Watawala jifunzeni kitu kutoka kwa Dkt. Bashiru Ally

Bashiru kafanya kazi kubwa ndani ya Chama cha mapinduzi CCM,mi nadhani apewe heshima yake kwani amefanya Màkubwa.
Japo tunasikia ana tuhuma serikali isifumbie macho tuhuma hizi
Hyu ndy mwasisi wa kuvunja umoja na mshikamano na genge lake katika Taifa hili..Mungu alitakiwa ampende zaidi na zaidi
 
Soma Unaweza jifunza Kitu...

"Dr. Mpango alienda bungeni kama Waziri wa fedha. Kufumba na kufumbua akawa VP, akaondoka na ving'ora, msafara na ulinzi mkali. Maisha ndivyo yalivyo. Nothing is permanent in life. Kila kitu unachokiona kwenye maisha ni cha kupita tu. Hivyo ishi vizuri na watu.

Jana hadi saa 8 mchana Dr. Bashiru alikua boss wa watumishi wote wa umma na Katibu wa Baraza la usalama wa taifa. Yani Rais asingeweza kutangaza vita bila kushauriana kwanza na Bashiru. Alikua raia namba 4 baada ya Rais, VP na PM.

Jana ameenda Ikulu ya Chamwino akiwa na msafara, king'ora na ulinzi mkali kwa hadhi ya raia namba 4. Lakini ametoka hana ulinzi, hana king'ora, hana gari, hana dereva. Ameanza maisha mapya leo.

Kwa miaka minne amekaa Masaki kwenye nyumba ya Katibu Mkuu wa CCM, kisha akahamia jumba la kifahari la CS Ikulu. Ghafla leo anarudi kwenye nyumba yake pale Ubungo Msewe, hana ulinzi, hana msafara, hana gari.

FUNZO;
1. Rais Mwinyi (baba) aliwahi kusema madaraka ni kama koti la kuazima. Usilivae kwa mbwembwe, ipo siku mwenye nalo atalihitaji. Bashiru aliwahi kutamba kuwa CCM itatumia DOLA kubaki madarakani. Na kweli uchaguzi mkuu 2020 tuliona jinsi walivyotumia DOLA kubaki. Lakini sasa anarudi zake Ubungo Msewe hana DOLA wala paundi.

2. Maisha ni kupanda na kushuka. Ukiwa juu usidharau walio chini kwa sababu ndio watakaokudaka siku ukianguka.

3. Bashiru alipoteuliwa kuwa CS mitandao ilijaa pongezi. Vijana wa CCM wakampamba ktk profile zao, na wengine wakadai alikua mwalimu wao UDSM. Lakini leo amebaki peke yake. Wale vijana wameshaondoa "profile picture" na kufuta yale maandiko ya pongezi. Hii inatufundisha "mchuma janga hula na wa kwao" Utapata wapambe wengi ukiwa na madaraka, pesa au umaarufu. Lakini vikiondoka utabaki peke yako.

4. Bashiru aliteuliwa GS wa CCM bila hata kuwa kiongozi wa tawi. Yani kutoka Mwanachama wa kawaida hadi GS. Then akawa CS Ikulu bila kuwa mtumishi wa umma. Yani alipanda kirahisi sana. Na leo ameporomoka kirahisi pia. Wahaya husema "Easy come, easy go"

5. Ukimtegemea mwanadamu ipo siku ataondoka na utakosa pa kuegemea. Mtegemee Mungu pekee na ishi vizuri na watu wote. Vijana wa Manzese husema "heshimu watu, sponsor hufariki"

Credits: Malisa GJ
Uongo wake kwa watanzania umemponza pia, alisema amepewa cheo cha KM wa CCM hatokubali cheo kingine chochote, akapewa u CS akaupokea, Mungu amemkumbusha kuwa ni mnafiki hivyo hafai kuendelea kuwa katika ngazi ya juu vile si mkweli na wala hasimamii kauli zake, asemacho sicho akitendacho, kwa maneno mengine mtu wa aina hiyo ni hatari kwakuwa ni rahisi kuwasaliti anaowatumikia bila haya.
 
The same to Josephat Gwajima(Rashid) aliyesema hawezi kugombea ubunge,wala urais sababu mtumishi wa Mungu ni zaidi ya mbunge,waziri na hata Rais wanasiasa wajinga wajinga wanakera mnoooo
 
Ifike wakati teknolojia itusaidie kubaini akili za akina Rashid kabla ya kuwapigia kura
 
Kitendo cha Bashiru kuondolewa ikulu moja kwa moja naamini kuna tukio baya alifanya (lile linalosemwa kuhusu kuchota pesa zetu), lakini ningependa zaidi uchunguzi wa hilo tukio ukikamilika na kukutwa na hatia watuhumiwa wote wapelekwe mahakamani ili iwe fundisho kwa wote wanaoiona Tanzania ni shamba la bibi.

Tabia ya kulindana ndio inasababisha matukio ya aina hii yaendelee kuwepo kila awamu, watu wanazidi kuamini wakipata nafasi za juu serikalini ni kama wamesogezwa mdomoni zaidi kuiba mali za umma, huu mtazamo ni vyema ukomeshwe, kuanzia sasa yeyote anaepatikana na hatia apelekwe mahakamani sheria ichukue mkondo wake.
Speculations tu, kwa tukio kama hilo la kuchota pesa, data zingekuwa zimeshatoka sana. Sababu kubwa ni kuwa alikuwa karibu sana na Magufuli; mtu yeyote aliyekuwa karibu sana na Magufuli amekuwa anaenguliwa kutoka kwenye himaya ya mama, na wale ambao Magufuli alifukuza ndio wanaorudishwa. Sijajua hatima ya Majaliwa itakuwaje kwani naye alikuwa mwandani sana wa Magufuli. Watu wa magufuli walifukuzwa ni pamoja na Injinia kakoko, Injinia Nyamhanga, Injinia Chamuriho, kalemani, Polepole, Bashiru. Wengine wametangulizwa mbele ya haki prepamturely kama vile Magufuli mwenyewe, dr. Kijazi, Injinia Mfugale. Kwa wale ambao ilikuwa ni vigumu kuwafukuza kazi kirahisi kama major General Mbuge na Lt General Mohammed walihamishiwa nje ya fani zao. Hatujajua general mabeyo na IGP wao watafutwaje au watavumiliwa hadi kufikisha umri wa kustaafu kisheria.
 
Soma Unaweza jifunza Kitu...

"Dr. Mpango alienda bungeni kama Waziri wa fedha. Kufumba na kufumbua akawa VP, akaondoka na ving'ora, msafara na ulinzi mkali. Maisha ndivyo yalivyo. Nothing is permanent in life. Kila kitu unachokiona kwenye maisha ni cha kupita tu. Hivyo ishi vizuri na watu.

Jana hadi saa 8 mchana Dr. Bashiru alikua boss wa watumishi wote wa umma na Katibu wa Baraza la usalama wa taifa. Yani Rais asingeweza kutangaza vita bila kushauriana kwanza na Bashiru. Alikua raia namba 4 baada ya Rais, VP na PM.

Jana ameenda Ikulu ya Chamwino akiwa na msafara, king'ora na ulinzi mkali kwa hadhi ya raia namba 4. Lakini ametoka hana ulinzi, hana king'ora, hana gari, hana dereva. Ameanza maisha mapya leo.

Kwa miaka minne amekaa Masaki kwenye nyumba ya Katibu Mkuu wa CCM, kisha akahamia jumba la kifahari la CS Ikulu. Ghafla leo anarudi kwenye nyumba yake pale Ubungo Msewe, hana ulinzi, hana msafara, hana gari.

FUNZO;
1. Rais Mwinyi (baba) aliwahi kusema madaraka ni kama koti la kuazima. Usilivae kwa mbwembwe, ipo siku mwenye nalo atalihitaji. Bashiru aliwahi kutamba kuwa CCM itatumia DOLA kubaki madarakani. Na kweli uchaguzi mkuu 2020 tuliona jinsi walivyotumia DOLA kubaki. Lakini sasa anarudi zake Ubungo Msewe hana DOLA wala paundi.

2. Maisha ni kupanda na kushuka. Ukiwa juu usidharau walio chini kwa sababu ndio watakaokudaka siku ukianguka.

3. Bashiru alipoteuliwa kuwa CS mitandao ilijaa pongezi. Vijana wa CCM wakampamba ktk profile zao, na wengine wakadai alikua mwalimu wao UDSM. Lakini leo amebaki peke yake. Wale vijana wameshaondoa "profile picture" na kufuta yale maandiko ya pongezi. Hii inatufundisha "mchuma janga hula na wa kwao" Utapata wapambe wengi ukiwa na madaraka, pesa au umaarufu. Lakini vikiondoka utabaki peke yako.

4. Bashiru aliteuliwa GS wa CCM bila hata kuwa kiongozi wa tawi. Yani kutoka Mwanachama wa kawaida hadi GS. Then akawa CS Ikulu bila kuwa mtumishi wa umma. Yani alipanda kirahisi sana. Na leo ameporomoka kirahisi pia. Wahaya husema "Easy come, easy go"

5. Ukimtegemea mwanadamu ipo siku ataondoka na utakosa pa kuegemea. Mtegemee Mungu pekee na ishi vizuri na watu wote. Vijana wa Manzese husema "heshimu watu, sponsor hufariki"

Credits: Malisa GJ
Sasa unataka kusemaje. Kwamba alipokuwa anateuliwa angekataa ama? Ili ijulikane hajamtegemea mtu!! Tunaishi kwa kutegemeana ndugu yngu. Ukipewa kula
 
Mwacheni Bashiru,Ana heshima yake,na ameitendea vyema nafasi ya katibu mkuu.
 
Huyo Bashiru pamoja na Polepole wote ni bogus kabisa, hawana maana kabisa walikuwa ni sehemu ya ukandamizaji wa haki za wengine.

Now they're spent force, they turned some of the opposition politicians into cheap merchandise up for sale.
 
Soma Unaweza jifunza Kitu...

"Dr. Mpango alienda bungeni kama Waziri wa fedha. Kufumba na kufumbua akawa VP, akaondoka na ving'ora, msafara na ulinzi mkali. Maisha ndivyo yalivyo. Nothing is permanent in life. Kila kitu unachokiona kwenye maisha ni cha kupita tu. Hivyo ishi vizuri na watu.

Jana hadi saa 8 mchana Dr. Bashiru alikua boss wa watumishi wote wa umma na Katibu wa Baraza la usalama wa taifa. Yani Rais asingeweza kutangaza vita bila kushauriana kwanza na Bashiru. Alikua raia namba 4 baada ya Rais, VP na PM.

Jana ameenda Ikulu ya Chamwino akiwa na msafara, king'ora na ulinzi mkali kwa hadhi ya raia namba 4. Lakini ametoka hana ulinzi, hana king'ora, hana gari, hana dereva. Ameanza maisha mapya leo.

Kwa miaka minne amekaa Masaki kwenye nyumba ya Katibu Mkuu wa CCM, kisha akahamia jumba la kifahari la CS Ikulu. Ghafla leo anarudi kwenye nyumba yake pale Ubungo Msewe, hana ulinzi, hana msafara, hana gari.

FUNZO;
1. Rais Mwinyi (baba) aliwahi kusema madaraka ni kama koti la kuazima. Usilivae kwa mbwembwe, ipo siku mwenye nalo atalihitaji. Bashiru aliwahi kutamba kuwa CCM itatumia DOLA kubaki madarakani. Na kweli uchaguzi mkuu 2020 tuliona jinsi walivyotumia DOLA kubaki. Lakini sasa anarudi zake Ubungo Msewe hana DOLA wala paundi.

2. Maisha ni kupanda na kushuka. Ukiwa juu usidharau walio chini kwa sababu ndio watakaokudaka siku ukianguka.

3. Bashiru alipoteuliwa kuwa CS mitandao ilijaa pongezi. Vijana wa CCM wakampamba ktk profile zao, na wengine wakadai alikua mwalimu wao UDSM. Lakini leo amebaki peke yake. Wale vijana wameshaondoa "profile picture" na kufuta yale maandiko ya pongezi. Hii inatufundisha "mchuma janga hula na wa kwao" Utapata wapambe wengi ukiwa na madaraka, pesa au umaarufu. Lakini vikiondoka utabaki peke yako.

4. Bashiru aliteuliwa GS wa CCM bila hata kuwa kiongozi wa tawi. Yani kutoka Mwanachama wa kawaida hadi GS. Then akawa CS Ikulu bila kuwa mtumishi wa umma. Yani alipanda kirahisi sana. Na leo ameporomoka kirahisi pia. Wahaya husema "Easy come, easy go"

5. Ukimtegemea mwanadamu ipo siku ataondoka na utakosa pa kuegemea. Mtegemee Mungu pekee na ishi vizuri na watu wote. Vijana wa Manzese husema "heshimu watu, sponsor hufariki"

Credits: Malisa GJ
Mvumilivu sana na haropoki mahali popote pamoja na kutweza na wale wanaojiita wanaccm asili ambao tayari wamejitwaliwa madaraka tangu mpinduzi wa meza atutoke mwanzoni mwa 2021 kwa sababu zisizo na mashiko
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom