Watanzania ni wajinga wanastahili kuibiwa

Tatizo ni shule ya mawazo. Dhana ni kwamba Waafrika ni wajinga na kwa hivyo, wanapaswa kuzungumziwa kwa kupuuza kabisa utu wao. Hii peke yake haina tija na matokeo hayazai matunda... Sijawahi kukaa na kumsikiliza yeyote anaye kosa adabu na ni mnyanyasaji.

Hakuna mtu humu anayeweza kuwa anawaita watoto zake au ndugu zake wajinga kila siku halafu akategemea kupata mazuri.

Wacheni ugaidi
Je wajua kuwa ile 1.5 tr mpaka leo haijulikani ilipo
 
Siunawaona hata walimu tz? Mtu anakuwa na likizo yake ya mwaka anaambiwa hakuna kwenda likizo Baki kufundisha,anahamishwa pesa ya uhamisho hapati,anaambiwa achangie mwenge anachanga, madaraja kupanda imekuwa kudra sio haki tena,nyongeza za mishahara pia hakuna.NI UNYONYAJI NA UKANDAMIZAJI TU ILI WENGINE WAIBE HIZO PESA. WATANZANIA NDIVYO TULIVYO WAOGA SANA,HATUJITAMBUI. LEO MATAIFA MENGI YANAPIGNIA HALI YA MAISHA,LAKINI TZ NI KAMA DEAD BODIES.
 
Hapa narejea nukuu ya Mwalimu Nyerere kwamba ujinga ni kipaji kama ufupi na urefu. Ni kama aina fulani ya unyumbu wa kurithi.

Sijaona mashekhe wakiandamana kupinga ripoti ya CAG iliyosheheni ufisadi na ujambazi wa kutisha.

Sijaona makongamano ya mapadri na watawa wenye vilemba wakikemea ufisadi kwa mbwembwe na madaha kama wanavyofanya kwenye kufokea usagaji.

Sijaona mitandao ikifurika kwa mapovu na jazba dhidi ya majizi yanayokwapua pesa ya nchi na kuzitumbua watakavyo.

Humu mitandaoni pamejaa hadithi za kula matunda ya kimaskhara pamoja na mbinu za kutafuna wake za watu bila kukamatwa.

Huwezi kukutana na critical analysis ya taarifa ya CAG. Ni hadithi za papuchi tu na kutafunana.

Watu kama hawa waliojichokea kwenye ujinga na unyumbu, ni haki yao kuibiwa. Sheria ya mwituni lazima itawale ili maandiko yatimie kwamba nyumbu ni halali ya simba.

Magoigoi lazima wadhibitiwe na wenye nguvu. Ni sheria ya asili.
Umesahau cdm na kizitto unakuta vimbele mbele wa kuchambua report ya CAG kwa mbwembwe
 
Mifumo ya nchi inaandaa watu kuwa mazezeta ili wataliwe kirahisi
 
Watanzania si wajinga ila slow learners katika demokrasia, kuna siku tu wataamka na kukataa mambo ya kijinga.
 
Hapa narejea nukuu ya Mwalimu Nyerere kwamba ujinga ni kipaji kama ufupi na urefu. Ni kama aina fulani ya unyumbu wa kurithi.

Sijaona mashekhe wakiandamana kupinga ripoti ya CAG iliyosheheni ufisadi na ujambazi wa kutisha.

Sijaona makongamano ya mapadri na watawa wenye vilemba wakikemea ufisadi kwa mbwembwe na madaha kama wanavyofanya kwenye kufokea usagaji.

Sijaona mitandao ikifurika kwa mapovu na jazba dhidi ya majizi yanayokwapua pesa ya nchi na kuzitumbua watakavyo.

Humu mitandaoni pamejaa hadithi za kula matunda ya kimaskhara pamoja na mbinu za kutafuna wake za watu bila kukamatwa.

Huwezi kukutana na critical analysis ya taarifa ya CAG. Ni hadithi za papuchi tu na kutafunana.

Watu kama hawa waliojichokea kwenye ujinga na unyumbu, ni haki yao kuibiwa. Sheria ya mwituni lazima itawale ili maandiko yatimie kwamba nyumbu ni halali ya simba.

Magoigoi lazima wadhibitiwe na wenye nguvu. Ni sheria ya asili.
Jamii haiwi na jambo moja. Kuna hadithi moja ya zamani enzi ya TANU inasema: Vipofu wawili walikuta tembo amekufa watu wanashangaa shangaa kipofu mmoja akapapasa sikio na mwingine akapapasa mgongo na ubavu. Yule wa kwanza akasema amejua kumbe tembo anafanana na ungo mkubwa yule wa pili akassema amejua sasa kuwa te.bo anafanana na ukuta. Watu wenye macho wakataka kuwafafanulia lakini wale vipofu hawakutaka kuwasikiliza hivyo wale vipofu wakaondoka kwenda kuwahadithia vkpofu wenzao jinsi tembo alivyo kila mmoja na tafsiri yake.

Huu mfano nimeutoa kukujibu kuwa sisi kama jamii tunayo matatizo/ changamoto nyingi, hivyo kujadili zaidi changamoto moja kuliko nyingine haimaanishi hiyo nyingine sio changa.moto. viongozi wa dini au jamii kujadili ushoga ni sawa kwa sababu ni jambo linalotishia uhai wa taifa letu in long term ingawa wewe kwako sio tatizo na inawezekana unasapoti ushoga.

Mimi binafsi kwa mfano nasoma nyuzi mbalimbali za siasa hapa jf na pia nachangia lakini hiyo hainizuii kusocialise na nyuzi za burudani jf.

Hiyo ripoti ya CAG mpaka sasa haiawekwa kwenye tovuti ni highlights zimetolewa na wengi jumu wametoa maoni nini kifanyike.

Usiwe kama vipofu wale wawili.
 
Hapa narejea nukuu ya Mwalimu Nyerere kwamba ujinga ni kipaji kama ufupi na urefu. Ni kama aina fulani ya unyumbu wa kurithi.

Sijaona mashekhe wakiandamana kupinga ripoti ya CAG iliyosheheni ufisadi na ujambazi wa kutisha.

Sijaona makongamano ya mapadri na watawa wenye vilemba wakikemea ufisadi kwa mbwembwe na madaha kama wanavyofanya kwenye kufokea usagaji.

Sijaona mitandao ikifurika kwa mapovu na jazba dhidi ya majizi yanayokwapua pesa ya nchi na kuzitumbua watakavyo.

Humu mitandaoni pamejaa hadithi za kula matunda ya kimaskhara pamoja na mbinu za kutafuna wake za watu bila kukamatwa.

Huwezi kukutana na critical analysis ya taarifa ya CAG. Ni hadithi za papuchi tu na kutafunana.

Watu kama hawa waliojichokea kwenye ujinga na unyumbu, ni haki yao kuibiwa. Sheria ya mwituni lazima itawale ili maandiko yatimie kwamba nyumbu ni halali ya simba.

Magoigoi lazima wadhibitiwe na wenye nguvu. Ni sheria ya asili.
Nakubaliana na wewe mkuu. Watanzania wana akiki za funza. Uchawa ndio kipaji chao. Acha wenye akili wapige na kula kwa urefu wa kamba zao
 
Hapa narejea nukuu ya Mwalimu Nyerere kwamba ujinga ni kipaji kama ufupi na urefu. Ni kama aina fulani ya unyumbu wa kurithi.

Sijaona mashekhe wakiandamana kupinga ripoti ya CAG iliyosheheni ufisadi na ujambazi wa kutisha.

Sijaona makongamano ya mapadri na watawa wenye vilemba wakikemea ufisadi kwa mbwembwe na madaha kama wanavyofanya kwenye kufokea usagaji.

Sijaona mitandao ikifurika kwa mapovu na jazba dhidi ya majizi yanayokwapua pesa ya nchi na kuzitumbua watakavyo.

Humu mitandaoni pamejaa hadithi za kula matunda ya kimaskhara pamoja na mbinu za kutafuna wake za watu bila kukamatwa.

Huwezi kukutana na critical analysis ya taarifa ya CAG. Ni hadithi za papuchi tu na kutafunana.

Watu kama hawa waliojichokea kwenye ujinga na unyumbu, ni haki yao kuibiwa. Sheria ya mwituni lazima itawale ili maandiko yatimie kwamba nyumbu ni halali ya simba.

Magoigoi lazima wadhibitiwe na wenye nguvu. Ni sheria ya asili.
Umenena !!
 
Reflection nzuri!
Inasikitisha lakini ndo ukweli !
Wasomi wengi wamekua wanafanya kinyume na taaluma zao yaani wako tayari kudefend uongo kwa ajili ya personal benefits (uchawa) kama uko tofauti huna nafasi !
Ujio wa VP wa USA ndo umesahaulisha ripoti ya CAG maisha yanaendelea mpaka ripoti nyingine ! Na hii si kwa Tanzania tu Afrika nzima
Why? Hatuna uzalendo na mapenzi ya kweli kwa nchi zetu na hata generations zetu !tunapenda kushindana nani ana mafanikio zaidi au cheo zaid!
Mwafrika kumuona mwenzake anateseka sio ishu kubwa kwake ilimradi akirudi kijijini kwao anaheshimika hii ndo faraja yake.
Uzalendo unabidi uanzie mashuleni kwamba elimu haikufanyi upate ajira au uwe tajiri (kama inavotafsiriwa sasa) bali ni nyenzo muhimu ya kuweza kuzilinda rasilimali tulizo nazo na kusimamia matumizi yake ili yalete manufaa kwa nchi .
Ukifanya tathimini ya kina watumishi wengi wa uma wanapata nafasi kupitia connections( na watu wamehalalisha kabisa “bila connection hutoboi”) wale wenye uwezo ndo wanaachwa jamii forum huku kulalamika !
Uzalendo na Ubinafsi ndo vinatupeleka tunakokwenda!
Tukiendelea kuweka watu wetu huko kwa kigezo Cha undugu na sio uwezo basi uchawa ndo litakua kimbilio la vijana wengi hususani wasomi!
 
Back
Top Bottom