Watongozaji tukutane hapa please!!

dracular

JF-Expert Member
Dec 24, 2013
769
1,061
Habari za majukumu wanafamilia wenzangu wa jf.. Kabla ya yote nitumie fursa hii kuwapa pole kwa msiba mzito uliolikuta taifa letu baada ya kuondokewa na wadogo zetu wapendwa.. Hakika tuwa ombee mungu azilaze roho za marehemu mahali pema peponi Amina...
Kilichonituma kuandika huu ujumbe ni kwamba
Kama wiki mbili iliyopita nilikutana na mrembo mmoja mzuri na alinivutia sana basi bila kupoteza muda mtoto wa kiume nikaomba namba faster.... Kama ilivo kawaida huwezi kumtongoza mtu bila kumleta karibu ili at least ajue yupo sehemu salama..
Basi bana tukawa tunapiga story na mrembo na sometimes alikuwa anakujua huku mtaani kwetu maana kuna ndugu yake so alikuwa akija lazima anitafute at least tupige story kidogo... Kama ilivo kawaida haitakiwi kuleta mazoea ya karibu sana maana uta haribu plan zote za windo lako.. Maana mazoea yakizidi ataona aibu kuwa in love na rafiki ake na atakuona kama kakaake tu..
Basi mwanaume ikabidi nimwagie mashairi matamu yule mrembo kuwa nime mlove hatarii
Sasa response yake ndo imenifanya niandike huu uzi
Mrembo kashindwa kunijibu kama amekataa au amekubali maana kila nikimshushia verse ana cheka tu.. Hasemi kama ana mtu wake au haitaji mpenzi...
Ni wiki sasa mrembo yupo neutral tu.. Mimi hii hali nashindwa kuielewa kabisa.. Maana nahisi nikisema nimpotezee huenda ananipima upendo wangu kwake..
Hebu jamani kwa watu wazima huyu binti kanimwaga au niendelee nae mpaka atamke kabisa????
 
May be... But sioni ni kitu gani mi nisiwe type yake
Type or a thing, is just a figure of speech, the bottom line is hakupendi na hakutaki. Wanawake wa kisasa hawatongozwi siku mbili, akikupenda mna click instatly, hakupendi utateseka sana, achana na hayo mambo, rudia ushauri wangu wa awali, tafuta hela au fanya mambo mengine ya msingi.
 
May be... But sioni ni kitu gani mi nisiwe type yake
Type or a thing, is just a figure of speech, the bottom line is hakupendi na hakutaki. Wanawake wa kisasa hawatongozwi siku mbili, akikupenda mna click instantly, hakupendi utateseka sana, achana na hayo mambo, rudia ushauri wangu wa awali, tafuta hela au fanya mambo mengine ya msingi.
 
Kuna demu nli mtell 'I love you" akanambia "shut up & drive".....siku moja nikamleta ghetto nikala mzigo!....nikajua hapo ndo amenikubari......naona kama story zetu ni mutual
 
Mdomo pale unaposhindwa.... Pesa Huwa inajazia jazia nyama....

Mambo mazuri hayatak haraka, mwache ajiandae kisaikolijia.

Ila hata wewe jiandae kupokea jibu lolote
Safi sana mkuu nimekuelewa sana big up...
 
Back
Top Bottom