Watoto wa Dar wanakosa nidhamu

Ukitaka kuhakikisha hili, panda basi za mwendokasi.

Utawakuta bila aibu hata kidogo wamekaa kwenye viti na hawataki kuwapisha watu wazima. Yaani mtoto mdogo kabisa kakaa kwenye siti bibi yake kasimama na kuegemea mlingoti.

Sijui wanatoka katika familia zipi ambazo nidhamu ni msamiati.
Hata mimi nashangaa wanawake hawatupishi sisi wanaume kwenye viti vya mabasi/ daladala.

Yaani mwanamke anathubutu kukaa wakati Mwanaume amesimama tu.

Kule kwetu sijawahi kushuhudia haya tangu kuzaliwa.
 
Ukitaka kuhakikisha hili, panda basi za mwendokasi.

Utawakuta bila aibu hata kidogo wamekaa kwenye viti na hawataki kuwapisha watu wazima. Yaani mtoto mdogo kabisa kakaa kwenye siti bibi yake kasimama na kuegemea mlingoti.

Sijui wanatoka katika familia zipi ambazo nidhamu ni msamiati.
Huku mjini mtoto ni uliyemzaa,
wa nwenzio mkubwa mwenzio!
 
Hakuna watu wasio na huruma kama hao unaowaita watu wazima. Unakuta katoto ka darasa la kwanza kameamka saa 12 kapo kituoni kanawahi shule kanarudi nyumbani saa 8 kanasinzia huku kamesimama alafu kuna mijitu mizima imekaa hapo hata kumuita ampakate inashindwa..mwendo kasi raha kweli wacha na wao wafaidi seat. Ukiona seat zimejaa subiri gari lingine.
 
Niko bongo ila mara ya mwisho najua nauli ya mwanafunzi ilikuwa 100. Kwani bei gani?
Mkuu mbona umeeleweka kabisa, hata ungeandika sh. 50 tulishaelewa kuwa mwanafunzi analipa hela ndogo kuliko mtu mzima. Achana na hao wanaotaka kuleta ubishani pasipo na ubishi. Ndio hao hao wanaoinua watoto wadogo kwenye siti ili wakae wenyewe.
 
Watu wazima wanafki na roho mbaya juu...akishalipa mauli yake gawezi pisha mtu mzima zaidi yake atajikausha akijifanya haoni af akiwa mtoto wa uniform ndio povu linawatoka kabisa......maaadili wakubwa ndio wameharibu mpaka kwa watoto.....waache wakae....
 
Ukitaka kuhakikisha hili, panda basi za mwendokasi.

Utawakuta bila aibu hata kidogo wamekaa kwenye viti na hawataki kuwapisha watu wazima. Yaani mtoto mdogo kabisa kakaa kwenye siti bibi yake kasimama na kuegemea mlingoti.

Sijui wanatoka katika familia zipi ambazo nidhamu ni msamiati.
hehe
Nahisi unapiga sana nyeto.
Nani anajali kama mtu mzima kasimama?
Hilo ni tatizo la ubongo wako.
Nahisi maisha yako hayasogei mbele.
Unaamua kufuatilia watu wasiokuhusu.
 
Kusema ukweli kabisa huwa nakerwa na watu wazima wanaopanda basi linapoanzia afu anataka apishwe ..mimi nitampisha yule mama mwenye mtoto mdogo,mama mjazito na mtu mzima sana hawa wengine inabidi tusameheane.
 
Mjamzito,mlemavu na mzee ndo watu wa kupewa kipaumbele..Hao wengine ni mwendo wa timing tu..
 
Wazee above 60 na handicap watengewe viti vyao na viwekwe alama kabisa
Ndivyo nchi za wenzetu wanavyo fanya!
 
L

LIFO &FIFO accounts sidhan kama accounts wanaisoma sana deep kama watu wanaosoma procurement daa hiZi fifo na lifo Zilinitesa enzi nipo chuo daaah tuuu haaahaa
ha ha ha
hakuna aisee mtu niliyekutana naye ambaye halalamikii hizi FIFO na LIFO iseee.

na kuna yale makorokoro kwenye statistics wanaita standard deviation, yaani mpaka leo nikyaonaga nasikia kichefu chefu.

Sijui hata kwa nini walikuwa wanayafundishaga aisee
 
Wazee above 60 na handicap watengewe viti vyao na viwekwe alama kabisa
Ndivyo nchi za wenzetu wanavyo fanya!
Mabasi ya mwendokasi yana designated area kwa disable na wamama wenye pram....lakini wabongo nahisi hata waendesha mradi wa hayo mabasi hawazijui zile siti kwanini zimewekwa tofauti.
 
Khaa, hii post imeingiaje humu jamani au haina jukwaa lake la maadili..?!
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom