Watanzania tunapandikizwa chuki

Watanzania tunapandikizwa chuki

Tunamshukuru Mungu kwa kutupatia dereva makini kabisa tunaamini tutafika salama na kutakuwa wenye furaha na tutamsifu na kumtaka aendelee kuwa dereva wetu siku za mbeleni.

dereva tunae mzuri, abiria ndo tunamsumbua.
 
Hakuan chochote aliaelezwa ukweli asitaje watu kama hana uhakika nao,na wengi amewataja hajakutwa na chochote.

Lakini bado Marafiki zake wote ni drug lords

yule nae binadamu, alijitahid kuwataja. then kuna vikosa vidogo kafanya, unaweza kupimwa ukakuta huna dawa mwilini coz kuna kitu wanakunywa. wengine aliwakamata co kama ni watumiaji bali ni wawezeshaji kwa njia moja au nyingine. hakuna aliyesingiziwa pale.
 
******** chapa kazi baba , hakuna wakukupinga ndani ya nchi hii.
 
Mapungufu ya serikali hii ya kidikteta yamezidi na hakuna hata dalili ya kuyarekebisha. Kwa mfano badala ya kujisahihisha katika utendaji, usimamizi na utekelezaji wa shughuli mbalimbali za kimaendeleo, wanatumia TISS kuwateka na kuwatesa wakosoaji. Huu ni upuuzi ambao watanzania hatuwezi kuuvumilia hata kidogo.
Ushafatwaga nyumban kwako na rais.
Watu mpo huru had kumtusi rais but bado anawaachia then mnakaririshwa eti serikali hii ya kidikteta.
Hovyo kabisa....
 
Mkuu unayemjimjibu ni bashite kaja na id feki
Unauhakika na unachokisema au kwa sababu siyo wewe wala nduguyo aliyotendwa??Hivi Mwimbaji aliyemuimba Makonda amesababisha nini??Kwamba maendeleo hayakufikia malengo au??

Nashangaa kwanini watawala hawataki kukosolewa sijaona sababu baod na wala msitegemee kwa kutesa na kuua watu ndiyo unaleta amani mnajidanganya
K
 
Kkuna baadhi ya watu au vikundi kutoka pande mbalimbali wapo bize kutengeneza chuki ndani ya nchi yetu. Wanajaribu kuweka chuki kati ya wananchi na serikali.

Tunajua matatizo yapo ila sio ya kufikia kiasi hicho na kuna njia salama na bora zaidi za kuonesha mapungufu ya serikali bila kuleta sura ya chuki kwa sisi raia.
Ni mtazamo wako mkuu ambao mm naona haupo sahihi, res ipsa loquito. Kuna vitu vipo wazi havihitaji mjadala vyenyewe vinajieleza kwa yanayojiri nchini siwezi kukubali kisingizio cha eti kuna watu wanaichonganisha serikali na wananchi.

Ninachokiona ni kwamba hii serikali aidha kwa makusudi au kwa bahati mbaya inajichonganisha na wananchi.

Ningekubaliana na wewe kama ungekua mkweli na muwazi ukasema kuna watu wawili katika serikali yetu wanaichonganisha serikali na wananchi na watu hao hawana nia njema na taifa hili kwani wapo tayari kutoa roho za watu lakini maslah yao yasiingiliwe, wapo tayari kua juu ya sheria lakini utawala wao usikosolewe, wapo tayarinwavunje katiba na mikataba ya kimataifa ya UHURU WA HABARI, UHURU WA KUJIELEZA.pia wapo tayari tanzania iiingie katika orodha ya nchi za kidikteta na ikose fedha za wahisana na kufanya maisha yawe magumu lakin wao wasikosolewe.

Sifahamu umeoa mada yako kwa mnasaba upi sababu hujafunguka lakinj km ulichomaanisha ndicho hicho basi anaeharibu ni:

DEREVA WA LORI NA KONDA WAKE AMBAO TANGU SAFARI IANZE HAKUNA ABIRIA ANAERUHUSIWA KUHOJI MWENDO WALA NJIA AMBAZO DERAVA WA LORI ANAPITISHA LORI HILO. MATOKEO YAKE ABIRIA WAMELAZIMISHWA KUKAA KIMYA HATA KAMA WANAUMIA NA NJIA SIO SALAMA. ABIRIA ATAEJITOA MUHANGA KUMWAMBIA DEREVA AU KONDA KUA MNATUTESA ANAYUPWA MSITUNI ALIWE NA SIMBA.

MUNGU IBARIKI TANZANIA, TUNAHITAJI MAENDELEO YA FURAHA NA SI MAENDELEA YANAYOAMBATANA NA UVUNJIFU WA AMANI KWA VIKUNDI AU MTU MMOJA MMOJA.
 
yule nae binadamu, alijitahid kuwataja. then kuna vikosa vidogo kafanya, unaweza kupimwa ukakuta huna dawa mwilini coz kuna kitu wanakunywa. wengine aliwakamata co kama ni watumiaji bali ni wawezeshaji kwa njia moja au nyingine. hakuna aliyesingiziwa pale.

Hakuna ubinadamu pale,ukishakuwa kiongozi wa Serikali,sharti la kwanza ni kufuata KATIBA na SHERIA ulizoapa kuzilinda.

99% ya Rafiki wa Mkonda ni drug lords kuanzia Diamond mpaka Kinjekitile,ukimalizia na GSM
 
Chuki hailetwi na kikundi cha watu ili wananchi waichukie serikali bali serikali yenyewe ndiyo inayo wajaza chuki wananchi wake, kama unaakili timamu kabisa kichwan mwako na hauna chembe ya unafiki wala ukichaa utakuwa unalijua hilo, watanzania ni wavumilivu walio vuka mipaka ya uvumilivu nawapongeza kwa hilo,
Safi sana boy .... mtoa post haijui jinsia yake....
 
Magu kagusa maslah ya wengi sana kuanzia ndani mpaka nje, maadui ni wengi sana na Watz. lazma tujue hilo
 
Kkuna baadhi ya watu au vikundi kutoka pande mbalimbali wapo bize kutengeneza chuki ndani ya nchi yetu. Wanajaribu kuweka chuki kati ya wananchi na serikali.

Tunajua matatizo yapo ila sio ya kufikia kiasi hicho na kuna njia salama na bora zaidi za kuonesha mapungufu ya serikali bila kuleta sura ya chuki kwa sisi raia.
Mkuu wachache watakuelewa na hongera sana nakubaliana na wewe 100%.
 
Back
Top Bottom