DRC yalalamika kwamba Kagame anawapiga kwa drones

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,654
48,432
Hili liinchi la DRC kuna wakati huwa linaboa, yaani kila siku kulia lia, hako kainchi kadogo size ya mkoa kanawasumbua kivipi, kwani wakiamua kutuma maelfu ya wanajeshi kwenye huo mpaka wa DRC na Rwanda hawataweza kukadhbiti?
Wamesaidiwa na wanajeshi kutoka kote lakini kila siku ni kilio tu.....bakongo kazi kupenda mdebwedo tu.
============================

Dozens of soldiers and civilians have reportedly been killed or wounded in the fighting over the last 10 days.

The Democratic Republic of the Congo has accused Rwanda of carrying out a drone attack that damaged a civilian aircraft at the airport in the strategic eastern city of Goma, the capital of North Kivu province.

Fighting has flared in recent days around the town of Sake, 20km (12 miles) from Goma, between M23 rebels – which Kinshasa says are backed by Kigali – and Congolese government forces.
 
Wanajua kukata mauno. Kucheza Rumba na kunywa pombe tu.
 
Chatter ya Jumuiya ya Afrika Mashariki ina makosa mengi sana.

Haiwezekani nchi wanachama wagombane kisha Jumuiya ikae kimya kama haiwahusu. Pia haiwezekani mwanachama akaendesha harakati ndani ya nchi mwanachama wa Jumuiya.

Pia hakuna kipengele cha KUDUMISHA AMANI baina ya nchi wanachama ndo maana haina protokali ya USALAMA zaidi ya blah blah.

Failures za hizi Jumuiya zinazoundwa na viongozi bila utashi wa raia ni bayana sana
 
Chattee ya Jumuiya ya Afrika Mashariki ina makosa mengi sana.

Haiwezekani nchi wanachama wagombane kisha Jumuiya ikae kimya kama haiwahusu. Pia haiwezekani mwanachama akaendesha harakati ndani ya nchi mwanachama wa Jumuiya.

Pia hakuna kipengele cha KUDUMISHA AMANI baina ya nchi wanachama ndo maana haina protokali ya USALAMA zaidi ya blah blah.

Failures za hizi Jumuiya zinazoundwa na viongozi bila utashi wa raia ni bayana sana
Jumuiya haijakaa Kimya.....
Ila walikuwa tu wanafki.
EAC chini ya Kenya ilipeleka vikosi kulinda amani. Wananchi wa Congo wakawatimua.

Unaendaje kulinda amani ambayo haipo?
Acting like hawamjui nani ni mkorofi.
Kujumuisha Vikosi vya Uganda wakati its Clear ndio hao hao M23 ( kwa mujibu wa Wazalendo ).
Tanzania hatukushiriki unafki huu.

Saiv vipo vikosi vya SADC vikiongozwa na South Africa. Atleast unaona kuna hatua zinapigwa Rwanda anajisogeza kwenye meza ya Mazungumzo.

Solution ni ndogo tu, sema Haitowezekana kwa kuwa Kenya na Tanzania hazijawahi kuwa on the same side of History. Jirani zetu lazima waharibu.....

Rwanda na Uganda ziwekewe Vikwazo mpaka Waache kufund M23.
Hakuna hata pipi kuingia nchi hizo mbili mpaka North kivu kuwe na Amani.
Trust me asubuhi tu, watu wanaweka silaha Chini.
 
Kinshasa gurudumu la Gari likipasuka wanasema ni Rwanda.

Sijawahi kuona watu wanaojua kulalamika kama Wazairwaa aisee!!!
 
Jumuiya haijakaa Kimya.....
Ila walikuwa tu wanafki.
EAC chini ya Kenya ilipeleka vikosi kulinda amani. Wananchi wa Congo wakawatimua.

Unaendaje kulinda amani ambayo haipo?
Acting like hawamjui nani ni mkorofi.
Kujumuisha Vikosi vya Uganda wakati its Clear ndio hao hao M23 ( kwa mujibu wa Wazalendo ).
Tanzania hatukushiriki unafki huu.

Saiv vipo vikosi vya SADC vikiongozwa na South Africa. Atleast unaona kuna hatua zinapigwa Rwanda anajisogeza kwenye meza ya Mazungumzo.

Solution ni ndogo tu, sema Haitowezekana kwa kuwa Kenya na Tanzania hazijawahi kuwa on the same side of History. Jirani zetu lazima waharibu.....

Rwanda na Uganda ziwekewe Vikwazo mpaka Waache kufund M23.
Hakuna hata pipi kuingia nchi hizo mbili mpaka North kivu kuwe na Amani.
Trust me asubuhi tu, watu wanaweka silaha Chini.
Tuachane na nchi zinazo instigate vita. Ziondolewe jumuiyani
 
Back
Top Bottom