Watanzania tunajua kwamba bei ya kupata hati ya kusafiria ni Tsh 150,000

Hizi kazi zingine bhana, kwa hiyo nikabadilishe kabla ya muda wake kuisha
 
Vitu kama pass port, leseni ya gari, na kujua kuendesha gari ni vitu ambavyo ukiwa kijana lazima uvipe kipaumbele uvitafute use navyo kama spare, mda wowote ule unamsha popo

Nikupe kisa kimoja hivi, walikujaga wazungu kujitolea katika mambo ya afya, basi wale wazungu mtoto wao akawa anaoa uko kwao ulaya kwaiyo wakaomba staff wanne waende kwenye harusi ya mtoto wao uingereza nauli kila kitu kwao wakajua kila mtu ana pass port ofisini bado wiki mbili mzungu akaja ofisini anaomba details za watu ili afutilie masuala ya viza nk, yani ofisi nzima hakuwepo hata mmoja wale wazungu walikuwa disappointed sana hawakuamini, sasa nagalia vitu kama hivyo
I doubt it, normal Visa ya uingereza u-apply kwa wiki mbili???
 
mimi nilibadili yangu ya zamani na kupata mpya kwa 150,000/= tu tena ndani ya wiki 2.
vitu vya muhimu ni viambatanisho vyote viwepo tena kwa usahihi, na uvumilivu kidogo ukienda kule makao makuu ya uhamiaji kupeleka form na wao kuchukua biometric info. hua kuna foleni kubwa hivyo tenga siku nzima. ukisha maliza kule watakupa siku ya kwenda kuifuata pasi yako makao makuu ya zamani kwenye jengo la wizara ya mambo ya ndani.
kama uko nje ya dar kwakweli sijui utaratibu.
(kumbuka wakiwa na mashaka na taarifa zako ni wajibu wao kuchunguza zaidi hivyo usikasirike, kwani wanatekeleza majukumu yao kwa niaba ya nchi)
Ni kweli mkuu, unajua watu wengine wanakutana na vishoka wanawaingiza chaka.

Mimi nimepata yangu na ya mwanangu kwa wiki mbili tu, tena nimelipia only 150,000 for each not more.

1099979
 
Ndugu zangu Poleni kwa majukum ambayo yamegubikwa na ukosefu wa vijisenti hivyo maisha kua magum kila kukicha

Naomba niingie kwenye Mada yangu
Bila shaka kila mmoja wetu anamfaham ya kwamba kuna maboresho ya passport, Passport hii mpya ya Tanzania inapatikana kwa hatua mbali mbali ikiwa ni pamoja na ku apply online nk.

Kwa mjibu wa maelezo inanyesha kua gharama ya kupata hii Hati ya kusafiria ni shiling 150,000.Wizara ilifanya Hivi Kama sehem ya kurahisisha huduma kwa wale wanao hitaji

Cha ajabu ni kwamba Hata km umekidhi Vigezo Haki ya Mungu huwezi kuipata kwa hyo bei, mizungusho utakayo kula hutakaa usahau. Ili ufanikiwe lazima hicho kiasi kiwe Mara mbili au tatu.

Jamani Hivi Tatizo ni nini kwetu watanganyika. Tunaomba Waziri anae husika aliangalie hili.

nb:Kama kuna anae taka kuongezea nyama kidogo karibu ili hili swala la passport liwe wazi.
Tatizo ulishalitaja hapo mwanzoni. Ukosefu wa vijisenti unaopelekea maisha kuwa magumu kila kukicha. Malipo zaidi ya laki be hamsini ni njia ya kurekebisha hilo tatizo kwa wahusika.
 
Vitu kama pass port, leseni ya gari, na kujua kuendesha gari ni vitu ambavyo ukiwa kijana lazima uvipe kipaumbele uvitafute use navyo kama spare, mda wowote ule unamsha popo

Nikupe kisa kimoja hivi, walikujaga wazungu kujitolea katika mambo ya afya, basi wale wazungu mtoto wao akawa anaoa uko kwao ulaya kwaiyo wakaomba staff wanne waende kwenye harusi ya mtoto wao uingereza nauli kila kitu kwao wakajua kila mtu ana pass port ofisini bado wiki mbili mzungu akaja ofisini anaomba details za watu ili afutilie masuala ya viza nk, yani ofisi nzima hakuwepo hata mmoja wale wazungu walikuwa disappointed sana hawakuamini, sasa nagalia vitu kama hivyo
Kama nawasikia iv wakisema "daah hi miseng& mweli
 
Waziri anatolea ufafanuzk video ya gwajima, halafu sijawahi kuona mtu muongo kama wewe,katafute popote pale wakikuomba zaidi ya 150000 navua nguo.
150,000/- ndo zitakiwazo na serikali. Nje ya hapo kuna gharama hizi zifuatazo...
1. Kujaza form online na kuiprint ni 10,000/- (kama ni kurasini basi huduma hii utaipata kwenye steshenare za pale nje ya jengo la uhamiaji.
2. Baada ya kuprinti form zinatakiwa zipigwe muhuri na mwanasheria. Wapo hapo nje na ni 10,000/-
3. Kama huna cheti cha kuzaliwa, utatengeneza affidavit yako na mzazi wako, kila moja 20,000/- Kwa mwanasheria hapo nje.
4. Kama unaihitaji haraka, nfo utajiongeza mwenyewe..
5. Barua serikali ya mtaa unakoishi 2,000/-
6. Stemp 2, moja kwenye kila affidavit 2,000/-

NB. PROCESS HIZI NI KAMA UNA PASSPORT YA ZAMANI NA UNATAKA MPYA. Kama huna ya zamani na ni mara yako ya kwanza kuomba passport JIANDAE KWA HELA ZAIDI
 
Ushauri tu mda nzuri wa kutafuta hati ya kusafiria ni mda ambao huna shida nayo yani chukua weka ndani acha ipigwe uvundo siku una shida nayo unaingia ndani unachukua tu, hizi mambo za kukimbizana kimbizana mda mambo unaitaji watu wanapigwa sana
Ushauri mzuri sana huu
 
Umewahi kufuatilia mkuu?
Achana naye huyo hajui kitu. Nimefuatilia wiki iliyopita nimekutana na hayo makitu niliyoyataja hapo juu. In total iligharimu 275,000/- hadi kuipata. Wapo wenye zaidi ya mwezi wanafuatilia na hawajui watafanikiwa lini
 
Ushauri tu mda nzuri wa kutafuta hati ya kusafiria ni mda ambao huna shida nayo yani chukua weka ndani acha ipigwe uvundo siku una shida nayo unaingia ndani unachukua tu, hizi mambo za kukimbizana kimbizana mda mambo unaitaji watu wanapigwa sana
Bonge la pwenti.... Sema kwenye form kuna pahala pa kujaza sababu ya kuomba passport na nchi unayokwenda.... HAPO FWEZA INAWEZA INGILIA KATI
 
150,000/- ndo zitakiwazo na serikali. Nje ya hapo kuna gharama hizi zifuatazo...
1. Kujaza form online na kuiprint ni 10,000/- (kama ni kurasini basi huduma hii utaipata kwenye steshenare za pale nje ya jengo la uhamiaji.
2. Baada ya kuprinti form zinatakiwa zipigwe muhuri na mwanasheria. Wapo hapo nje na ni 10,000/-
3. Kama huna cheti cha kuzaliwa, utatengeneza affidavit yako na mzazi wako, kila moja 20,000/- Kwa mwanasheria hapo nje.
4. Kama unaihitaji haraka, nfo utajiongeza mwenyewe..
5. Barua serikali ya mtaa unakoishi 2,000/-
6. Stemp 2, moja kwenye kila affidavit 2,000/-

NB. PROCESS HIZI NI KAMA UNA PASSPORT YA ZAMANI NA UNATAKA MPYA. Kama huna ya zamani na ni mara yako ya kwanza kuomba passport JIANDAE KWA HELA ZAIDI
Thanks mkuu kwa kufafanua, sipingani na wewe ila most ya hayo yanayokulia peas yako ni shortfalls zako mwenyewe zinakuwa.

Form nimejaza online, tumia the same bundle unayoingilia JF kufanyia kazi hiyo. Ukimaliza go and print kwa page 500/= kwa hiyo zile ni page 5 itakuwa 2500/

Mwanasheria mimi binafsi nlikwenda ofisi za wilaya ambapo kuna mahakama ya wilaya. Ile ni public office na wanatoa huduma, wakitaka malipo waambie wakupe risiti.

Cheti cha kuzaliwa ninacho na wazazi wanavyo . Sikutoa hata senti.

Barua ya serikali ya mitaa, ile pia ni public office na walinipa bila malipo. Anyway, pengine Zanzibar ni tofauti na bara.
 
Shida ni kuwa hizi system hazijawa well organised. Mfano kitambulisho cha taifa kinatakiwa kwenye hiyo process, LAKINI WENYE NAVYO NI WANGAPI? HALAFU KUBA SEHEMU HADI LEO SERIKALI HAIJAENDA KUANZISHA SUALA KITAMBULISHO

Nikikumbuka suala la Mwakyembe la cheti cha kuzaliwa na ndoa, unakumbuka raisi alimjibu nini Mwakyembe? Kwamba inawezekana hata yeye Mwakyembe Hana cheti hicho. Hii maana take gharama za affidavit inaweza isikwepeke Kwa wengi

Halafu kwa MTU mwingine unaposema aende Kwa wanasheria wa serikali KUNA MAANA YA NAULI AMBAYO NI BORA AKAYAFANYIE HAYO YOTE AT ONE POINT.
 
True
 
Kuna kitu sijakielewa kwenye process NZIMA ya kuomba hadi kuipata passport.... KWA NINI MTU MWENYE PASSPORT YA ZAMANI AJAZE BAADHI YA FOMU AU AONYESHE VITAMBULISHO KADHAA WAKATI ANA PASSPORT YA ZAMANI ILIYOTOLEWA NA MAMLAKA HIYI HIYO? KWA NINI ISIFANYIKE KAMA TUNAVYO-RENEW DRIVING LICENCE?

BY THE WAY... EMBU TUANGALIE TAARIFA ZILIZOMO KWENYE
1. Passport
2. Driving licence
3. Kitambulisho cha kupigia kura
4. Kitambulisho cha taifa

Hivyo vyote hapo juu vina almost the same information.... KWANINI TUNAINGIA GHARAMA YA KUKUSANYA TAARIFA ZILE ZILE NA AUTHORITIES TIFAUTI ZA SERIKALI WAKATI SERIKALI NI MOJA????

Muda na rasilimali mbalimbali zinapotezwa kwenye passport, bado utapoteza rasilimali hizo hizo kwenye kupata kitambulisho cha taifa, bado utatukuta kwenye foleni ya driving licence kuipeleka taarifa zile zile tilizopeleka kwenye passport na kitambulisho cha taifa, na tunafanya hayi hayo kwenye kitambulisho cha kupigia kura.... WHY..??
 
haya tuambie wana apply kwa mda gani, usibishe tu bila kuja na fact
Three months before kwa hizi Visa za kawaida, harusi, sijui holidays, sijui visiting friends etc etc.

Emergency zipo ila you have to have a very strong case mzee baba.

NB: am writing from experience
 
Back
Top Bottom