpeleka polisi ili wamsaidie kuhoji lakini wapi. Majirani kama kawaida kudandia treni kwa mbele wakazua kuwa mama anamtesa yule mtoto. Hayo maneno wanamwambia baba mtu, baba mtu anakuja kumuwakia mama. Mama akawa mbaya kwa mtoto wa kambo, majirani, mume na ndugu za mwanaume. Kwa ufupi yule yule mtoto alikuja kufika sekondari, akaendeleza tabia mbaya za utoro na wizi. Siku moja akatoroka. Aliporudi shuleni mwalimu wa malezi akajidai kumsaidia kwa kuongea nae kama mzazi. Si akamkaribisha nyumbani kwake ili amuweke karibu? Hahahaaaa,,,,mtoto akakubali ukarimu wa mwalimu akamshukuru kwa njia ya kumwibia laki zake 2 na kamera na ukawa ndo mwisho wa shule. Akakimbilia kusikojulikana kwa miezi 6 kisha akaibukia kijijini kwa babu zake na baba zake. Akachukuliwa na babake mkubwa. Akawaonyesha rangi baba mkubwa akamtimua. Kila anakoenda wanamtimua. Ndo wakaanza kujipendekeza kwa mama na kumuuliza alikuwa anamuwezaje!

Turudi kwangu. Mie mwenyewe huyo baba wa kambo na mtoto wake sikuwa nawapenda. Niliwachukia, nikachukia nyumba ila sikuwa na pa kwenda. Yule baba alikuwa anajipendekeza na maneno mazuri na zawadi na vijipati sijui birthday yangu, sijui nimefaulu masomo lakini kadri anavyojipendekeza mi ndo nazidi kumchukia. Nilikuwa nawaona visirani wamekuja kuharibu furaha yangu na amani yangu. Nikiona mama yangu anavyoteseka na wakati mwingine namuona akilia mo ndo nazidi kuwachukia. Huyu baba nilikuja kumwachia moyoni nikiwa mtu mzima.

Niliwahi pia kusoma makala zilizohusisha interviews za watoto wa kambo. Wengi walisema hawakuwahi kuteswa na mama zao wa kambo ila wao ndo walikuwa visirani. Mmoja alikiri kuwa anaishi kwa kushtakiwa na dhamira yake na alishawahi hata kwenda kwenye kaburi la mama yake wa kambo kwenda kumuomba msamaha. Mama yake wa kambo alikuwa akijitahidi kumpenda ikiwa ni pamoja na kumnunulia vitu vingi na vizuri kuliko watoto wake wa kuwazaa, lakini aliishia kumdharau na kumsingizia uongo kwa baba yake. Wachache walisema waliteswa na mama zao wa kambo.

Yote katika yote kulea mtoto wa kambo ni changamoto kubwa. Haijalishi wanaooana ni single parents au mmoja wao hana mtoto. Amani ya nyumba yenye mtoto wa kambo inategemea vitu vifuatavyo:
1. Tabia binafsi ya mtoto (kuna watoto ni wazuri tu hata wakae na nani, na kuna watoto ni wagumu hata kwa wazazi waliowazaa).
2. Mahusiano ya huyo mtoto na wazazi wake wa kuwazaa (yanahusiana na namba 3).
3. Aina ya mzazi wa huyo mtoto (authoritarian, authoritative, negligent au permissive).
4. Aina ya mzazi wa kambo (kama hizo hapo juu na uwezo wake wa subira, uvumilivu na uelewa). Usiogope kumwambia mtoto "mimi si mama/baba yako lakini nitapenda hapa uishi hivi na hivi.....Pia usitarajie mabadiliko ya haraka. Pia usitake akuite baba au mama. Muache mpaka atakapojiskia amani moyoni mwake kuyatamka hayo maneno. Mzazi wa kambo usijiingize kwenye maswala ya kumuadibisha mtoto wa kambo, hata kama ungependa sana awe kama walivyo wengine. Maswala ya uadibishaji aachiwe baba/mama mzazi mpaka mtoto atakapokuwa amekukubali. Mzazi wa kambo usijifarague kutaka ku-win acceptance ya mtoto wa kambo kwa kujipendekeza pendekeza. Unapojipendekeza ndo anazidi kukuona mwenye hatia, na yeye kuona anachofanya ni sahihi.

5. Mahusiano ya wazazi walioachana. Je yana afya? Au mama/baba aliyeachwa bado ana kinyongo hivyo anamtumia mtoto kama fimbo ya kuwaadhibu mzazi mwenzie na mkewe/mumewe? Hili litategemea uwezo wa mzazi mwenza kuweka msimamo na mipaka ili kuilinda familia yake dhidi ya mzazi mwenza aliyeachwa. Mzazi aliyeko na mtoto ndiye anayeweka mipaka kati ya mtoto na mzazi aliyeachwa.

6. Mahusiano ya wazazi husika (mzazi na mzazi wa kambo). Wanapendana? Wana umoja? Mara nyingi mzazi wa kambo kama hapendwi au kuheshimiwa na mumewe/mkewe huhamishia hasira kwa mtoto.
7. Na kadhalika

nandera asante
 
Bado unachukulia ndoa ni swala la kupigwa dudu la hasha unajidanganya sana ni bora ujaribu to win love kwa mtoto wa kambo kuliko hiyo option yako.

Na usisahau sisi ni binadamu na tunakufa.

ndoa nikupigana madudu na usidanganye jamii.... kama ndoa ni kulea mbona mkikosa kidudu mnatoka nje kufuata kupigana madudu.... kupiga dudu ndicho kinachowaunganisha nai dudu na si pesa wala watoto mkikosa dudu mnaachana tu....
 
Kwani kufuata dud nje kumeshavunja ndoa ngapi? Madudu yanafuatwa na bado ndoa inaendelea kama kawa...

Hata mimi nakubaliana na Matola...ndoa ikishakuwa na kids ni zaidi ya dudu...

Back
Top Bottom