Watoto wa 2000 vs Mishangazi

Hata siku moja ktk maisha yangu sijawahi kutegemea Mwanamke na hii imenifanya niheshimike popote hata awe na hela kiasi gani siwezi kudowea hata sh Mia yake
Mfano Rihanna na yule mwamba ASAP yule mwana nae anachakalika sio home boy, hapo anajigongea mshangazi Rihanna KIROHO safi, na heshima juu
 

Attachments

  • VID_20260807_235233_968.mp4
    11.6 MB

Attachments

  • Screenshot_20260808-144648.jpg
    58.6 KB · Views: 7
  • Screenshot_20260808-144632.jpg
    147.3 KB · Views: 6
  • Screenshot_20260808-144620.jpg
    65.1 KB · Views: 7
Mostly ya wanaume wapenda mishangazi ni wanaume wenye vipato duni na wasiopenda kujishughulisha wanatafuta mishangazi ya kuwalea na kuwatunza mjini

NB: ni utafiti uliofanyika
 
Kuuliza siyo ujinga?
Hivi mwanamke kuitwa mshangazi ni mwili mkubwa- Bonge? au umri mkubwa- age go? Au vyote kwa pamoja?


Cc: Mahondaw
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…