Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,988
- 142,400
Oktoba 28 ulisema hivyo hivyo.Hakuna wa kuandamana. Period.
Nakuambia kama hao vijana wana miili ya chuma basi hatuandamani.Hakuna wa kuandamana. Period.
Well, I don’t know.That ain’t happening. Simuoni akiingia Ulaya au Marekani in the foreseeable future!
Hii ni kweli?
Ndiyo kiongozi, ni kweli.Hii ni kweli?
Hawa sasa hivi wanatafuta kujipendekeza EU kwa namna yeyote ile.
Bado hakuwa exposed vzr tuweze kuona ujinga wake!Samia alianza vzr Sana aisee, cjui alipandwa na shetani gani aisee au ndo ukiwa mamlakani unakuwa kipofu