Tatizo chadema mna mihemko Sana mkiona changamoto yeyote kwa mbaya wenu, mnasahau hata agenda zenu za kukijenga chama chenu. Kwa mtindo huu CCM watawachezesha sebene hadi mpoteze dira. Bashiru kupewa ubunge na kuondolewa kuwa CS siyo ajabu.Kitendo cha Bashiru kuondolewa ikulu moja kwa moja naamini kuna tukio baya alifanya (lile linalosemwa kuhusu kuchota pesa zetu), lakini ningependa zaidi uchunguzi wa hilo tukio ukikamilika na kukutwa na hatia watuhumiwa wote wapelekwe mahakamani ili iwe fundisho kwa wote wanaoiona Tanzania ni shamba la bibi.
Tabia ya kulindana ndio inasababisha matukio ya aina hii yaendelee kuwepo kila awamu, watu wanazidi kuamini wakipata nafasi za juu serikalini ni kama wamesogezwa mdomoni zaidi kuiba mali za umma, huu mtazamo ni vyema ukomeshwe, kuanzia sasa yeyote anaepatikana na hatia apelekwe mahakamani sheria ichukue mkondo wake.
Ukweli ndio huu, kuwa ukitenda haki wakati uko juu hata ukirudi chini utapokelewa vizuri.Kitendo cha Bashiru kuondolewa ikulu moja kwa moja naamini kuna tukio baya alifanya (lile linalosemwa kuhusu kuchota pesa zetu), lakini ningependa zaidi uchunguzi wa hilo tukio ukikamilika na kukutwa na hatia watuhumiwa wote wapelekwe mahakamani ili iwe fundisho kwa wote wanaoiona Tanzania ni shamba la bibi.
Tabia ya kulindana ndio inasababisha matukio ya aina hii yaendelee kuwepo kila awamu, watu wanazidi kuamini wakipata nafasi za juu serikalini ni kama wamesogezwa mdomoni zaidi kuiba mali za umma, huu mtazamo ni vyema ukomeshwe, kuanzia sasa yeyote anaepatikana na hatia apelekwe mahakamani sheria ichukue mkondo wake.
Tena sana@malisaPlagiarized post
Kitendo cha Bashiru kuondolewa ikulu moja kwa moja naamini kuna tukio baya alifanya (lile linalosemwa kuhusu kuchota pesa zetu), lakini ningependa zaidi uchunguzi wa hilo tukio ukikamilika na kukutwa na hatia watuhumiwa wote wapelekwe mahakamani ili iwe fundisho kwa wote wanaoiona Tanzania ni shamba la bibi.
Tabia ya kulindana ndio inasababisha matukio ya aina hii yaendelee kuwepo kila awamu, watu wanazidi kuamini wakipata nafasi za juu serikalini ni kama wamesogezwa mdomoni zaidi kuiba mali za umma, huu mtazamo ni vyema ukomeshwe, kuanzia sasa yeyote anaepatikana na hatia apelekwe mahakamani sheria ichukue mkondo wake.
TUWE NA AKIBA YA MANENO,LKN PIA TUFIKIRI KWANZA KWA UMAKINI KABLA HATUJAANDIKA MADUDU YETU,WEWE NANI ALIKUAMBIA BASHIRU ANAMTEGEMEA MTU?!, AU NANI ALIKUAMBIA KUWA UNAWEZA KUFANIKIWA BIRA NGUZO YOYOTE YA KKUINUA? AU NAOMBA UNITAFUTIE MTU ALIYEPANSA BIRA SAPOTA KWE MWINGINE,TUACHE ROHO ZA KUSHETANI,Soma Unaweza jifunza Kitu...
"Dr.Mpango alienda bungeni kama Waziri wa fedha. Kufumba na kufumbua akawa VP, akaondoka na ving'ora, msafara na ulinzi mkali. Maisha ndivyo yalivyo. Nothing is permanent in life. Kila kitu unachokiona kwenye maisha ni cha kupita tu. Hivyo ishi vizuri na watu.
Jana hadi saa 8 mchana Dr.Bashiru alikua boss wa watumishi wote wa umma na Katibu wa Baraza la usalama wa taifa. Yani Rais asingeweza kutangaza vita bila kushauriana kwanza na Bashiru. Alikua raia namba 4 baada ya Rais, VP na PM.
Jana ameenda Ikulu ya Chamwino akiwa na msafara, king'ora na ulinzi mkali kwa hadhi ya raia namba 4. Lakini ametoka hana ulinzi, hana king'ora, hana gari, hana dereva. Ameanza maisha mapya leo.
Kwa miaka minne amekaa Masaki kwenye nyumba ya Katibu Mkuu wa CCM, kisha akahamia jumba la kifahari la CS Ikulu. Ghafla leo anarudi kwenye nyumba yake pale Ubungo Msewe, hana ulinzi, hana msafara, hana gari.
FUNZO;
1. Rais Mwinyi (baba) aliwahi kusema madaraka ni kama koti la kuazima. Usilivae kwa mbwembwe, ipo siku mwenye nalo atalihitaji. Bashiru aliwahi kutamba kuwa CCM itatumia DOLA kubaki madarakani. Na kweli uchaguzi mkuu 2020 tuliona jinsi walivyotumia DOLA kubaki. Lakini sasa anarudi zake Ubungo Msewe hana DOLA wala paundi.
2. Maisha ni kupanda na kushuka. Ukiwa juu usidharau walio chini kwa sababu ndio watakaokudaka siku ukianguka.
3. Bashiru alipoteuliwa kuwa CS mitandao ilijaa pongezi. Vijana wa CCM wakampamba ktk profile zao, na wengine wakadai alikua mwalimu wao UDSM. Lakini leo amebaki peke yake. Wale vijana wameshaondoa "profile picture" na kufuta yale maandiko ya pongezi. Hii inatufundisha "mchuma janga hula na wa kwao" Utapata wapambe wengi ukiwa na madaraka, pesa au umaarufu. Lakini vikiondoka utabaki peke yako.
4. Bashiru aliteuliwa GS wa CCM bila hata kuwa kiongozi wa tawi. Yani kutoka Mwanachama wa kawaida hadi GS. Then akawa CS Ikulu bila kuwa mtumishi wa umma. Yani alipanda kirahisi sana. Na leo ameporomoka kirahisi pia. Wahaya husema "Easy come, easy go"
5. Ukimtegemea mwanadamu ipo siku ataondoka na utakosa pa kuegemea. Mtegemee Mungu pekee na ishi vizuri na watu wote. Vijana wa Manzese husema "heshimu watu sponsor hufariki"
Kweli mkuu, ungefikiri kwanza kabla ya kuchapisha "MADUDU"TUWE NA AKIBA YA MANENO,LKN PIA TUFIKIRI KWANZA KWA UMAKINI KABLA HATUJAANDIKA MADUDU YETU,WEWE NANI ALIKUAMBIA BASHIRU ANAMTEGEMEA MTU?!, AU NANI ALIKUAMBIA KUWA UNAWEZA KUFANIKIWA BIRA NGUZO YOYOTE YA KKUINUA? AU NAOMBA UNITAFUTIE MTU ALIYEPANSA BIRA SAPOTA KWE MWINGINE,TUACHE ROHO ZA KUSHETANI,
Wahaya gani tena mkuu?Mbona hii ni lugha ya Malkia?
OK, I'll get back to you sometime.Angekuwa anarudishwa Lumumba asingepewa Ubunge. Kwa kawaida SG wa CCM hawagi na kazi nyingine ....!!
Ila HAJAONDOKA km alivyoingia.Soma Unaweza jifunza Kitu...
"Dr.Mpango alienda bungeni kama Waziri wa fedha. Kufumba na kufumbua akawa VP, akaondoka na ving'ora, msafara na ulinzi mkali. Maisha ndivyo yalivyo. Nothing is permanent in life. Kila kitu unachokiona kwenye maisha ni cha kupita tu. Hivyo ishi vizuri na watu.
Jana hadi saa 8 mchana Dr.Bashiru alikua boss wa watumishi wote wa umma na Katibu wa Baraza la usalama wa taifa. Yani Rais asingeweza kutangaza vita bila kushauriana kwanza na Bashiru. Alikua raia namba 4 baada ya Rais, VP na PM.
Jana ameenda Ikulu ya Chamwino akiwa na msafara, king'ora na ulinzi mkali kwa hadhi ya raia namba 4. Lakini ametoka hana ulinzi, hana king'ora, hana gari, hana dereva. Ameanza maisha mapya leo.
Kwa miaka minne amekaa Masaki kwenye nyumba ya Katibu Mkuu wa CCM, kisha akahamia jumba la kifahari la CS Ikulu. Ghafla leo anarudi kwenye nyumba yake pale Ubungo Msewe, hana ulinzi, hana msafara, hana gari.
FUNZO;
1. Rais Mwinyi (baba) aliwahi kusema madaraka ni kama koti la kuazima. Usilivae kwa mbwembwe, ipo siku mwenye nalo atalihitaji. Bashiru aliwahi kutamba kuwa CCM itatumia DOLA kubaki madarakani. Na kweli uchaguzi mkuu 2020 tuliona jinsi walivyotumia DOLA kubaki. Lakini sasa anarudi zake Ubungo Msewe hana DOLA wala paundi.
2. Maisha ni kupanda na kushuka. Ukiwa juu usidharau walio chini kwa sababu ndio watakaokudaka siku ukianguka.
3. Bashiru alipoteuliwa kuwa CS mitandao ilijaa pongezi. Vijana wa CCM wakampamba ktk profile zao, na wengine wakadai alikua mwalimu wao UDSM. Lakini leo amebaki peke yake. Wale vijana wameshaondoa "profile picture" na kufuta yale maandiko ya pongezi. Hii inatufundisha "mchuma janga hula na wa kwao" Utapata wapambe wengi ukiwa na madaraka, pesa au umaarufu. Lakini vikiondoka utabaki peke yako.
4. Bashiru aliteuliwa GS wa CCM bila hata kuwa kiongozi wa tawi. Yani kutoka Mwanachama wa kawaida hadi GS. Then akawa CS Ikulu bila kuwa mtumishi wa umma. Yani alipanda kirahisi sana. Na leo ameporomoka kirahisi pia. Wahaya husema "Easy come, easy go"
5. Ukimtegemea mwanadamu ipo siku ataondoka na utakosa pa kuegemea. Mtegemee Mungu pekee na ishi vizuri na watu wote. Vijana wa Manzese husema "heshimu watu sponsor hufariki"
Mwandishi TAYARI inaonyesha uhaya wake.Wahaya gani tena mkuu?Mbona hii ni lugha ya Malkia? 🤣
Apo mbwa kala mkia wake mwenyewe.Ubungo Msewe NO Dola NO Paundi.
Waliuangamiza utanzania wenu kivp? Kushindwa uchaguzi ndo kuangamizwa?My due respect mkuu. You nailed it. Akaguliwe na uraia maana kwa mateso yale kwa watanzania bila huruma huenda hana damu ya kitanzamia. You can't be such rude creature. Waliangamiza utanzania wetu wa upendo na Mshikamano. Tunaanza upya na kwa haraka Mwanga tunauona tena. Long live our President Samia Suluhu Hassan. Natabasamu.
Yes, alikuwa mhadhiri kwenye sayanyi ya siasa na utawala (PSPA)Ahsante kwa ujumbe murua
ila si kweli kwamba Bashiru hakuwa mtumishi wa umma, si alikuwa mtumishi UDSM?