Watanzania waliosoma Havard

Chenge kaharibu kila kitu, badala ya kulisaidia Taifa ndiye kiranja mkuu wa ufisadi.

Kusikikia neno 'Havard' ni kujikumbusha vijisenti vya Chenge.
 
Daaa kweli faizafoxy nilikums sana humu yaani nimejikuta najichekea tu japo huyu stanley mitchell sijui kwanini ametoa lugha ya kuuzi wakati umemjibu kiustaarabu daaa weshakufanya bibi yao.
Sasa kuitwa pimbi ni lugha ya kuudhii??
Halafu hajanijibu mimi.
Huyo anajifanyaga kifimbo cheza kwa kukosoa watu kwenye lugha.
Sasa ukiwa unapenda kukosoa ilihali wewe unakosea basi unaitwa pimbi.
Upo?
 
Sasa kuitwa pimbi ni lugha ya kuudhii??
Halafu hajanijibu mimi.
Huyo anajifanyaga kifimbo cheza kwa kukosoa watu kwenye lugha.
Sasa ukiwa unapenda kukosoa ilihali wewe unakosea basi unaitwa pimbi.
Upo?
Hiyo tafsida ipo kwenye kamusi gani mdau kama mtu akikosea kuandika ni pimbi dadavua
 
Hiyo tafsida ipo kwenye kamusi gani mdau kama mtu akikosea kuandika ni pimbi dadavua
Sijamaanisha mtu akikosea.
Namaanisha kua mtu anayependa kukosoa watu wakati yeye anafanya kitu hicho hicho.
Kuhusu kamusi...sidhani kama BAKITA/TAKILUKI wameshafanya 'update' kwenye kamusi ila wakifanya...im pretty sure neno pimbi litaingizwa
 
Mngoje aje mwenyewe utashaa
 
Wapo wengi sana, kuna waliotoka Muhimbili, kuna waliopata Scholarship wakasoma Masters wengi sana.
 
Justinian Rweyemamu

Hawa wawili wa chini nilikutana nao Maryland near Washington DC.

Somebody Daghar, Orijino Tanga.

Dr. Ahmed M. (B/M and PhD) zote Harvard. USA hawamwachii huyu hata kidogo yupo NSA, Orijino Dodoma.

Maajabu bibiye msujudu waarabu leo hii kashabikia elmu ya kikafiri tena ya kimagharibi.....😱😱😱
Nyiyi huwa wanafik tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…