Watanzania tumuunge mkono Rais Magufuli Kutatua changamoto zetu ona hapa Mchungaji wa Trump akiomba Malaika toka Afrika wamsaidie Trump kushinda

Rais Magufuli anajiamini na anapenda kutafuta ufumbuzi wa matatizo yetu ambao ni Made in Tanzania.

Mchungaji na mshauri wa kiroho wa Donald Trump anayeitwa Paula White hawaamini hata malaika wa Marekani anaamini zaidi malaika wa Africa Kuwa ndio waweza msaidia TRump kushinda ,Tanzania na Africa tutembee kifua mbele

Msikie mwenye akiomba na mwafrica mwenzetu akitoa comment.

Labda angeomba afundishwe mbinu za wizi wa kura
 
Malaika wa Africa waligoma kwenda kumsaidia Trump kushinda sababu aliita nchi za Africa SHIT HOLE COUNTRIES
Lkn ndo ukweli wenyewe.

JE HOTUBA ALIYOITOA RAISI TRUMP SEPTEMBER 2018 JUU YA AFRIKA KATIKA MKUTANO WA UMOJA WA MATAIFA NI MATUSI AU NDO UKWELI?
Ingawa Mimi ni mwanasiasa mdogo na sipendi upuuzi na uzandiki kwenye mambo ya msingi, Kuna post nilitumiwa ambayo imeandikwa kwa Kiingereza kuhusiana na hotuba aliyoitoa Raisi Trump Donald wa Marekani.
Nimeona niitafsiri kwa Kiswahili ili wengi tuweze kutoa maoni yetu kuhususiana na mtazamo wake juu ya bara letu la Afrika.
Kumbuka wakati huu karibu nchi 133 za dunia zimekutanika ikiwemo na Tanzania ambayo imewakilishwa na waziri wa mambo ya nchi za nje.
Haya ni mambo yaliyonukuliwa katika hotuba ya Raisi Trump akiongelea bara la Afrika. Naomba usome na utoe maoni yako. Akiwa anawasuta viongozi wa Afrika, Trump anahoji kwamba:
  • lkiwa sasa imefika miaka 50 ya uhuru na bado viongozi wengi wa Afrika wameshindwa kuwa na miundo mbinu thatbiti kwa ajili ya watu wao, je hao viongozi ni binadamu kweli?
  • Anaendelea kusema kuwa ikiwa ninyi viongozi mnakalia dhahabu, almasi, mafuta na uranium na watu wenu wanakosa chakula, je ninyi viongozi wa afrika ni watu kweli?
  • Kama mnakaa kwenye madaraka na kununua silaha kutoka kwa wageni na kuua watu wenu, je ninyi ni binadamu kweli?
  • Kama mnawaza kukaa madarakani mpaka mwisho wa maisha yetu, je ninyi ni binadamu kweli?
  • Ikiwa mnatumia maliasili ya nchi zenu kwa maendeleo ya familia zenu, je ninyi ni watu kweli?
  • lwapo hamjali kuweka miundo mbinu ya afya za watu wenu na badala yake mkiugua mnaenda kutibiwa nchi za nje, Je ninyi ni binadanu kweli?
  • Mtaheshimikaje katika mataifa yenu wakati mnapiga risasi raia wenu kama vile ni mchezo?
*Amemalizia kwa kusema kuwa viongozi wa Afrika wataendelea kuwa kama wanyama hadi watakapo badili mtazamo wao na kuheshimu watu wanaowaongoza.

NB: Hadi kufikia hapo, unadhani Raisi Trump inatakiwa alaumie kutokana na tabia zake za kutukana waafrika, au labda anachosema ni kweli tukubaliane na yeye?
Una maoni gani kutokana na hotuba aliyoitoa huko kwenye kikao cha umoja wa mataifa? Hizi ni dharau za wazungu au kuna ukweli ndani yake?
 
jIBU rahisi tu waafrika tunauawa na wazungu wanaozitaka mali asili zetu na madini yetu tutawezaje kuendelea wakati wao sehemu zote zenye mali asili na migogoro wanavalisha silaha wapiganaji na kuwauzia silaha? Mali za asili zetu na madini yetu yanaishia kwao tukigoma kuwapa wanaangusha serikali zetu na kutuua na mabomu na kubomoa miundombinu yetu

Bei za vitu vyao wanavyozalisha wao ndio wanapanga beei lakini sisi haturuhusiwi kupanga bei za mazao yetu wala mali ghafi zetu wala madini yetu hivyo tunaishia tu kuwa maskini wao wakiendelea kutajirika

Wao hujiamulia mambo yao kuhusu siasa zao hatuwaingilii lakini wao kutwa kutuingilia kutaka tufanye kama wanavyotaka wao

Kiujumla TRump alichoongea ni kutukana Africa kama alivyozoea

Angalia nchi zote zenye mafuta za kiarabu za Africa wamezibomoa zote kupitia Arab spring na kuziacha hali mbaya kiuchumi

Congo kutwa wao wanaiba madini na ku arm armed groups
 
Lkn ndo ukweli wenyewe.

JE HOTUBA ALIYOITOA RAISI TRUMP SEPTEMBER 2018 JUU YA AFRIKA KATIKA MKUTANO WA UMOJA WA MATAIFA NI MATUSI AU NDO UKWELI?
Ingawa Mimi ni mwanasiasa mdogo na sipendi upuuzi na uzandiki kwenye mambo ya msingi, Kuna post nilitumiwa ambayo imeandikwa kwa Kiingereza kuhusiana na hotuba aliyoitoa Raisi Trump Donald wa Marekani.
Nimeona niitafsiri kwa Kiswahili ili wengi tuweze kutoa maoni yetu kuhususiana na mtazamo wake juu ya bara letu la Afrika.
Kumbuka wakati huu karibu nchi 133 za dunia zimekutanika ikiwemo na Tanzania ambayo imewakilishwa na waziri wa mambo ya nchi za nje.
Haya ni mambo yaliyonukuliwa katika hotuba ya Raisi Trump akiongelea bara la Afrika. Naomba usome na utoe maoni yako. Akiwa anawasuta viongozi wa Afrika, Trump anahoji kwamba:
  • lkiwa sasa imefika miaka 50 ya uhuru na bado viongozi wengi wa Afrika wameshindwa kuwa na miundo mbinu thatbiti kwa ajili ya watu wao, je hao viongozi ni binadamu kweli?
  • Anaendelea kusema kuwa ikiwa ninyi viongozi mnakalia dhahabu, almasi, mafuta na uranium na watu wenu wanakosa chakula, je ninyi viongozi wa afrika ni watu kweli?
  • Kama mnakaa kwenye madaraka na kununua silaha kutoka kwa wageni na kuua watu wenu, je ninyi ni binadamu kweli?
  • Kama mnawaza kukaa madarakani mpaka mwisho wa maisha yetu, je ninyi ni binadamu kweli?
  • Ikiwa mnatumia maliasili ya nchi zenu kwa maendeleo ya familia zenu, je ninyi ni watu kweli?
  • lwapo hamjali kuweka miundo mbinu ya afya za watu wenu na badala yake mkiugua mnaenda kutibiwa nchi za nje, Je ninyi ni binadanu kweli?
  • Mtaheshimikaje katika mataifa yenu wakati mnapiga risasi raia wenu kama vile ni mchezo?
*Amemalizia kwa kusema kuwa viongozi wa Afrika wataendelea kuwa kama wanyama hadi watakapo badili mtazamo wao na kuheshimu watu wanaowaongoza.

NB: Hadi kufikia hapo, unadhani Raisi Trump inatakiwa alaumie kutokana na tabia zake za kutukana waafrika, au labda anachosema ni kweli tukubaliane na yeye?
Una maoni gani kutokana na hotuba aliyoitoa huko kwenye kikao cha umoja wa mataifa? Hizi ni dharau za wazungu au kuna ukweli ndani yake?
Hotuba ya Trump ni kweli kabisa na ni kweli zaidi kwa Tanzania na ni Awamu hii ndo imefanya ukweli huo kuwa dhahiri kwa dunia nzimà kuona. Awamu hii ilipoingia madarakani kabla ya kutathimini hali ya huduma za kijamii, ikanunua madege kwa pesa taslimu na kuanza kujenga Uwanja ndipo ATCL ikaanza kuundwa madege yakiwa tayari yamewasili. Mifano ni mingi lakini hayo yakifanyika, watoto wetu shuleni wanakalia mawe wengi wakisomea chini ya miti wakijisaidia vichakani, wagonjwa hospitalini hakuna vitanda wala watumishi wala madawa wakinamama wanalala wawili/watatu kitanda kimoja wengi wakizalia nyumbani au mitaroni wakielekea hospitali, hakuna hata mji mmoja unaopata maji safi na salama 100%, vijijini mvua ikinyesha madimbwi barabarani ndo yanasaidia. Awamu ya Tano imemaliza kipindi cha kwanza na madege yamepark tu mengine yakingojewa, hali za wananchi zimebaki mbaya vilevile, Miradi inasemwa tu haionekani, Viwanda hata 4000 vya Cherehani 4 vya Mwijage havionekani tunaendelea kuvaa mitumba, Walugulu bado wanasafiri na Aboud Bus kwenda Dar SGR haijulikani iliko. Trump angekuja huku atusaidie!
 
Rais Magufuli anajiamini na anapenda kutafuta ufumbuzi wa matatizo yetu ambao ni Made in Tanzania.

Mchungaji na mshauri wa kiroho wa Donald Trump anayeitwa Paula White hawaamini hata malaika wa Marekani anaamini zaidi malaika wa Africa Kuwa ndio waweza msaidia TRump kushinda ,Tanzania na Africa tutembee kifua mbele

Msikie mwenye akiomba na mwafrica mwenzetu akitoa comment.

Tunashukuru Mungu hajamsikia
 
Back
Top Bottom