Watoto wa kambo

Watoto wa kambo

Kwani kufuata dud nje kumeshavunja ndoa ngapi? Madudu yanafuatwa na bado ndoa inaendelea kama kawa...

Hata mimi nakubaliana na Matola...ndoa ikishakuwa na kids ni zaidi ya dudu...

Hamna mwanaume akikosa dudu anakuwa chizi au mkali sana.... dudu ndio chanzo cha michepuko na ndoa haiwezi shikiliwa.na mtoto dudu ndio inayoshikilia ndoa. Matola anaongea tu ngoja aoe afu akose dudu uone atakavyochepuka......
 
Last edited by a moderator:
Ushasema Mtihani... nawe umezidisha sana kumkanya,kumuongoza na kumridhisha niyo maana inakurudia !
 
wewe wala usijitie kiherehere kumjali, mwache afanye alichotumwa na mamake....wala usijipe headache
mtoto wa age kama hiyo akae na mamake hadi akili yaje ikue kwenye miaka 13 hivi. mie nampenda mtoto wangu wa kambo sana tu hadi baba mtu akataka kumleta tuishi naye, nikapiga stop nikasema bado mdogo kuishi mbali na mama. sitaki balaa
 
Kuishi na mtu kazi sana.....kuwa muangalifu tu.Me nimewahi ishi na mama wa kambo.Sikuelewana nae mpk ndoa ilimshinda
 
Hamna mwanaume akikosa dudu anakuwa chizi au mkali sana.... dudu ndio chanzo cha michepuko na ndoa haiwezi shikiliwa.na mtoto dudu ndio inayoshikilia ndoa. Matola anaongea tu ngoja aoe afu akose dudu uone atakavyochepuka......
Kama unadhani ndoa ni kupigana dudu basi huna exposure kubwa na haujatembea au subiri uzeeke utaelewa vizuri, na wale ambao wana ndoa na muda mrefu hawajapigana dudu na hawalali chumba kimoja umewahi kujiuliza kwa nini hawavunji ndoa zao?
 
Last edited by a moderator:
Kwani kufuata dud nje kumeshavunja ndoa ngapi? Madudu yanafuatwa na bado ndoa inaendelea kama kawa...

Hata mimi nakubaliana na Matola...ndoa ikishakuwa na kids ni zaidi ya dudu...

Kwanza kwa uzoefu wangu Mwanamke akiwa na mtoto hasa mtoto mmoja na ndio mtoto wake wa kwanza mapenzi yake huamia kwa mtoto na dushe kwake si muhimu kuliko mtoto wake.
 
Dawa ya watoto wa hivyo ni kuwachukua bado wadogo unamlea unamkuza lakini pia inategemea malezi aliyotokanayo huko kwa mama yake hua ni mtihani kweliii
 
asante wote kwa mawazo yenu. Wengi wameuliza anakuja weekend tu tunagombanaje sasa?
Ni hivi mfano mtoto anaweza kutaka kucheza mahali hatarishi mfano jikoni etc, mtoto anaweza kugoma kula na vitu kama hivyo so kuna saa inabidi umueleze na ikibidi uwe mkali for his own sake. Kama hizo zawadi jamani nanua sana nikipita nikiona kinachomfaa na kama nina pesa namnunulia. Mi sio mchapaji kwa kweli wala sijawahi kumchapa na fimbo kuna siku nilimfinya kidogo kwenye makalio baada ya kuwa hasikii anacheza na mpira ndani na kuna saa unapitiliza jikoni na kulikuwa na mafuta ya moto. Mimi sipo hapa kuchukua nafasi ya mamake wala siitaki, ila ndo hivyo tena. Inaniuma sana kuona kila nilifanyalo kwake halina wema, so why bother? Nihangaike na mwanangu tu nijitazamie mambo yanavyokwenda manake mama mtu pia anawapigia simu ndugu za mume wangu kusema mi namtesa mtoto. Acha nikae nae tu kama yai, anachotaka atapewa, sitasema kitu labda aje anifunue sketi yangu ndo ntasema! Mweeee! Kua uyaone!


kwa mtizamo wangu wa haraka ni kwamba uko na negative thinking juu ya mtoto wa kambo..kwa mwendo huu utaangaika sana na hutakuwa na amani na huyo mtoto na mwisho utamchukia na mmeo na ugomvi wake hautaisha.
 
Kama unadhani ndoa ni kupigana dudu basi huna exposure kubwa na haujatembea au subiri uzeeke utaelewa vizuri, na wale ambao wana ndoa na muda mrefu hawajapigana dudu na hawalali chumba kimoja umewahi kujiuliza kwa nini hawavunji ndoa zao?

Dudu muhimu
 
Tatizo liko kwako mwenyewe.. kwa nini umekuja humu JF?? Angekuwa mwanao ungekuja JF kutuambia umemshindwa mwanao!!! Akili yako tayari imeshajenga hofu kwa mtoto wa kambo hapo unatakiwa utulize akili na mchukulie yule kama mwanao lolote linalojitokeza malizeni na baba mhusika.. mtoto anakosa gani na wewe yaonyesha vigezo na mashariti umevikubali kwahyo malizaneni huko huko.. baadhi ya wanawake niwa ajabu sana yupo tayari ku-adapt mtoto huko nje lakini sio damu ya mumewe.. huwa sielewi kabisa

Nahisi nawe unakuwa mkali kwa kuwa unaamini mama wa kambo ni mbaya. Hakuna ubaya mtu kutafuta msaada juu ya malezi. Kwani hii forum si ya mahusiano? Kila siku tuongelee migegedo tu? Mbona juzi kuna mama kaja huku kuuliza kuhusu mwanae anayeonyesha tabia zinazomtia shaka? Kuomba msaada ni kawaida ndo maana kwa wenzetu wanaoishi (sisi tumejificha) kuna taasisi na wataalamu wa familia na malezi. Na kuna madarasa ya kufundisha kuhusu malezi maana ni jukumu zito, gumu na muhimu kuliko tunavyolichukulia. Ukiingia mtandaoni utakuta elimu ya kutosha kuhusu namna ya kuishi na mtoto wa kambo. Ku-adapt mtoto wa nje ni rahisi kwa sababu unapunguza yale matatizo yanayohusisha muingiliano wa watu wanne (wewe, mzazi mwenza, mtoto na mwenzi). Huogopi kumuadhibu maana huna wasiwasi kuwa atakuchukia au utamuudhi mzazi wake ambaye ni mwenzi wako.
 
mhhhh mtihani kweli..hili jambo si la kulichukulia kirahisi aisee,huwa nawaza mengi sana
..
 
As long as mama yake mzazi yu hai,basi kibarua unacho bibie.Tena kizito mno.wala sikutii moyo,kama situation itazidi kuwa mbaya ukiwa naye,mwambie mumeo ampige stop safari nyingi za kwenda kwa mama yake,na hilo likileta utata,basi akakae na mamake ahudumiwe akiwa huko,lakini bibie nikuambie ukweli tu,mahusiano na mtu aliyezaa na mtu mwingine,na mtalaka wake yungali hai,huwa magumu mno,na hata akiwa amekufa,bado ndugu wa yule mtoto wataleta shida,hasa pale unapokuwa mtu mwenye misimamo na unaishi na mtoto kama mtoto na sio rafiki.pole mama,Yesu alisema unapaswa kutafakari jambo kabla hujalianza,lisije kukushinda njiani,tafakari sana hasa ukiuchunguza msimamo wa mumeo.ukiona walakini,fanya maamuzi magumu sasa.naongea that with a lot of experience.pole sana.
 
Nahisi nawe unakuwa mkali kwa kuwa unaamini mama wa kambo ni mbaya. Hakuna ubaya mtu kutafuta msaada juu ya malezi. Kwani hii forum si ya mahusiano? Kila siku tuongelee migegedo tu? Mbona juzi kuna mama kaja huku kuuliza kuhusu mwanae anayeonyesha tabia zinazomtia shaka? Kuomba msaada ni kawaida ndo maana kwa wenzetu wanaoishi (sisi tumejificha) kuna taasisi na wataalamu wa familia na malezi. Na kuna madarasa ya kufundisha kuhusu malezi maana ni jukumu zito, gumu na muhimu kuliko tunavyolichukulia. Ukiingia mtandaoni utakuta elimu ya kutosha kuhusu namna ya kuishi na mtoto wa kambo. Ku-adapt mtoto wa nje ni rahisi kwa sababu unapunguza yale matatizo yanayohusisha muingiliano wa watu wanne (wewe, mzazi mwenza, mtoto na mwenzi). Huogopi kumuadhibu maana huna wasiwasi kuwa atakuchukia au utamuudhi mzazi wake ambaye ni mwenzi wako.

Asante kwa hili. Maanake...! Teheee kaazi kweli kweli mada nyeti hii...
 
Aisee thats very complex sio siri, kwa wale mnaopanga kuolewa na watu wenye watoto be very careful. Haiwezekani 100% ukafit kumfutahisha likewise hawezi 100% kukufurahisha vumilia tu.

Sishauri kbs aina hizi za ndoa isipokuwa huyo mzazi alifariki! Vumilia tu, utafanyeje sasa?

Sasa ukiwakuta wanne au watano wamefiwa na mama yao halafu ni wakorofi balaa basi hapo ndiyo kimbembe. Utadhani wewe ndiye umemuua mama yao vile wanavyokuona.
 
Mtoto wa miaka 8?
Mmh...
Kuna kitu hakipo sawa kwenu wewe, baba ma mama yake.
Mchukueni akae hapo kwako.
Pia jitahidi kumchukulia kama mtoto tu
 
Back
Top Bottom