Watch "Mwenyekiti aibuka mkutanoni DarMPYA kujibu tuhuma…" on YouTube

Interesting case, mlalamikaji hakuwa na ushahidi wenye msingi mzuri wa kusheria wakati mwenyekiti wa mtaa alikuwa ana ushahidi wenye msingi wa kisheria. Uamuzi wa Mwenyekuti kuibukia kwenye kikao kiaina kumpunguza joto la tuhuma. Interesting!!!
 
Hii nimeipenda sana....kwa vyovyote kwa umakini huu wa mwenyekiti....atakuwa anetokana na ukawa hatutaki ujinga sisi.....makonda anasema....mkit kaendelee na majukumu nina baraka zako
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom