Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 8,091
- 23,624
Gas ikiisha unasikia Watanzania wajinga wakisema "sijui kwa nini gesi lazima iishe usiku."
Sawa gas imeisha usiku kwa nini usingekuwa na backup ya jiko la umeme?
Utamsikia Mtanzania anakwambia jiko la umeme linatumia umeme mwingi, ok well mbona ndani una vyombo vingi sana vya umeme na haulalamiki?
Kwani jiko la umeme unalitumia siku nzima?
Mtu ana flat screen ya milioni lakini jiko la umeme hata la plate 2 linamshinda.
Kuna ujinga mwingi sana kwenye jamii ya Watanzania, pesa ya kufanya au kununua vitu vya kijinga wanazo ila kuongeza units za umeme awe anatumia jiko la umeme hana.

Kuna majiko ya single burner yana 1000 watt
1000 watt ni sawa na 1kWh kwa saa
Tuseme kwa kadirio la juu unatumia jiko kwa masaa 2 kila siku yaani 2kWh
Kwa siku 30 za mwezi utakuwa umetumia 60kWh
Kwa sasa Tanesco wanachaji 1kWh kwa Tshs 100-290 kwa wateja wa kawaida
60kWh×Tshs 290 unapata 18,000/=
Kwa mwezi unaweza kutumia gesi ya shilingi ngapi?
Pia siku hizi kuna majiko janja ya umeme ya induction haya kwenye matumizi ya nishati ya umeme ni rafiki sana na ni teknolojia ya kisasa. Ukinunua induction cooker hautajuta