Watanzania tunapandikizwa chuki

Watanzania tunapandikizwa chuki

Watanzania wenyewe wanaakili kuliko unavyotegemea ndiyo mana hakuna upuuzi utakaofanyika tuufumbie macho na mkiona watu wameanza kushambulia kwenye mitandao kuna siku tutaingia pale White House kwa miguu kutoka mikoa yote tuliyo ahidiwa 50 million
 
kweli, hayo ndo maswali tunatakiwa kuhoji kwa mkulu.
 
hao wanaotekwa wakitekwa amani itapatikana trust me

Unauhakika na unachokisema au kwa sababu siyo wewe wala nduguyo aliyotendwa??Hivi Mwimbaji aliyemuimba Makonda amesababisha nini??Kwamba maendeleo hayakufikia malengo au??

Nashangaa kwanini watawala hawataki kukosolewa sijaona sababu baod na wala msitegemee kwa kutesa na kuua watu ndiyo unaleta amani mnajidanganya
 
Unamchukia sababu alianzisha vita ya dawa za kulevya? Km ni hivyo hongera teja! Au jamia mexco.

Kila kitu tunasingizia madawa ya kulevya hebu tuache Makonda ana maovu yake mengi kuliko hayo madawa.Kwanza marafiki zake wote ni drug lords.
 
sio dodoki kaka, watu tunapotosha wasiojua. tunawaweka njia panda walio kijijini.

Tukubali ukweli,anachofanya Makonda hata yeye mwenyewe anajua ameenda beyond his responsibility ila hajui kwamba hana immunity yeye siyo Rais,akitoka Magufuli possibility ya kufungwa ni kubw aaache kuumiza na kuua watu.
 
Serikali yenyewe ndo inapandikiza chuki kwa raia zikiratibiwa na pombe mwenyew
 
Tukubali ukweli,anachofanya Makonda hata yeye mwenyewe anajua ameenda beyond his responsibility ila hajui kwamba hana immunity yeye siyo Rais,akitoka Magufuli possibility ya kufungwa ni kubw aaache kuumiza na kuua watu.

true
 
Unauhakika na unachokisema au kwa sababu siyo wewe wala nduguyo aliyotendwa??Hivi Mwimbaji aliyemuimba Makonda amesababisha nini??Kwamba maendeleo hayakufikia malengo au??

Nashangaa kwanini watawala hawataki kukosolewa sijaona sababu baod na wala msitegemee kwa kutesa na kuua watu ndiyo unaleta amani mnajidanganya

nyimbo umeisikia kwanza.
 
Kila kitu tunasingizia madawa ya kulevya hebu tuache Makonda ana maovu yake mengi kuliko hayo madawa.Kwanza marafiki zake wote ni drug lords.

tuanze na ruge
 
Makonda kaanza kuandamwa baada ya list ya madawa ya kulevya. Ndipo yakaibuka makundi ya kina nyie lakini kabla ya hapo hatukuwasikia. Au alikuwa msafi kabla?
 
Bora huyo anaepandikiza watu waichukie serikali yao kuliko anaepandikiza wananchi wachukiane kwa misingi ya itikadi zao za vyama...kuona watu wa. vyama tofauti kutaka kusalimiana wakati wa matatizo no usaliti...
 
Napata goosebumps kucomment, maana nowdayz kuna katabia cha watu kudisappear
 
nyimbo umeisikia kwanza.

Hivi ukiwa kiongozi unadhani wote watakupenda au wote watakusujudia??Issue Magufuli uvumilivu ni sifuri anajua kulipiza visasi na chuki tu akiongeza na ubaguzi basi.
 
Makonda kaanza kuandamwa baada ya list ya madawa ya kulevya. Ndipo yakaibuka makundi ya kina nyie lakini kabla ya hapo hatukuwasikia. Au alikuwa msafi kabla?

Hakuan chochote aliaelezwa ukweli asitaje watu kama hana uhakika nao,na wengi amewataja hajakutwa na chochote.

Lakini bado Marafiki zake wote ni drug lords
 
Tunamshukuru Mungu kwa kutupatia dereva makini kabisa tunaamini tutafika salama na kutakuwa wenye furaha na tutamsifu na kumtaka aendelee kuwa dereva wetu siku za mbeleni.
 
Kkuna baadhi ya watu au vikundi kutoka pande mbalimbali wapo bize kutengeneza chuki ndani ya nchi yetu. Wanajaribu kuweka chuki kati ya wananchi na serikali.

Tunajua matatizo yapo ila sio ya kufikia kiasi hicho na kuna njia salama na bora zaidi za kuonesha mapungufu ya serikali bila kuleta sura ya chuki kwa sisi raia.
Usirudi tena hapa na upuuzi wako kama huu tena.
 
Back
Top Bottom