Watongozaji tukutane hapa please!!

Watongozaji tukutane hapa please!!

Kwahyo nimkomalie mpaka atoe msimamo wake upo upande gani??
Acha uboya wewe..msimamo gani unautaka? We anza kuomba appointment aje gheto au umtoe out, hicho ndicho kipimo cha kukubali au kukataa!!

Kwahiyo ulivyomtongoza ulimwambiaje?
 
Dah nilijua ni ishu gani kumbwa aisee,
ila kwavile uzoefu unatofautiana basi chakufanya wewe fatisha hizo njia walizokwambia hao jamaa hapo juu, na kama unahisi kuna mahali utakwama, au unawasiwasi, au unahisi utazishindwa basi niambie kabisa hapahapa kabla hujakwenda kutuaibisha, then mimi nitashusha nondo zangu taratibu, hope mambo yatakaa sawa.
lidumu chama la kiumeni...!!
Lidumu chama tawala
 
Anakusubiria ujiongeze, mpe HELA uone kama hajakupa jibu zuri
 
wata toka wapi wakati wana vyeti feki na ukata kwa jpm.pesa imekwisha
 
Habari za majukumu wanafamilia wenzangu wa jf.. Kabla ya yote nitumie fursa hii kuwapa pole kwa msiba mzito uliolikuta taifa letu baada ya kuondokewa na wadogo zetu wapendwa.. Hakika tuwa ombee mungu azilaze roho za marehemu mahali pema peponi Amina...
Kilichonituma kuandika huu ujumbe ni kwamba
Kama wiki mbili iliyopita nilikutana na mrembo mmoja mzuri na alinivutia sana basi bila kupoteza muda mtoto wa kiume nikaomba namba faster.... Kama ilivo kawaida huwezi kumtongoza mtu bila kumleta karibu ili at least ajue yupo sehemu salama..
Basi bana tukawa tunapiga story na mrembo na sometimes alikuwa anakujua huku mtaani kwetu maana kuna ndugu yake so alikuwa akija lazima anitafute at least tupige story kidogo... Kama ilivo kawaida haitakiwi kuleta mazoea ya karibu sana maana uta haribu plan zote za windo lako.. Maana mazoea yakizidi ataona aibu kuwa in love na rafiki ake na atakuona kama kakaake tu..
Basi mwanaume ikabidi nimwagie mashairi matamu yule mrembo kuwa nime mlove hatarii
Sasa response yake ndo imenifanya niandike huu uzi
Mrembo kashindwa kunijibu kama amekataa au amekubali maana kila nikimshushia verse ana cheka tu.. Hasemi kama ana mtu wake au haitaji mpenzi...
Ni wiki sasa mrembo yupo neutral tu.. Mimi hii hali nashindwa kuielewa kabisa.. Maana nahisi nikisema nimpotezee huenda ananipima upendo wangu kwake..
Hebu jamani kwa watu wazima huyu binti kanimwaga au niendelee nae mpaka atamke kabisa????
watu na akili.zenu.mnamzingua jamaa hamuwezi kujua Ana malengo gani na huyo dada swala lakumpa mwanamke pesa na.kumla halina tofauti na kuchukua kahaba anaejiuza muda wowote anaomtaka Mimi nazani kutongoza kueshimiwe naamini kuna kitu kingine anakihitaji huyo mtongozaj zaidi ya kuvua chupi na kuacha pengine anamalengo nae lakini sasa Kama ukifanya hivi kuvua chupi huyo mwanamke sizan Kama utakuw na hamu nae tena
 
Mkuu huyo niwa kuvuta mpaka geto ukisubili jibu utakesha maana dalilizote ziko waz
 
Usimpotezee wala usimkazie,
bali badilisha mbinu,
unatakiwa utambue kuwa sio kila demu ni wa kutongoza, mademu wa kutongozwa wana sifa zake, kuanzia umri, uzoefu yaani experience, mazingira pamoja na tabia zake.
Sasa ukiona unamtongoza dem alafu hakupi attention au anachekacheka kama ndondocha la kihindi basi ujue huyo hatongozwagi au anamuda mrefu hajatongozwa, kwahiyo haamini ama hajazaoea kwahiyo anakuona mshamba(ofcoz kutongoza ni ushamba na imepitwa na wakati)
...sasa hapo cha kufanya badilisha mbinu tu, huyo unampata kiulaini kabisa... Je, mbinu unazijua?
Mkuu STUNTER nipe hizo mbinu nakutegemea kaka ili nin'goe huyu mrembo..
 
Hiyo huwa kawaida sana kwa baadhi ya wasichana kuna vitu anaviangalia hasa kwa hawa ambao sio maslahi sana na ukute age haijaenda sana kuna vitu anaviangalia so we baki neutral tu usiigize ila endelea kufanya wajibu wako kama kumjulia hali na kumsikiliza usimuweke kwenye presure kubwa kujibu unavyotaka wewe hadi pale atapokuwa tayari siku akiwa tayari usimwambie tufanye sasa hapana onesha kuwa unamuhitaji yeye wote sio k pekee
Ahsantee mkuu big up sana
 
Acha uboya wewe..msimamo gani unautaka? We anza kuomba appointment aje gheto au umtoe out, hicho ndicho kipimo cha kukubali au kukataa!!

Kwahiyo ulivyomtongoza ulimwambiaje?
Nili mwambia nime mlove so nahitaji awe wangu
 
Back
Top Bottom