Alvajumaa
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 4,953
- 6,071
Mimi nilijaribu kufuatilia mtu kaniambia nijiandae na 250k, mwingine ananiambia niandae 350k, kimsingi nahitaji sana hiyo kitu maana fursa za masomo zinanipita hivi hiviAchana naye huyo hajui kitu. Nimefuatilia wiki iliyopita nimekutana na hayo makitu niliyoyataja hapo juu. In total iligharimu 275,000/- hadi kuipata. Wapo wenye zaidi ya mwezi wanafuatilia na hawajui watafanikiwa lini
Hata hivyo niliwahi kufanya kazi na wazungu, wao wanashangaa kwanini sikua nayo maana ni hitaji la msingi