- Thread starter
- #41
Hasa hasa hawa watekaji wanapandikiza chuki. Bahati mbaya si serikali wala polisi wanaoonekana kukerwa. Hata ccm haijakerwa na matukio haya.
Kujenga ni kazi ngumu sana ila kubomoa ni kazi rahisi sana. Kazi ngumu ya jasho na gharama kubwa iliyojengwa na Nyerere ya amani na mshikamano wa taifa inabomolewa na wajinga wachache wanaotumia usalama wa taifa bila kukemewa na yeyote.
hao wanaotekwa wakitekwa amani itapatikana trust me