Nilikuwa napitia mitandao ya kijamii nikakuta mtu ameweka post well come to thanks giving dinner. Nilishtuka kulikuwa Na picha ya mapochopocho Na ile picha imepigwa eneo fulani DSM. Swali watu tunafahamu haswa hii sikukuu Na maana yake au sisi ni right peoples ni wrong country. Mimi nadhani watanzania tubabadilike kwani huwezi ukawa mmarekani Kwa Hali yoyote sikukuu ya thanks giving ni Kwa wamarekani tu ni kama vile tisa December usema wachina washeherekee tuacheni ujinga Na ni ushamba kusheherekea sikukuu isiyo kuwa yako sababu ya kuipenda America fungukeni sasa
You can't stop the reign.
Nenda Japan huko uone nchi ya ma Buddhist na ma Shinto wanavyoshadadia Christmas kuliko nchi nyingine za Kikristo. Na hiyo sikukuu ya kidini.
Maisha mafupi, Al-Qaeda wanaweza kukulipua Westgate style any minute, ngoma nje nje, ajira hakuna, matumaini hakuna, matetemeko ya ardhi na maafa ya nuclear si ajabu, watu wanatumia kila nafasi kusheherekea.
Kama vipi susia na internet utengeneze yako ya vibatari.
Hata hii internet unayotumia ni kugeza Wamarekani, wao ndio walioianzisha.
Kuna Wamarekani wengine hawafagilii hiyo Thanksgiving vilevile. Malcolm said they did not land on Plymouth Rock, Plymouth Rock landed on them.
Mtu anaanza kes kukuuliza "do you celebrate thanksgiving?", ukimwambia "yes" ndiyo anapata licence ya kusrma "Happy Thanksgiving". For all they know one could be a radical Muslim out of Philly, embracing separatist neo Nation of Islam doctrines and very American.
Do you, and let others do them.
Hata wakitaka kusheherekea Fourth of July instead of Ninth of December kivyao.
Labda wanawezeshwa "kwa msaada wa watu wa Marekani", utajuaje?
Utamlazimishaje mtu mwingine aishi unavyotaka wewe?