- Thread starter
- #21
Haya tuletee hayo maandamano kamili....Hio ni video walikuwa wakitoa maelezo , ila chawa mmeshatengeneza na habari.
Hapo hawakuwa hata Washington DC.
View attachment 3489954
Haya tuletee hayo maandamano kamili....Hio ni video walikuwa wakitoa maelezo , ila chawa mmeshatengeneza na habari.
Hapo hawakuwa hata Washington DC.
View attachment 3489954
Huo utapeli wanafanya ma ccm!Wangewalipa hata weusi wa huko dola kumikumi ya lunch ili waonekane wako wengi.....
Mbona simuoni Mange Kimambi?
Kuuliza ni kutaka kujua.Kwani uko doria?
Acha ujinga, tafuta pesa. Usikubali kutumika kupitisha agenda za watu. Utakufa utaacha masumbuko kwa familia na wategemezi wakoNi wakati wetu Watz tuliopo nchini nasi kunyanyuka na kufanya yetu tarehe 29, tuache kubweteka tu na kukalisha makalio vibalazani, uhuru haupatikani hivyo kizembe zembe.
Baki hapo hapoKile kidem poa chao kinajifanya kimezuiwa na FBI kisinde kuandamana maana atauponza........ wabongo noma sana.
Oyah, inchi hii haijawahi kufanyika maandamano ya nchi nzima na haitakaa ikatokea.
Niko paleeeee
Kuuliza ni kutaka kujua.
Mimi ni raia kwa taarifa yako.Hata kuulizia kama mna share ofisi na Kaaya ni kutaka kujua. Au nasema uongo?
Haijalishi ni wa Mexico au Wahindi au Warundi lakini wamebeba mabango ya Samia. Hii ndiyo siasa, unamkabili adui kwa namna alivyokuja. Tofauti ya hawa na akina Mange iko wapi ? Maana nao akina hawakai hapa Tz lakini wanataka kuipaka nchi matope wakati wako Marekani. Kila mmoja ashinde mechi zake
Mimi ni raia kwa taarifa yako.
Mtanzania halisiUnaandika kwa uchungu sana mwamba. Kwani wanamkosesha sana amani nani?
Kaaya ni askari.Kwani nani siyo?
Kaaya ni askari.
Hujasikia malalamiko ya Polisi kuishi uraiani?Kwa hiyo askari siyo raia? Au wao ni uraia wa wapi?
Maandamano ya AMANI kabisa