MfalmewaKiha
JF-Expert Member
- Feb 16, 2017
- 1,191
- 1,231
Ndugu zangu Poleni kwa majukum ambayo yamegubikwa na ukosefu wa vijisenti hivyo maisha kua magum kila kukicha
Naomba niingie kwenye Mada yangu
Bila shaka kila mmoja wetu anamfaham ya kwamba kuna maboresho ya passport, Passport hii mpya ya Tanzania inapatikana kwa hatua mbali mbali ikiwa ni pamoja na ku apply online nk.
Kwa mjibu wa maelezo inanyesha kua gharama ya kupata hii Hati ya kusafiria ni shiling 150,000.Wizara ilifanya Hivi Kama sehem ya kurahisisha huduma kwa wale wanao hitaji
Cha ajabu ni kwamba Hata km umekidhi Vigezo Haki ya Mungu huwezi kuipata kwa hyo bei, mizungusho utakayo kula hutakaa usahau. Ili ufanikiwe lazima hicho kiasi kiwe Mara mbili au tatu.
Jamani Hivi Tatizo ni nini kwetu watanganyika. Tunaomba Waziri anae husika aliangalie hili.
nb:Kama kuna anae taka kuongezea nyama kidogo karibu ili hili swala la passport liwe wazi.