Escrowseal1
JF-Expert Member
- Dec 17, 2014
- 4,434
- 4,223
Ombi langu moja tu asubuhi ya leo. Rais juzi amesema kuwa amekutana na wasanii wakubwa nchini marekani
Watanzania hatukujua hilo, naamini anaendelea kukutana na wadau mbali mbali ila litakuwa kosa kubwa kuujenga utamaduni huu Rais wetu wa nchi kuwa anakutana na wadau gizani.
Popote duniani huo utamaduni haupo Rais hana uhuru huo ndo maana yuko under sport light 24/7.
Kama nimekosea mnisamehe ila binafsi naamini vyombo vya habari vina wajibu wa kutuangazia kila analolifanya. Hili ni kwa usalama wa Taifa letu kwani tuna historia si nzuri sana kuhusiana na hili.