Mtanzania halisi
Kwani inakuuna mno utekwaji ukikemewa?
Mtanzania halisi
Kadai FBI wamemzuia😅😅🤣,Mbona simuoni Mange Kimambi?
Bila shaka utakuwa umezaliwa na mwanafamilia mwenye damu ya ccm, zwazwa kabisa aliye kudanganya pesa inanunua uhuru au amani ya moyo ni nani, au yanayoendelea kwa ndugu zetu kupotea kama kuku unayaona mazuri hayo?Acha ujinga, tafuta pesa. Usikubali kutumika kupitisha agenda za watu. Utakufa utaacha masumbuko kwa familia na wategemezi wako
Jamaa anasema tuko hapa tunafanya maandamano... 😀
Uvivu tu wa kubeba mabox na kusafisha vibibi vizee.
Wenye akili walikwisha mpuuza MangeKimambi, ndiyo maana unawaona wapumbavu 6 tu wamehudhuria..
Jamaa anasema tuko hapa tunafanya maandamano... 😀
Maandamano yamefikia watu 6 🤣....
Sasa ndugu zako wanapotea ndiyo ukaandamane Marekani? Kwani Marekani hakuna watu wanaopotea?Bila shaka utakuwa umezaliwa na mwanafamilia mwenye damu ya ccm, zwazwa kabisa aliye kudanganya pesa inanunua uhuru au amani ya moyo ni nani, au yanayoendelea kwa ndugu zetu kupotea kama kuku unayaona mazuri hayo?
Kwa mtu anayeishi LA au Texas (Ndo wapo watz wengi) umbali wa kutoka huko kufika DC ni sawa na safari ya Dar kwenda Lagos, Nigeria.Ila sio siri hawa diaspora ni wapuuzi kupitiliza nilitegemea leo wangejitokeza wengii ila sabb nilizosikia ni za kipuuzi kama wenyewe walivo wapuuz..hampigwi marungu wala mabomu ila mmekosa akili.kma hamna makaratasi si mngevaa hata masks?
Pumbavu nyie
Ni upuuzi tu. Yaani umetoka Tanzania kwenda kutafuta maisha Marekani, halafu ushwishiwe maandamano na hiki kimalaya!!Kwa mtu anayeishi LA au Texas (Ndo wapo watz wengi) umbali wa kutoka huko kufika DC ni sawa na safari ya Dar kwenda Lagos, Nigeria.
Ni upuuzi tu. Yaani umetoka Tanzania kwenda kutafuta maisha Marekani, halafu ushwishiwe maandamano na hiki kimalaya!!
View attachment 3490186
Kajifie mbali mwana ccm wewe, najua huwezi nielewa hata nitumie kipaza sauti.Sasa ndugu zako wanapotea ndiyo ukaandamane Marekani? Kwani Marekani hakuna watu wanaopotea?
Wewe ni zwazwa kudhani kuwa kuna attention yeyote mtapata. Nasubiri nione kama FOX News au Reuters au CNN watarusha upuuzi wenu huo
Mipumbavu hii mijituNi upuuzi tu. Yaani umetoka Tanzania kwenda kutafuta maisha Marekani, halafu ushwishiwe maandamano na hiki kimalaya!!
View attachment 3490186
Sifi na tarehe 29/10 ninatikiKajifie mbali mwana ccm wewe, najua huwezi nielewa hata nitumie kipaza sauti.
Ni suala la muda tu utasikia wamewaua hao watatuWatume makanjanja wengine huko ughaibuni.
Haki kwa woteMipumbavu hii mijitu
Sio walikuwa wanawananga wapalestina wa huko US wakaindamana kwa nchi yao
Leo wanataka wao wakubalike kufanya maandamano US
Jna ile ile wamekula aibu nyingine.Ni suala la muda tu utasikia wamewaua hao watatu