Watanzania ni wajinga wanastahili kuibiwa

BICHWA KOMWE -

JF-Expert Member
Jul 21, 2022
4,724
10,251
Hapa narejea nukuu ya Mwalimu Nyerere kwamba ujinga ni kipaji kama ufupi na urefu. Ni kama aina fulani ya unyumbu wa kurithi.

Sijaona mashekhe wakiandamana kupinga ripoti ya CAG iliyosheheni ufisadi na ujambazi wa kutisha.

Sijaona makongamano ya mapadri na watawa wenye vilemba wakikemea ufisadi kwa mbwembwe na madaha kama wanavyofanya kwenye kufokea usagaji.

Sijaona mitandao ikifurika kwa mapovu na jazba dhidi ya majizi yanayokwapua pesa ya nchi na kuzitumbua watakavyo.

Humu mitandaoni pamejaa hadithi za kula matunda ya kimaskhara pamoja na mbinu za kutafuna wake za watu bila kukamatwa.

Huwezi kukutana na critical analysis ya taarifa ya CAG. Ni hadithi za papuchi tu na kutafunana.

Watu kama hawa waliojichokea kwenye ujinga na unyumbu, ni haki yao kuibiwa. Sheria ya mwituni lazima itawale ili maandiko yatimie kwamba nyumbu ni halali ya simba.

Magoigoi lazima wadhibitiwe na wenye nguvu. Ni sheria ya asili.
 
Jamhuri ya nyumbu
IMG-20230331-WA0003.jpg
 
Na wewe sasa anza kazi ya kukemea maana pia ni miongoni mwa nyumbu
 
Kwani hayo uliyoandika ndio yanahalalisha kuibiwa?
 
Tanzania tuna kaujinga fulani
Tupo radhi kutukanana kuhusu simba na yanga Diamond na alikiba ia report ya CAG hawana muda nao
Yaani ni hatari sana meku.

Hapa tujiandae kuletewa "connection" mpya ya mke wa mtu kutafunwa mbususu na houseboy.

Tutajikita huko kwa wiki nzima.
 
Hapa narejea nukuu ya Mwalimu Nyerere kwamba ujinga ni kipaji kama ufupi na urefu. Ni kama aina fulani ya unyumbu wa kurithi.

Sijaona mashekhe wakiandamana kupinga ripoti ya CAG iliyosheheni ufisadi na ujambazi wa kutisha.

Sijaona makongamano ya mapadri na watawa wenye vilemba wakikemea ufisadi kwa mbwembwe na madaha kama wanavyofanya kwenye kufokea usagaji.

Sijaona mitandao ikifurika kwa mapovu na jazba dhidi ya majizi yanayokwapua pesa ya nchi na kuzitumbua watakavyo.

Humu mitandaoni pamejaa hadithi za kula matunda ya kimaskhara pamoja na mbinu za kutafuna wake za watu bila kukamatwa.

Huwezi kukutana na critical analysis ya taarifa ya CAG. Ni hadithi za papuchi tu na kutafunana.

Watu kama hawa waliojichokea kwenye ujinga na unyumbu, ni haki yao kuibiwa. Sheria ya mwituni lazima itawale ili maandiko yatimie kwamba nyumbu ni halali ya simba.

Magoigoi lazima wadhibitiwe na wenye nguvu. Ni sheria ya asili.
Mkuu mwanadamu yyte ukimuweza kwenye elimu basi umefanikiwa sana kwa mambo yalivyo mm simlaumu mwananchi yyte hii ni matokea ya mifumo ya elimu tuliyonayo na wenye mifumo ni serikali so labda viongozi waliweka mifumo hii ya elimu kimakusudi kabisa ili waendelee kutufanya majinga wao wafanye yao.

Bahati mbaya sana kuna mashekh, wachungaji ni waongeaji sana ila kwenye mambo muhimu kabisa wala huwasikii wanamute kama hawayahusu.

Basi wasomi kama wanasheria wetu tulitegemea wao wangetufumbua macho ujue mwanasheria msomi wanaweza kweda kufungua kesi kushinikiza serikali iwafute kazi wezi waliotajwa kwenye ripoti ila hutakaa huwaone kwakituwakilisha. Wabunge wananguvu kabisa kisheria ila hapo ndio sisemi kabisa wote tunajua bunge letu lilivyo ni chechefu.

Hii nchi watu wake ni maiti zinazotembea.
 
Ndio maana niko hapa kuwafokea ili muamkee mtoke kwenye unyumbu wa kurithi.
Andaa press mkuu huku ni asilimia chache sana ya watanzania. Jf registered members ni 631,782 na watanzania tupo 61,741,120 ungefanya namna ufikie angalau 50% ya watanzania.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom