Watanzania tunapandikizwa chuki

jnia

Senior Member
Oct 10, 2012
112
37
Kkuna baadhi ya watu au vikundi kutoka pande mbalimbali wapo bize kutengeneza chuki ndani ya nchi yetu. Wanajaribu kuweka chuki kati ya wananchi na serikali.

Tunajua matatizo yapo ila sio ya kufikia kiasi hicho na kuna njia salama na bora zaidi za kuonesha mapungufu ya serikali bila kuleta sura ya chuki kwa sisi raia.
 
Mapungufu ya serikali hii ya kidikteta yamezidi na hakuna hata dalili ya kuyarekebisha. Kwa mfano badala ya kujisahihisha katika utendaji, usimamizi na utekelezaji wa shughuli mbalimbali za kimaendeleo, wanatumia TISS kuwateka na kuwatesa wakosoaji. Huu ni upuuzi ambao watanzania hatuwezi kuuvumilia hata kidogo.
 
Mkuu mbona hujabainisha hayo matatizo ili tuyaweke kwenye kundi unalotaka? Vinginevyo acha tuamue tunavyotaka sisi.
 
Kkuna baadhi ya watu au vikundi kutoka pande mbalimbali wapo bize kutengeneza chuki ndani ya nchi yetu. Wanajaribu kuweka chuki kati ya wananchi na serikali.

Tunajua matatizo yapo ila sio ya kufikia kiasi hicho na kuna njia salama na bora zaidi za kuonesha mapungufu ya serikali bila kuleta sura ya chuki kwa sisi raia.

Sishangai kwa ' Upupu ' wako huu ndiyo maana hadi sasa una ' like ' moja tu.
 
Kkuna baadhi ya watu au vikundi kutoka pande mbalimbali wapo bize kutengeneza chuki ndani ya nchi yetu. Wanajaribu kuweka chuki kati ya wananchi na serikali.

Tunajua matatizo yapo ila sio ya kufikia kiasi hicho na kuna njia salama na bora zaidi za kuonesha mapungufu ya serikali bila kuleta sura ya chuki kwa sisi raia.
Wazo la kupiga BAN viroba lilikuwa wazo zuri sana, hawa ndo vijana ambao walikuwa maeneo hatarishi na haya makundi ya waeneza chuki ila kwa sasa vijana wanajitambua wengi!
 
Kkuna baadhi ya watu au vikundi kutoka pande mbalimbali wapo bize kutengeneza chuki ndani ya nchi yetu. Wanajaribu kuweka chuki kati ya wananchi na serikali.

Tunajua matatizo yapo ila sio ya kufikia kiasi hicho na kuna njia salama na bora zaidi za kuonesha mapungufu ya serikali bila kuleta sura ya chuki kwa sisi raia.
Chuki hailetwi na kikundi cha watu ili wananchi waichukie serikali bali serikali yenyewe ndiyo inayo wajaza chuki wananchi wake, kama unaakili timamu kabisa kichwan mwako na hauna chembe ya unafiki wala ukichaa utakuwa unalijua hilo, watanzania ni wavumilivu walio vuka mipaka ya uvumilivu nawapongeza kwa hilo,
 
Kkuna baadhi ya watu au vikundi kutoka pande mbalimbali wapo bize kutengeneza chuki ndani ya nchi yetu. Wanajaribu kuweka chuki kati ya wananchi na serikali.

Tunajua matatizo yapo ila sio ya kufikia kiasi hicho na kuna njia salama na bora zaidi za kuonesha mapungufu ya serikali bila kuleta sura ya chuki kwa sisi raia.
Kuna nini mpaka chuki ipandikizwe??
 
Kkuna baadhi ya watu au vikundi kutoka pande mbalimbali wapo bize kutengeneza chuki ndani ya nchi yetu. Wanajaribu kuweka chuki kati ya wananchi na serikali.

Tunajua matatizo yapo ila sio ya kufikia kiasi hicho na kuna njia salama na bora zaidi za kuonesha mapungufu ya serikali bila kuleta sura ya chuki kwa sisi raia.
Sorry hizo njia bora na salama ni zipi? Ukiweza hebu ziainishe tafadhali
 
Kkuna baadhi ya watu au vikundi kutoka pande mbalimbali wapo bize kutengeneza chuki ndani ya nchi yetu. Wanajaribu kuweka chuki kati ya wananchi na serikali.

Tunajua matatizo yapo ila sio ya kufikia kiasi hicho na kuna njia salama na bora zaidi za kuonesha mapungufu ya serikali bila kuleta sura ya chuki kwa sisi raia.
Kkuna baadhi ya watu au vikundi kutoka pande mbalimbali wapo bize kutengeneza chuki ndani ya nchi yetu. Wanajaribu kuweka chuki kati ya wananchi na serikali.

Tunajua matatizo yapo ila sio ya kufikia kiasi hicho na kuna njia salama na bora zaidi za kuonesha mapungufu ya serikali bila kuleta sura ya chuki kwa sisi raia.
Wa kwanza anayepandikiza chuki na kuwagawa watanzania ni kiongozi wa nchi. Kauli aliyotoa kuwa yeye hapangiwi wakati mteule wake ameonekana wazi katika tukio la kuvamiwa Clouds, wakati aliyekuwa waziri Nape ametolewa bastola hazarani, wakati watu wengine wamekimbia na kutelekeza familia zao kwasababu ya vyeti na wengine kufukuzwa chuoni, imeleta chuki kubwa. Katika hotuba zake zote anazotoa lazima kukashifu, kudharau na kudhalilisha kundi la watu fulani.
 
Chuki nyingine zinatengenezwa na serikali, mfano kwenye hili suala la vyeti.
Serikalini imefanya uhakiki wa vyeti ambapo waliogundulika Kuwa na vyeti vya kughushi wamefukuzwa kazi na wengine kupandishwa mahakamani.
Daudi bashite yeye pamoja na Utata uliodhahiri kuhusu vyeti vyake haufanyiwi kazi.
Unafikiri hao watumishi wengine waliofukuzwa kazi wanachuki kiasi dhidi ya serikali kutokana na hii double standard.
Chuki za wananchi dhidi ya Serikali inasababishwa na Serikali yenyewe
 
Hata kwa lowasa tulijengewa chuki hadi tulikuwa tukimzomea akionekana mitaani kule arusha ikabidi aweke tinted kwenye gari yake..kwa hiyo ni hali ya kawaida ila kwa serikali hii watanyooshwa sana tu hadi waseme poh.
 
Serikali haiajiri,inakata 15% nje ya mkataba, hakuna fao la kujitoa, wenye vyeti feki hawashughulikiwi mi naona inajichonganisha yenyewe
 
Kkuna baadhi ya watu au vikundi kutoka pande mbalimbali wapo bize kutengeneza chuki ndani ya nchi yetu. Wanajaribu kuweka chuki kati ya wananchi na serikali.

Tunajua matatizo yapo ila sio ya kufikia kiasi hicho na kuna njia salama na bora zaidi za kuonesha mapungufu ya serikali bila kuleta sura ya chuki kwa sisi raia.
ww acha kuwa Mtetezi wa vyeti feki uone acheni kuonea watu muone kama chuki itaendelea, Chuki ya sasa ipo automatic kwa wananchi wala haihitaji hamasa toka kwa kikundi au watu wowote wale.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom