The patriot man
JF-Expert Member
- Aug 16, 2015
- 1,119
- 1,425
Nimekaa nikatafakari nikaangalia Uwongozi huu mama Samia utatupeleka nchi ya ahadi wako serious hawaigizi kabisa pleas please Dec 9 tusiandamane tumpe mama mda nina Imani naye kubwa sana.
Yaliyotokea ni mabaya sana ila Ameshajirekesha maana ndo mara yake ya kwanza so hakujua namna nzuri ya kukabiliana na jambo hilo zito.
Yaliyotokea ni mabaya sana ila Ameshajirekesha maana ndo mara yake ya kwanza so hakujua namna nzuri ya kukabiliana na jambo hilo zito.