watot0 wanampenda

watot0 wanampenda

englibertm

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2009
Posts
9,252
Reaction score
6,211
<button class="modal-btn modal-close js-close" type="button"> </button>

<button class="modal-btn modal-close js-close" type="button">Close </button>
BQdUf9ICQAAXurM.jpg:large
 
<button class="modal-btn modal-close js-close" type="button">Close </button>
BQwP9C7CUAAtsnC.jpg:large
 
<button class="modal-btn modal-close js-close" type="button">Close </button>
BRaq9HWCIAAQ3wv.jpg:large
 
<button class="modal-btn modal-close js-close" type="button">Close </button>
BQH_K3wCcAAaw38.jpg:large
 
<button class="modal-btn modal-close js-close" type="button">Close </button>
BPAWi_eCQAEgFKD.jpg:large
 
Ukiwa na sura kavu hata ujichekesheje watakuwa wanakuangalia tu kwa mbali
 
Watoto wansense sana good spiritss kama umekaa kibabe hata hakusogelei!

Sure I love kids na watoto wakiniona wananipenda...

Kuna siku nlishangazwa jinsi watoto walivo na huruma niko zangu napanda ngazi na kitumbo changu nafanya mazoezi nkawakuta kama watano wamekaa kwa ngazi waliponiona tu wakaambizana wanipishe haraka nlivopita mmoja akaniuliza tuende kukufungulia mlango? Nkawajibu ahsanteni

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Si unaona ehhhh
 
Ukiwa na sura kavu hata ujichekesheje watakuwa wanakuangalia tu kwa mbali
Kama mkapa, Enzi zake sikuwahi kusikia mtoto wa mdoli akileta fyokofyoko eti kwa sbb baba rais!
sasa hv wapiga deal ndo watoto wa rais.....poor wakwere!
 
Ama kweli uongozi mtamu sanaa tena raha kabisa wala huwi na wazo la umauti na ndio maana hapa bongo huwa mtu akiukwa uongozi tuu basi hapo tena huwa hataki tena kubanduka mpaka umchukuwe umauti tena hata kama kazi haiwezi lakini habanduki hapo na mwesho huwa kama surtani wa kisiasa na akidondoka tuu mtoto hukalia kiti chake no tusi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom