Location?Hana roho mbaya.kajaribu kukwambia ukweli.
Laki 5
Una frame?
Kabati la kioo?
Majiko yote?
Vyombo?
Meza & vitu
Friji?
Iyoo looh!! Ndo umealibu kila kitu.....Jana Nilikuwa Napiga Stori na Rafiki Yangu Mmoja hivii, Akaniuliza Sasa Mwanangu Umemaliza Chuo Una Mipango Gani !? Nikamwambia January Tunaenda internship Hivyo Mpaka tunamaliza Nitahakikisha Nimekusanya Laki 5 ya Mtaji wa Chips.
kusikia hivyo jamaa Aka'panic Akaanza kusema "Chips Mtaji wake million 2 na nusu mpaka 3" Akaendelea "Chips utapata Hela ya kula tuu Na Hautojenga "
Baada ya hizo kauli zake Nikakaa nikajifikiria weeh Hivii Watanzania Tuna Roho Gani !??
Ni Umasikini !? Kutopenda Kupitwaa au !??
Nikakumbuka wakati nipo Chuo watu wakiniona Nimevaa na Kupendeza Wanachukia π ,
Na hata nikiwa Napiga Ngoma Nikishangiliwa na Kutunzwa Basi Wenzangu Wanachukiaa π,
Aiseee Jana nimeshangaa Sana Yaani Rafiki Yangu Huyuhuyu Ndo wakuniwazia Mabaya Looh !!!
Eeh Mwenyezi MUNGU Tusaidie π.
π€·Location?
Mbona inatosha na laki ya bia inabaki kabisa hapo?Hana roho mbaya.kajaribu kukwambia ukweli.
Laki 5
Una frame?
Kabati la kioo?
Majiko yote?
Vyombo?
Meza & vitu
Friji?
HapanaMbona inatosha na laki ya bia inabaki kabisa hapo?
HAANZI HIVYOHana roho mbaya.kajaribu kukwambia ukweli.
Laki 5
Una frame?
Kabati la kioo?
Majiko yote?
Vyombo?
Meza & vitu
Friji?
Tatizo unataka kuanza biashara uwe na kila kitu wakati ndio unaanza tuHapana
Haitoshi
nakataa labda anaanzia kwaoMbona inatosha na laki ya bia inabaki kabisa hapo?
Mchawi location il mvumi dom niliaanzaa na hiyo pesa na bia kama kawa, kitmbo kidogo lkn.nakataa labda anaanzia kwao
Inawezekana wewe kuwaza lakini tano as mtaji ulikua sawa na yeye kukwambia haitoshi alikua sawa ila utofauti wenu ulioleta utofauti kwenye amount ni namna mnavyowaza kwenye hiyo biashara.Jana Nilikuwa Napiga Stori na Rafiki Yangu Mmoja hivii, Akaniuliza Sasa Mwanangu Umemaliza Chuo Una Mipango Gani !? Nikamwambia January Tunaenda internship Hivyo Mpaka tunamaliza Nitahakikisha Nimekusanya Laki 5 ya Mtaji wa Chips.
kusikia hivyo jamaa Aka'panic Akaanza kusema "Chips Mtaji wake million 2 na nusu mpaka 3" Akaendelea "Chips utapata Hela ya kula tuu Na Hautojenga "
Baada ya hizo kauli zake Nikakaa nikajifikiria weeh Hivii Watanzania Tuna Roho Gani !??
Ni Umasikini !? Kutopenda Kupitwaa au !??
Nikakumbuka wakati nipo Chuo watu wakiniona Nimevaa na Kupendeza Wanachukia π ,
Na hata nikiwa Napiga Ngoma Nikishangiliwa na Kutunzwa Basi Wenzangu Wanachukiaa π,
Aiseee Jana nimeshangaa Sana Yaani Rafiki Yangu Huyuhuyu Ndo wakuniwazia Mabaya Looh !!!
Eeh Mwenyezi MUNGU Tusaidie π.
Aongeze laki tatu Hadi tano.jibu linabaki vilevile haitoshi.rafiki yake alikuwa sahihi.HAANZI HIVYO
KABATI LAKI 2
JIKO, VIKAANFGIO, JARO LA CHIPS, NDOO/BESENINA VISU, SAHANI TANO, UMAA 5, LAKI 2 NA NISU.
VITI 2 NA MEZA MOJA 60
BAKI 40 SO HAPO ANATAKIWA KUONGEZA LAKI 3 MPAKA 5 ILI APARE ENEO kwa la wazi aweke miamvuli tu baadae ataweka banda
ndio mana nikasema labda anaanZia kwao ila kama location haitagharimuMchawi location il mvumi dom niliaanzaa na hiyo pesa na bia kama kawa, kitmbo kidogo lkn.
Ndio ndo unaanza lakini vitu basic vingi havitatimia.Tatizo unataka kuanza biashara uwe na kila kitu wakati ndio unaanza tu
Jana Nilikuwa Napiga Stori na Rafiki Yangu Mmoja hivii, Akaniuliza Sasa Mwanangu Umemaliza Chuo Una Mipango Gani !? Nikamwambia January Tunaenda internship Hivyo Mpaka tunamaliza Nitahakikisha Nimekusanya Laki 5 ya Mtaji wa Chips.