Watanzania wameyakataa kabisa majiko ya umeme, hivi ni ujinga au ushamba?

Watanzania wameyakataa kabisa majiko ya umeme, hivi ni ujinga au ushamba?

Bro jiko lina option, tumia gesi au tumia umeme. Mtu anatumia gesi akiona jiko la umeme ni gharama kuliko la gesi

Vipi kwani kuna flat screen za gesi? Kuna AC za gesi? Kuna fridge za gesi? Kama hizo nazo zingekuwa na option ya gesi basi watu wasingetumia umeme.
 
Utamsikia Mtanzania anakwambia jiko la umeme linatumia umeme mwingi, ok well mbona ndani una vyombo vingi sana vya umeme na haulalamiki?

Kwani jiko la umeme unalitumia siku nzima?

Mtu ana flat screen ya milioni lakini jiko la umeme hata la plate 2 linamshinda.
Tuseme Jiko la umeme lina Watt 2000 japo ni kadogo kwa umbo ukikawasha ni kama umewasha TV kumi za inchi 65 kwa pamoja. Tuchukulie hauna matumizi mengi Unatumia kwa masaa mawili kwa siku ni unit 4, kwa mwezi unit 120 ambao ni umeme wa kama 50,000!
Bongo bei ya umeme haipishani na nchi za mabeberu wakati average income tunatofautiana pakubwa sana.
 
I think it's a reason capacity Most Tanzanians
 
Gas ikiisha unasikia Watanzania wajinga wakisema "sijui kwa nini gesi lazima iishe usiku."

Sawa gas imeisha usiku kwa nini usingekuwa na backup ya jiko la umeme?

Utamsikia Mtanzania anakwambia jiko la umeme linatumia umeme mwingi, ok well mbona ndani una vyombo vingi sana vya umeme na haulalamiki?

Kwani jiko la umeme unalitumia siku nzima?

Mtu ana flat screen ya milioni lakini jiko la umeme hata la plate 2 linamshinda.

Kuna ujinga mwingi sana kwenye jamii ya Watanzania, pesa ya kufanya au kununua vitu vya kijinga wanazo ila kuongeza units za umeme awe anatumia jiko la umeme hana.
TV hata iwe ya milion lkn matumiz yak ya umeme ni madogo sana ukilinganisha na hilo jiko la umeme la plate mbili. Akili kumkichwa ww
 
Gas ikiisha unasikia Watanzania wajinga wakisema "sijui kwa nini gesi lazima iishe usiku."

Sawa gas imeisha usiku kwa nini usingekuwa na backup ya jiko la umeme?

Utamsikia Mtanzania anakwambia jiko la umeme linatumia umeme mwingi, ok well mbona ndani una vyombo vingi sana vya umeme na haulalamiki?

Kwani jiko la umeme unalitumia siku nzima?

Mtu ana flat screen ya milioni lakini jiko la umeme hata la plate 2 linamshinda.

Kuna ujinga mwingi sana kwenye jamii ya Watanzania, pesa ya kufanya au kununua vitu vya kijinga wanazo ila kuongeza units za umeme awe anatumia jiko la umeme hana.

Mkuu tatizo umeme siyo reliable kwa hapa TZ ,umeme kila siku unakatika ,ni bora jiko la gesi lina meter unajua gesi ikiaribia kuisha.
 
Siku Unit 1 ikiuzwa TSH 100, nitafurahi kununua.
Inategemea upo kwenye kundi lipi la matumizi

Wateja wa Majumbani

  • Bei ya Nishati (0 – 75 kWh): TZS 100 kwa kWh​
  • Bei ya Nishati (Zaidi ya 75 kWh): TZS 350 kwa kWh​
Wateja hawa ni wale wanaotumia wastani wa unit 75 kwa mwezi. Matumizi yatakayozidi unit 75 yatatozwa bei ya juu ya TZS 350 kwa kila unit inayozidi. Umeme unatolewa katika msongo mdogo wa umeme kwenye njia moja (230V).

Wateja wa Kawaida

  • Bei ya Nishati: TZS 292 kwa kWh​
Wateja hawa ni pamoja na wateja wa majumbani, biashara ndogondogo, viwanda vidogo, taa za barabarani, na mabango. Umeme unatolewa katika msongo mdogo wa umeme kwenye njia moja (230V) na njia tatu (400V)
 
Mbona unaponunua vifaa vingine vya umeme hausemi kwa umeme hautegemeki

Yaani kwenye jiko la umeme tu ndio mnaanza hesabu za umeme wa Tanesco hautegemeki

Kwani ukiwa unaangalia TV umeme ukakatika na Ukiwa Unapika chakula bado hakijaiva na umeme ukakatika wapi kuna maudhi makubwa? Japan walisherekea miaka 50 bila umeme kukatika lakini huku kwetu ukikaa siku nzima haujakatika unashangaa.
 
😂🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom