Elizabeth Dominic
Platinum Member
- Dec 7, 2007
- 4,555
- 3,660
wamepiga shanga-shanga makoro-koro kibao wakati freemasons wenzao wa ukweli akina Bush wanapiga masuti ya ukwee tu no shanga-shanga wa koro-koro.....!!!
Mi imetokea kuwasikia kwenye redio sijawaona....kweli njaa mbaya!