KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,830
- 12,291
Tukushauri wakati hatumjui uyo demu, what if ni dada wa atakayekushauri?
Kweli mkuu nashkuru umenisaidia angalau.. Nampenda kweli sa sijui nifanyaje tuwatu na akili.zenu.mnamzingua jamaa hamuwezi kujua Ana malengo gani na huyo dada swala lakumpa mwanamke pesa na.kumla halina tofauti na kuchukua kahaba anaejiuza muda wowote anaomtaka Mimi nazani kutongoza kueshimiwe naamini kuna kitu kingine anakihitaji huyo mtongozaj zaidi ya kuvua chupi na kuacha pengine anamalengo nae lakini sasa Kama ukifanya hivi kuvua chupi huyo mwanamke sizan Kama utakuw na hamu nae tena
mkuu itakua anakuchora tu uyoHabari za majukumu wanafamilia wenzangu wa jf.. Kabla ya yote nitumie fursa hii kuwapa pole kwa msiba mzito uliolikuta taifa letu baada ya kuondokewa na wadogo zetu wapendwa.. Hakika tuwa ombee mungu azilaze roho za marehemu mahali pema peponi Amina...
Kilichonituma kuandika huu ujumbe ni kwamba
Kama wiki mbili iliyopita nilikutana na mrembo mmoja mzuri na alinivutia sana basi bila kupoteza muda mtoto wa kiume nikaomba namba faster.... Kama ilivo kawaida huwezi kumtongoza mtu bila kumleta karibu ili at least ajue yupo sehemu salama..
Basi bana tukawa tunapiga story na mrembo na sometimes alikuwa anakujua huku mtaani kwetu maana kuna ndugu yake so alikuwa akija lazima anitafute at least tupige story kidogo... Kama ilivo kawaida haitakiwi kuleta mazoea ya karibu sana maana uta haribu plan zote za windo lako.. Maana mazoea yakizidi ataona aibu kuwa in love na rafiki ake na atakuona kama kakaake tu..
Basi mwanaume ikabidi nimwagie mashairi matamu yule mrembo kuwa nime mlove hatarii
Sasa response yake ndo imenifanya niandike huu uzi
Mrembo kashindwa kunijibu kama amekataa au amekubali maana kila nikimshushia verse ana cheka tu.. Hasemi kama ana mtu wake au haitaji mpenzi...
Ni wiki sasa mrembo yupo neutral tu.. Mimi hii hali nashindwa kuielewa kabisa.. Maana nahisi nikisema nimpotezee huenda ananipima upendo wangu kwake..
Hebu jamani kwa watu wazima huyu binti kanimwaga au niendelee nae mpaka atamke kabisa????
Anza kwanza kufuata njia ulizoelekezwa mkuu, cuz ni useful hasahasa kwa hatua uliyopo, sasa zikibuma ndio nitakupatia konkiMkuu STUNTER nipe hizo mbinu nakutegemea kaka ili nin'goe huyu mrembo..
Siku nyingine utakiwi kusema hayo..matendo tu yanatosha!!Nili mwambia nime mlove so nahitaji awe wangu
step no 1. umeshakosea we umeomba namba wakati unataka nyapi nyapi, kifupi watoto wa siku hizi wanataka mtu awe straight hakuna kuwekeana usiku, unatanguliza Tigo pesa 100,000 msg inayofuata unamwambia gest uliyopo na chumba no. ngapi.kwisha habari yakeHabari za majukumu wanafamilia wenzangu wa jf.. Kabla ya yote nitumie fursa hii kuwapa pole kwa msiba mzito uliolikuta taifa letu baada ya kuondokewa na wadogo zetu wapendwa.. Hakika tuwa ombee mungu azilaze roho za marehemu mahali pema peponi Amina...
Kilichonituma kuandika huu ujumbe ni kwamba
Kama wiki mbili iliyopita nilikutana na mrembo mmoja mzuri na alinivutia sana basi bila kupoteza muda mtoto wa kiume nikaomba namba faster.... Kama ilivo kawaida huwezi kumtongoza mtu bila kumleta karibu ili at least ajue yupo sehemu salama..
Basi bana tukawa tunapiga story na mrembo na sometimes alikuwa anakujua huku mtaani kwetu maana kuna ndugu yake so alikuwa akija lazima anitafute at least tupige story kidogo... Kama ilivo kawaida haitakiwi kuleta mazoea ya karibu sana maana uta haribu plan zote za windo lako.. Maana mazoea yakizidi ataona aibu kuwa in love na rafiki ake na atakuona kama kakaake tu..
Basi mwanaume ikabidi nimwagie mashairi matamu yule mrembo kuwa nime mlove hatarii
Sasa response yake ndo imenifanya niandike huu uzi
Mrembo kashindwa kunijibu kama amekataa au amekubali maana kila nikimshushia verse ana cheka tu.. Hasemi kama ana mtu wake au haitaji mpenzi...
Ni wiki sasa mrembo yupo neutral tu.. Mimi hii hali nashindwa kuielewa kabisa.. Maana nahisi nikisema nimpotezee huenda ananipima upendo wangu kwake..
Hebu jamani kwa watu wazima huyu binti kanimwaga au niendelee nae mpaka atamke kabisa????
hahaha ila tatizo tusiwe tunakariri maisha..kwa staili yako utampata golddigger saa hiyo hiyo..ila pia kwa staili yake ya true love ingawa angeifanyia marekebisho kidogo nayo anaweza kung'oa vilevile churchgirl...mbona watu tunang'oa miamba kibao tu kwa maneno na vitendo bila kutoa hata senti?step no 1. umeshakosea we umeomba namba wakati unataka nyapi nyapi, kifupi watoto wa siku hizi wanataka mtu awe straight hakuna kuwekeana usiku, unatanguliza Tigo pesa 100,000 msg inayofuata unamwambia gest uliyopo na chumba no. ngapi.kwisha habari yake
Mwanamke sometimes huwa hajielewi so usimpe nafasi ya kutafakari!Sasa mkuu si ina bidi angalau nijue hata uelekeo wa demu au??