Nyani Ngabu Platinum Member Joined May 15, 2006 Posts 98,017 Reaction score 142,861 Jul 6, 2026 Thread starter #21 Pulchra Animo said: That ain’t happening. Simuoni akiingia Ulaya au Marekani in the foreseeable future! Click to expand... It looks like you were right!! 😂
Pulchra Animo said: That ain’t happening. Simuoni akiingia Ulaya au Marekani in the foreseeable future! Click to expand... It looks like you were right!! 😂
100 others JF-Expert Member Joined Aug 5, 2017 Posts 10,236 Reaction score 36,606 Jul 6, 2026 #22 narogo said: Haiwezekani aende Ulaya. Huku mlishatuaminisha atakamatwa. Unless mtuambie huko nyuma mliwadanganya wafuasi wenu Click to expand... Umejuaje kama aliitwa mtegoni... Ndio maana tulishangaa amefikaje hajafukuzwa... katuma muwakilishi..
narogo said: Haiwezekani aende Ulaya. Huku mlishatuaminisha atakamatwa. Unless mtuambie huko nyuma mliwadanganya wafuasi wenu Click to expand... Umejuaje kama aliitwa mtegoni... Ndio maana tulishangaa amefikaje hajafukuzwa... katuma muwakilishi..
0 004 JF-Expert Member Joined Sep 12, 2024 Posts 1,782 Reaction score 2,645 Jul 6, 2026 #23 Mbaga Jr said: Samia alianza vzr Sana aisee, cjui alipandwa na shetani gani aisee au ndo ukiwa mamlakani unakuwa kipofu Click to expand... Hata kwenye NDOA wanawake huwa wanaanza vizuri sana, wakishasoma ramani zako zote hakuna RANGI utaacha kuiona ............ kama SAMIA tu
Mbaga Jr said: Samia alianza vzr Sana aisee, cjui alipandwa na shetani gani aisee au ndo ukiwa mamlakani unakuwa kipofu Click to expand... Hata kwenye NDOA wanawake huwa wanaanza vizuri sana, wakishasoma ramani zako zote hakuna RANGI utaacha kuiona ............ kama SAMIA tu