Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkemia mkuu kaziniWaliopo huku leo ni halali yetu jichagulieni niwatongoze au mnitongoze
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkemia mkuu kaziniWaliopo huku leo ni halali yetu jichagulieni niwatongoze au mnitongoze
SawaPoa mkuu ondoka haraka basi
Utatongozwa wewe jishoiye kukaa humu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkemia mkuu kazini
[emoji15] [emoji15] [emoji15]Utatongozwa wewe jishoiye kukaa humu
Demu wako.huko mkifika unaomba mzigo.Sasa nimtoe out kama rafiki au??
Kuna demu nli mtell 'I love you" akanambia "shut up & drive".....siku moja nikamleta ghetto nikala mzigo!....nikajua hapo ndo amenikubari......naona kama story zetu ni mutual
wa aibu ni wazuri niaje ...? [emoji16][emoji16][emoji16] hasa akiongezea na kutafuna kucha..!!!Hahaha
Kakangu ndo nini ivo tena jamani....
Mie naonaga aibu bhana
Mkuu stunter... Tatizo demu haoneshi kuwa amenimwaga au la?? Yaani yupo dilemma tu sasa nifanyaje nimpotezee au nimkomalie???Dah nilijua ni ishu gani kumbwa aisee,
ila kwavile uzoefu unatofautiana basi chakufanya wewe fatisha hizo njia walizokwambia hao jamaa hapo juu, na kama unahisi kuna mahali utakwama, au unawasiwasi, au unahisi utazishindwa basi niambie kabisa hapahapa kabla hujakwenda kutuaibisha, then mimi nitashusha nondo zangu taratibu, hope mambo yatakaa sawa.
lidumu chama la kiumeni...!!
Usimpotezee wala usimkazie,Mkuu stunter... Tatizo demu haoneshi kuwa amenimwaga au la?? Yaani yupo dilemma tu sasa nifanyaje nimpotezee au nimkomalie???