Kwa wenzetu kuwa na Passport ni lazima kama kuwa na kitambulisho cha kawaida, Kibongo bongo kupata passport ni ngumu sanaaa...na kama privilege fulani hivi.Vitu kama pass port, leseni ya gari, na kujua kuendesha gari ni vitu ambavyo ukiwa kijana lazima uvipe kipaumbele uvitafute use navyo kama spare, mda wowote ule unamsha popo
Nikupe kisa kimoja hivi, walikujaga wazungu kujitolea katika mambo ya afya, basi wale wazungu mtoto wao akawa anaoa uko kwao ulaya kwaiyo wakaomba staff wanne waende kwenye harusi ya mtoto wao uingereza nauli kila kitu kwao wakajua kila mtu ana pass port ofisini bado wiki mbili mzungu akaja ofisini anaomba details za watu ili afutilie masuala ya viza nk, yani ofisi nzima hakuwepo hata mmoja wale wazungu walikuwa disappointed sana hawakuamini, sasa nagalia vitu kama hivyo
Jinga wwWaziri anatolea ufafanuzk video ya gwajima, halafu sijawahi kuona mtu muongo kama wewe,katafute popote pale wakikuomba zaidi ya 150000 navua nguo.