NgomaNgumu
Senior Member
- Nov 20, 2010
- 194
- 24
Kwa muda mrefu kumekua na makelele dhidi ya mafisadi na ufisadi kwa ujumla. Serikali iliyopo madarakani ikaamua hatua za makusudi za kupambana na hali hiyo kwa kuchagua viongozi wapya ambao watajaribu kupambana na hali hiyo. Cha kushangaza ni pale viongozi wachapa kazi kama vile nape wanapokatishwa tamaa kua wameingia kwa kasi na nguvu zao ni za soda. Hivi waTanzania tunajua tunachokitaka?