Watch "Mwenyekiti aibuka mkutanoni DarMPYA kujibu tuhuma…" on YouTube


Mama Mdogo

Mama Mdogo

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2007
Messages
2,900
Likes
504
Points
280
Mama Mdogo

Mama Mdogo

JF-Expert Member
Joined Nov 21, 2007
2,900 504 280
Interesting case, mlalamikaji hakuwa na ushahidi wenye msingi mzuri wa kusheria wakati mwenyekiti wa mtaa alikuwa ana ushahidi wenye msingi wa kisheria. Uamuzi wa Mwenyekuti kuibukia kwenye kikao kiaina kumpunguza joto la tuhuma. Interesting!!!
 
P

polhunter

Member
Joined
Sep 26, 2011
Messages
94
Likes
38
Points
25
P

polhunter

Member
Joined Sep 26, 2011
94 38 25
Hii nimeipenda sana....kwa vyovyote kwa umakini huu wa mwenyekiti....atakuwa anetokana na ukawa hatutaki ujinga sisi.....makonda anasema....mkit kaendelee na majukumu nina baraka zako
 
P

polhunter

Member
Joined
Sep 26, 2011
Messages
94
Likes
38
Points
25
P

polhunter

Member
Joined Sep 26, 2011
94 38 25
Kwa kuambiwa nina baraka zote ningekuwa mm ni yy ningeanza ujenzi wa kituo mara moja wiki hii.....viva mkiti
 
ivanorkababu

ivanorkababu

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2016
Messages
415
Likes
315
Points
80
Age
49
ivanorkababu

ivanorkababu

JF-Expert Member
Joined Sep 17, 2016
415 315 80
raha sana hapo kuanzia Leo namkubali kaka yangu makonda
 
Victoire

Victoire

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2008
Messages
11,242
Likes
9,906
Points
280
Victoire

Victoire

JF-Expert Member
Joined Jul 4, 2008
11,242 9,906 280
Hii nzuri sana , Mwenyekiti akashusha points na vielelezo vyote .
 
J

jobless tycoon

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Messages
676
Likes
245
Points
60
J

jobless tycoon

JF-Expert Member
Joined Oct 13, 2012
676 245 60
Huyu mama bora angeendelea kusumbuana na mwenyekit kimtaa mtaa tu ila kiherehere kimemponza
 

Forum statistics

Threads 1,273,861
Members 490,528
Posts 30,493,794