Watanzania tu wavivu mno!

Ni kweli watz ni wavivu na watu wa majungu sana, mfano hai ni huyu mbunge sijui Lissu badala ya kupiga kazi jimbo lake lijitoe kwenye umaskini wa hali ya juu yy anapiga domo kuwatetea wazungu wanaotuibia dhahabu yetu...kama sio uvivu ni nini?? Kupenda pesa za rahisi rahisi za kuhongwa kupiga domo.hovyooo
 
we mwenyewe inaonekana umvivu balaa,umeacha kazi upo huku unapiga umbea
 
watanzania tumekubuhu kwa uvivu hilo halina ubishi. Nasubiria mradi wa Bomba la mafuta (Hoima-Uganda to Tanga port) watajaa wachina, wahindi na wakenya, watanzania wengi tutabaki kuwa Mama Ntilie na Wezi wa vipisi vya mabomba. ptuuu!
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] keli TZ kiboko
 
Kweli kabisaa,na kufatilia umbea Instagram.kazi tunayo
 
World's Majungu Tournament Champions - Watanzania weusi.
Ni kweli Wahindi wanatusua hapa hapa sisi tumekalia kuvaa kobazi kusuburia misaada ya tende na kitimoto toka ughaibuni
 
kwasababu tu una kazi unalipwa 500k ndo unaita wenzako ambao hawajpata kazi wavivu pumbavu wew embu resign uje ukafanye izo fursa unazoziona uku nje shenzy type embu wabebeni vijana wakitanzania kama hao wahindi na wachina wanavyobebana tuone unadhani kuna muhindi anakuja Tz na hajui anakuja kufanya nini mmekaa kusengenya wenzenu tu idiots leave that fucking job of urs uje uwe bilionea kwenye izo fursa unazowaambia wenzako daily
 
Watanzania sio wavivu sema fursa nyingi zina password watu wengi hawapendi wenzao wawe na mafanikio..ndio maana ni rahisi kwa mgeni kupiga pesa huku ninyi wenyewe mkipigana vikumbo...mbona huko nje Watz ndio wanapiga sana kazi mkuu
Walioko nje ya TZ ni sample ndogo sana mkuu.Haitoshi kabisa ku-conclude kwamba WaTZ sio wavivu.Mimi nakubali waTZ ni wavivu, hasa vijana wetu wa 4G.
 
Tena ni wavivu hata wa kufikiri. Mtu anakuambia mungu yupo. Bila ya kuhoji na kuuliza sababu, unaanza kutangaza uwepo wake
Tena viongozi wa dini nao wametumia mwanya wa uvivu kujitajirisha. Kwa mwamvuli wa kuombeana miujiza
 
Walioko nje ya TZ ni sample ndogo sana mkuu.Haitoshi kabisa ku-conclude kwamba WaTZ sio wavivu.Mimi nakubali waTZ ni wavivu, hasa vijana wetu wa 4G.
Kila kijana anatamani awe na mafanikio lakini kutwa anashinda kijiweni kushabikia mpira wa ulaya
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…