M23 watwaa mji wa Nyanzale kule DRC

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,660
48,437
Jamaa wanazidi kukatiza ndani, busara itumike ya kurejea kwenye meza ya mazungumzo, kila nikiona maelfu ya wakimbizi wanavyoteseka moyo unaniuma sana.
===================

The M23 rebel group has taken over the town of Nyanzale in eastern Democratic Republic of Congo, killing at least 15 people in bomb attacks, a local official said on Wednesday.

Nyanzale is about 130 km north by road from the provincial capital Goma, and is home to thousands of internally displaced people who fled fighting in surrounding areas.
 
Hakuna kukaa nao dawa ni kuwachapa hawa mbwa. Hapo bado wanapambana na jesh la Congo subiri wanaume waingie kazin utasikia kilio
 
Jamaa wanazidi kukatiza ndani, busara itumike ya kurejea kwenye meza ya mazungumzo, kila nikiona maelfu ya wakimbizi wanavyoteseka moyo unaniuma sana.
===================

The M23 rebel group has taken over the town of Nyanzale in eastern Democratic Republic of Congo, killing at least 15 people in bomb attacks, a local official said on Wednesday.

Nyanzale is about 130 km north by road from the provincial capital Goma, and is home to thousands of internally displaced people who fled fighting in surrounding areas.
Hao wala usijali. Tuachieni, hamna kuongea nao.
 
===================

The M23 rebel group has taken over the town of Nyanzale in eastern Democratic Republic of Congo, killing at least 15 people in bomb attacks, a local official said on Wednesday.

Nyanzale is about 130 km north by road from the provincial capital Goma, and is home to thousands of internally displaced people who fled fighting in surrounding areas.
Wacha unafiki wewe roho gani inakuuma?Una roho gani kwanza wewe?Unajidai kuumwa na roho huku unashabikia watoto na wanawake kuuwawa Gaza.
Binadamu ni binadamu bila kujali dini zao.
Siku nyingine ficha unafiki wako na jali ubinadamu kwanza.
Wisdom is chasing you but you are always faster.Dundee United.
 
Utakuta mtu anafurahia watu kuuwawa gaza ila anaumia wakongo kweli dini pazia jeusi machoni kwa mwafrika hasa mtz
 
Wacha unafiki wewe roho gani inakuuma?Una roho gani kwanza wewe?Unajidai kuumwa na roho huku unashabikia watoto na wanawake kuuwawa Gaza.
Binadamu ni binadamu bila kujali dini zao.
Siku nyingine ficha unafiki wako na jali ubinadamu kwanza.
Wisdom is chasing you but you are always faster.Dundee United.
Haongelei Ukraine saa hizi kahamia M23.
Kwa sababu wakenya walishindwa anadhani SADC nao watashindwa.
 
Jamaa wanazidi kukatiza ndani, busara itumike ya kurejea kwenye meza ya mazungumzo, kila nikiona maelfu ya wakimbizi wanavyoteseka moyo unaniuma sana.
===================

The M23 rebel group has taken over the town of Nyanzale in eastern Democratic Republic of Congo, killing at least 15 people in bomb attacks, a local official said on Wednesday.

Nyanzale is about 130 km north by road from the provincial capital Goma, and is home to thousands of internally displaced people who fled fighting in surrounding areas.
Natamani nisikie FARDC na washirika wake nao wameteka walau Kijiji.
Sijajua hawa SAMIDRC wanafanya nn kule kama yapata mwezi na nusu lakini bado m23 wanatamba.
Wanaenendelea kuteka maeneo badala ya kupoteza yale walipokuwa wakishikiria kabla ya SADC kuwasili.

Sipendi kusikika wala kuamini ila inabidi tukubali ukweli kuwa M23 na wanaowasaidia wamejipanga kimkakati zaidi ya maadui zao.

Kifupi nashauri kama hao m23 wameshindikana SAMIDRC watoke humor DRC wawaachie wakongomani wenyewe
 
Nata mani nisikie FARDC na washirika wake nao wametema walau Kijiji.
Sijajua hawa SAMIDRC wanafanya nn kule kama yapata mwezi na nusu lakini bado m23 wanatamba.
Wanaenendelea kuteka maeneo badala ya kupoteza yale walipokuwa wakishikiria kabla ya SADC kuwasili.

Sipendi kusikika wala kuamini ila inabidi tukubali ukweli kuwa M23 na wanaowasaidia wamejipanga kimkakati zaidi ya maadui zao.
Nafikiri kwenye hii "tactical " retreat ya m23 huwa hawateki mji ulio mbele yao
Ila wakikimbia mbele kwa mbele ndio hushika mji tena ,wakikaribiwa nduki tena .mfano wakiona dar ngumu wanakimbilia pwani wanaishika ,pwani ikisogelewa haoooo Tanga hivyo mwisho wa siku watarudi kuleeee kwa mtu mrefu ,
Lakini nataka tu ufahamu haya yote yalijulikana na ndio maana ............ tuishie hapa kwanza.
 
Jamaa wanazidi kukatiza ndani, busara itumike ya kurejea kwenye meza ya mazungumzo, kila nikiona maelfu ya wakimbizi wanavyoteseka moyo unaniuma sana.
===================

The M23 rebel group has taken over the town of Nyanzale in eastern Democratic Republic of Congo, killing at least 15 people in bomb attacks, a local official said on Wednesday.

Nyanzale is about 130 km north by road from the provincial capital Goma, and is home to thousands of internally displaced people who fled fighting in surrounding areas.

Mnafiki nambari one
 
  • Nzuri
Reactions: Tui
Back
Top Bottom