Hapana sio kweli ni vya chukuchukuSerikali imetuletea viwanda vya chuki.
Sorry hizo njia bora na salama ni zipi? Ukiweza hebu ziainishe tafadhali[/Q HAWEZI WEKA ILA ANATOTOMBA MANENO TU.
Kukiwa na tatizo suluhisho ni kunyamaza kimya au kulisema tatizo ili lipate ufumbuzi?Kkuna baadhi ya watu au vikundi kutoka pande mbalimbali wapo bize kutengeneza chuki ndani ya nchi yetu. Wanajaribu kuweka chuki kati ya wananchi na serikali.
Tunajua matatizo yapo ila sio ya kufikia kiasi hicho na kuna njia salama na bora zaidi za kuonesha mapungufu ya serikali bila kuleta sura ya chuki kwa sisi raia.
Mapungufu ya serikali hii ya kidikteta yamezidi na hakuna hata dalili ya kuyarekebisha. Kwa mfano badala ya kujisahihisha katika utendaji, usimamizi na utekelezaji wa shughuli mbalimbali za kimaendeleo, wanatumia TISS kuwateka na kuwatesa wakosoaji. Huu ni upuuzi ambao watanzania hatuwezi kuuvumilia hata kidogo.
Kukiwa na tatizo suluhisho ni kunyamaza kimya au kulisema tatizo ili lipate ufumbuzi?
Hizo unazodai chuki zinazotengenezwa,root cause ni nini?
Serikali inasingiziwa?
Yanayosemwa ni udaku?
Kama yanayosemwa ni uongo basi serikali ikanushe na kama ni ukweli ijirekebishe pia.
ww acha kuwa Mtetezi wa vyeti feki uone acheni kuonea watu muone kama chuki itaendelea, Chuki ya sasa ipo automatic kwa wananchi wala haihitaji hamasa toka kwa kikundi au watu wowote wale.
Nilini mlilalamikia shughuli za maendeleo? Kila siku malalamiko yenu yamejaa uzembe na uvivu. Mara njaa, mara ukuta, kata funua, hela ya rambirambi, oooh bashite, gwajima, roma. Katika hayo ipi hoja yamaendeleo? Kwa utawala huu wa Magufuli mtakaa tu! Wananchi wazalendo wa nchi hii tupo macho hakuna mtakaye myumbisha kwa hoja zenu mfu.
HawatafanikiwaKkuna baadhi ya watu au vikundi kutoka pande mbalimbali wapo bize kutengeneza chuki ndani ya nchi yetu. Wanajaribu kuweka chuki kati ya wananchi na serikali.
Tunajua matatizo yapo ila sio ya kufikia kiasi hicho na kuna njia salama na bora zaidi za kuonesha mapungufu ya serikali bila kuleta sura ya chuki kwa sisi raia.
Bashite peke yake amesababisha chuki kwa 60% na chuki zingine zimetokana na UdiktetaSerikali haiajiri,inakata 15% nje ya mkataba, hakuna fao la kujitoa, wenye vyeti feki hawashughulikiwi mi naona inajichonganisha yenyewe
Bashite peke yake amesababisha chuki kwa 60% na chuki zingine zimetokana na UdiktetaSerikali haiajiri,inakata 15% nje ya mkataba, hakuna fao la kujitoa, wenye vyeti feki hawashughulikiwi mi naona inajichonganisha yenyewe
Chuki zipo ili kuwafanya wananchi waamini hana la maana atakaloweza kuwafanyia kwenye uongoz wake ili tuwachague wao uchaguzi ujao.
Si kigezo cha kukumbatia vyati feki na Udiktetani kweli, sisi tunaofatilia maendeleo tunaona mwanga, lakini hawa wanaopenda kukosoa hawawezi kuona mafanikio. ni sawa na trafic akikagua gari hakosi kosa
Bashite peke yake amesababisha chuki kwa 60% na chuki zingine zimetokana na Udikteta
Si kigezo cha kukumbatia vyati feki na Udikteta