Watanzania Tuamke Kufuga Nyuki ni Biashara | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Watanzania Tuamke Kufuga Nyuki ni Biashara

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by epictanzania, Jan 23, 2010.

 1. e

  epictanzania Member

  #1
  Jan 23, 2010
  Joined: Mar 11, 2006
  Messages: 21
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 3
  Siku nyingi nilipotea nilikuwa shamba narafiki zangu Nyuki. Badala ya kukaa mjini nashauri wasomi tuanze kufikiria jinsi ya kuwekeza katika nyuki. Kuliko kuwa busy mjini na kinywaji ebu tuanze kuangalia namna ya kuzalizalisha asali.Ushauri ni bure maana ASALI ndo bidhaa pekee na maziwa ambayo MUNGU aliahidi watu wake.

  Wabongo au tunasubiri Wachina waje waanze kufuga nyuki na sisi tuanze kulalamikia ujio wao. Wakati ni huu ASALI ni mali fikiria tani moja ya Asali ni pesa ya kibongo Miliion 3. Akuna kununua dawa wala kulisha nyuki, hakuna traffic wala nimechoka nyuki mtindo mmoja anafanya kazi kwa ajili yako.

  Wenzangu mnaonaje baada ya kupotea nimegundua hilo baada ya miezi 4 anaye taka asali aje kwanngu ninayo tayari Je wewe vipi bado wataka kukaa mjini?
   
 2. Freetown

  Freetown JF-Expert Member

  #2
  Jan 24, 2010
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 887
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  wazo zuri, unahitaji kuwekeza kiasi gani ili kupata tani moja ya asali?, mfano ni mizinga mingapi, na inachukua mda gani, na maeneo gani yanayofaa, na yanapatikanaje, na unahitaji watu wangapi wa kulinda/kutunza kwa tani
   
 3. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #3
  Jan 24, 2010
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,604
  Trophy Points: 280
  Tunaotaka Asali tupo lakini usitutilie na Sukari ukachanganya naukasema hiyo ndio Asali original
   
 4. Sipo

  Sipo JF-Expert Member

  #4
  Jan 24, 2010
  Joined: Jul 25, 2008
  Messages: 2,146
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Ndio
   
 5. Sipo

  Sipo JF-Expert Member

  #5
  Jan 24, 2010
  Joined: Jul 25, 2008
  Messages: 2,146
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Tuko makini vibaya sana siku hizi, hatudanganyiki, hakiweka sukari lazima akakae mahala bila dhamana
   
 6. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #6
  Jan 24, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Good idea.
   
 7. Sipo

  Sipo JF-Expert Member

  #7
  Jan 24, 2010
  Joined: Jul 25, 2008
  Messages: 2,146
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  but the bra is too much talkative and i doubt in the effective implementation and maintainance
   
 8. Kamakabuzi

  Kamakabuzi JF-Expert Member

  #8
  Jan 26, 2010
  Joined: Dec 3, 2007
  Messages: 1,497
  Likes Received: 81
  Trophy Points: 145
  Mimi ni asali kama tani 5. Naomba tuwasiliane ili tukamate hili soko. At 3m/- a tone, japo ni kidogo lakini I think I can accept provided hakuna gharama nyingine. Contact zangu :click kwenye jina langu; au kamakabuzi@yahoo.com
   
 9. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #9
  Jan 26, 2010
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,632
  Trophy Points: 280

  Heshima mbele epictanzania,

  Nimelipenda wazo lako zuri sana.
  Tafadhali naomba darasa la uhakika kuhusu ufugaji wa nyuki.

  [1] Eneo zuri kwaajili ufugaji wa nyuki.

  [2] Vifaa gani muhimu vitakavyohitajika eg mizinga na vifaa vya kuvuna asali.

  [3] Soko la uhakika liko wapi eg ndani au nje ya nchi.

  [4] Athari zitokanazo na ufugaji wa nyuki eg mazingira na aina ya nyuki ambao wanaweza hata kuua.


  [4]

  [3]
   
Loading...