Watanzania msiipigie kura CHADEMA 2015

Kwa Afrika ni nadra upinzani kuleta maendeleo. Mfano halisi angalia Kenya ambapo hao raia waliouweka upinzani madarakani uliwasbabishia matatizo makubwa na hatimaye umefikia hatua ya kuwafukuza wafanya kazi wa sekta ya afya. Hii haikubaliki, mfano tizama jinsi chama cha mapinduzi kinavyo fanya mambo kwa kufuata sheria na ni chama kivumilivu. Nasaha zangu, watanzania msibabaishwe na vyama vya upinzani. Tujenge nchi na CCM!!

Ng`wanakidiku,

Propaganda kama hizi ziliwahadaa watanzania mwaka 1995.Hii digital generation haiwezi kudanganyika kirahisi kiasi hiki.Sasa hivi watanzania wanajua ni nini wanachotaka,wanajua ni kitu gani wanakosa ukilinganisha na wenzao wa nchi nyingine.Kipindi kile utandawazi ulikuwa haujapata nguvu,sasa tunashuhudia hadi popular uprising ikiwa catalysed vizuri kwa kutumia social networks like Twitter,Facebook,Orkut na kwa hapa kwetu tunashuhudia jinsi mitandao kama Jamii Forums inavyowapa headache watawala,

Tafadhali unapoleta upotoshaji hapa ujiandae vizuri,Mbona hutoi mfano wa demokrasia iliyokomaa kutoka Ghana ambayo imebadilisha serikali mara kadhaa? Mbona hutoi mfano mzuri wa Zambia ingawa MMD kilikua chama cha upinzani kilichondolewa na chama kingine?Unapopotosha katika mazingira kama haya kwa mfano kuhusu ishu ya Zambia,ni lazima uwaeleze watu ukweli kwamba MMD waligeuka kuwa chama-mabavu (dictatorial Party) dhidi ya upinzani.Chama cha Patriotic Front cha Comrade Sata kinafanya vizuri so far.

Badala ya kuwakataza vijana wa Tanzania ambao kwa hali ilivyo sasa hawazuiliki,washauri CCM muda utakapofika waachie madaraka kwa amani.Washauri wafuate njia ya rupia Banda na chama cha MMD,washauri wafuate njia ya John Kuffour na Nana Addo-Akufo wa Ghana alivyompisha mpinzani Prof.John Evans Atta-Mills.Ghana is rocking.Usiwashauri CCM kufuata njia ya Laurent Gbagbo

CCM imekaa madarakani muda wote huo,nakushangaa unatumia nguvu nyingi kuwashawishi watu wasiichague chadema.kama CCM ni chama kizuri na chenye sera nzuri dhidi ya umaskini,ujinga, Maradhi na sasa kuna adui mwingine Ufisadi ni kwa nini watumie nguvu nyingi kiasi hiki?Si watanzania tayari wangekuwa wameshajua uzuri wa chama hicho?

Jumuiya za chama cha mapinduzi si zile tulizozoea tena yaani jumuiya za vijana (UVCCM) ,Jumuiya ya umoja wa wanawake (UWT) nk. Jumuiya halisi ni CCM-EPA,CCM-MEREMETA,CCM-RICHMOND,CCM-IPTL,CCM-DOWANS,CCM-KAGODA,CCM-UDA,CCM-RADA nk, Hizi ndizo jumuiya halisi zilizoko kazini ndani ya CCM.Kama jumuiya hizi zitakisaidia chama na kushinikiza sera zitakazoijenga nchi dhidi ya CHADEMA basi hilo kundi la watu unaowapa ulichokiita 'Nasaha' lina tatizo.Kama ujumbe wako ulikuwa umelenga Audiance ya watu wa Mirembe then JF is not the right place.

Kwa hiyo tuchukulie kwamba ni ujumbe uliotumwa sehemu kwa makosa,ume-land kwenye wrong Audiance !pole......
 
Kwa Afrika ni nadra upinzani kuleta maendeleo. Mfano halisi angalia Kenya ambapo hao raia waliouweka upinzani madarakani uliwasbabishia matatizo makubwa na hatimaye umefikia hatua ya kuwafukuza wafanya kazi wa sekta ya afya. Hii haikubaliki, mfano tizama jinsi chama cha mapinduzi kinavyo fanya mambo kwa kufuata sheria na ni chama kivumilivu. Nasaha zangu, watanzania msibabaishwe na vyama vya upinzani. Tujenge nchi na CCM!!
mmm!!! umbea 2 yanakuhusu alafu mapema sana na huu mgomo wa ma dr ukipata ajari utafika 2015 kweli:peep:
 
Kwa Afrika ni nadra upinzani kuleta maendeleo. Mfano halisi angalia Kenya ambapo hao raia waliouweka upinzani madarakani uliwasbabishia matatizo makubwa na hatimaye umefikia hatua ya kuwafukuza wafanya kazi wa sekta ya afya. Hii haikubaliki, mfano tizama jinsi chama cha mapinduzi kinavyo fanya mambo kwa kufuata sheria na ni chama kivumilivu. Nasaha zangu, watanzania msibabaishwe na vyama vya upinzani. Tujenge nchi na CCM!!

Unawashwa wewe unahitaji kukunwa
 
Aargh, nilidhani JF ni ya Great thinkers tu kumbe hata na wenye mfumo wa kufikiri kama huyu wamo!
Anatuhamasisha tuendelee kuwachagua wezi, vibaka, walaghai, vibakauchumi na wahuni wakubwa walioigandamiza nchi,kuifilisi na kutufikisha hapa tulipo? Tuendelee kuwachagua majambazi waliogawana na kuigawa kwa wageni ardhi yetu, waliouza na kuuziana viwanda, migodi, waliodiriki kukwapua fedha hadi kwenye kihenge cha taifa (Benki Kuu) hadi kugawana nyumba za serikali! Waliobuni na kuutumia vema msemo wa "kuchakachua" yaani kukwapua na kugeuza cha kwako kwa ustadi wa hali ya juu na kuziambukiza karibu asasi zote za kitaifa hivi kuligeuza taifa letu kuwa la majambazi na matapeli? Ni asasi ipi basi haijachakachuliwa au isiyojua uchakachuaji? Wizi wa mchana, ulaji rushwa wenye baraka za chama hiki umetamalaki katika kila asasi kiasi cha kutufanya watanzania kutoaminiana tena! Tuhuma za wizi, uhalifu zinawasakama karibu viongozi woote chini ya chama hiki na hakuna wa kumwamini kuanzia Rais hadi tarishi! Ni kichaa tu anayeweza hamasisha watu kuendelea kuchagua uongozi wa sampuli hii.
 
Hayo ni mawazo mgando...unaangalia shm ya weakness ndo unatoa mfano...Zambia umeona kinachotokea...we vp mkuu...kazi umagamba tu...
 
Kwa Afrika ni nadra upinzani kuleta maendeleo. Mfano halisi angalia Kenya ambapo hao raia waliouweka upinzani madarakani uliwasbabishia matatizo makubwa na hatimaye umefikia hatua ya kuwafukuza wafanya kazi wa sekta ya afya. Hii haikubaliki, mfano tizama jinsi chama cha mapinduzi kinavyo fanya mambo kwa kufuata sheria na ni chama kivumilivu. Nasaha zangu, watanzania msibabaishwe na vyama vya upinzani. Tujenge nchi na CCM!!

Kwenye siasa zilizo kwenye mfumo wa vyama vingi vyama visvyoounda serikali ndo uitwa vyama pinzani (this notion is tempolary kwani hao watawala nao wanawezaa wakaondolewa through ballot box)

Wewe wanakidiku umekitaja CDM kama ndo vyama vyoote vya upinzani, kwa sababu ndo chama kinachowanyima CCM usingizi. Umechafua JF kwa kuleta mada isiyokuwa na kichwa wala miguu. Chama cha kifisadi kabisa CCM kimeshindwa chenyewe kuwavua magamba kama walivyojinasibu.

Hivi CCM inawezaje kujisfifu wakati siwezi kwenda Kigoma kutoka Dar, Mwanza, Bukoba, Mpanda kwa basi nikafika siku hiyo hiyo. Shauri yako na ufinyu wako wa kuelewa mambo, unawabeza waKenya naona hujui ni nini wanachofanya kuiletea maendeleo nchi yao.
 
mtu anaitwa kiduku duuuu!
tuheshimiane wakuu haya ndo matusi sasa
BORA MIMI NAMUITA HUYU NI KILAZA NA HII NI SIFA YAKE TAFADHALI!
 
Chadema mpango mzima. Magamba subirin tuchukue kisu tuyakwangue 2015. Peoplez........power.
Watz msikubal kubakwa na siasa uchwara za mafisadi.
1.ccm ni chama cha mafisadi
2.magamba
3.majambazi
na kimeshindwa kazi. Mfano mzur watz wengi wanakufa kwa tatizo la mgomo wa madoctor, kisa ccm.
2015, chadema 1
 
Kwa Afrika ni nadra upinzani kuleta maendeleo. Mfano halisi angalia Kenya ambapo hao raia waliouweka upinzani madarakani uliwasbabishia matatizo makubwa na hatimaye umefikia hatua ya kuwafukuza wafanya kazi wa sekta ya afya. Hii haikubaliki, mfano tizama jinsi chama cha mapinduzi kinavyo fanya mambo kwa kufuata sheria na ni chama kivumilivu. Nasaha zangu, watanzania msibabaishwe na vyama vya upinzani. Tujenge nchi na CCM!!
BASI TWENDENI KENYA.kENYA SIO tANZANIA NA tANZANIA SIO KENYA
 
Kwa Afrika ni nadra upinzani kuleta maendeleo. Mfano halisi angalia Kenya ambapo hao raia waliouweka upinzani madarakani uliwasbabishia matatizo makubwa na hatimaye umefikia hatua ya kuwafukuza wafanya kazi wa sekta ya afya. Hii haikubaliki, mfano tizama jinsi chama cha mapinduzi kinavyo fanya mambo kwa kufuata sheria na ni chama kivumilivu. Nasaha zangu, watanzania msibabaishwe na vyama vya upinzani. Tujenge nchi na CCM!!

Kwa mtazamo wako magamba ndio jibu la matatizo ya tz, hivyo bas mshawish mpenzio mwendelee kuwa magamba. kwa watz wasiopenda kuwa na magamba maana magamba ni uchafu, chadema ndio nguvu ya umma. 2015 chadema ndio jibu la tz husika tunayoitaka.
 
Kwa Afrika ni nadra upinzani kuleta maendeleo. Mfano halisi angalia Kenya ambapo hao raia waliouweka upinzani madarakani uliwasbabishia matatizo makubwa na hatimaye umefikia hatua ya kuwafukuza wafanya kazi wa sekta ya afya. Hii haikubaliki, mfano tizama jinsi chama cha mapinduzi kinavyo fanya mambo kwa kufuata sheria na ni chama kivumilivu. Nasaha zangu, watanzania msibabaishwe na vyama vya upinzani. Tujenge nchi na CCM!!
Usinielewe vibaya hivi wewe ubongo wako unaanza kufanya kazi kipindi gani??au wakati unaandika hii thread kweli unahuakika ulichokiandika kweli??nawasiwasi na wewe yawezekana mda huo ubango wako ulikuwa umetulia tuli ulikuwa chini umeganda juu maji hivyo basi. you should shake be use!!
 
Kwa Afrika ni nadra upinzani kuleta maendeleo. Mfano halisi angalia Kenya ambapo hao raia waliouweka upinzani madarakani uliwasbabishia matatizo makubwa na hatimaye umefikia hatua ya kuwafukuza wafanya kazi wa sekta ya afya. Hii haikubaliki, mfano tizama jinsi chama cha mapinduzi kinavyo fanya mambo kwa kufuata sheria na ni chama kivumilivu. Nasaha zangu, watanzania msibabaishwe na vyama vya upinzani. Tujenge nchi na CCM!!

Sister Mwanaasha in action. I love you dear. Keep up your dream.
 
Kiduku umechelewa angalia kesho uzinduzi huko arumeru ndio utajua jinsi ulivyochelewa.
 
Kwa Afrika ni nadra upinzani kuleta maendeleo. Mfano halisi angalia Kenya ambapo hao raia waliouweka upinzani madarakani uliwasbabishia matatizo makubwa na hatimaye umefikia hatua ya kuwafukuza wafanya kazi wa sekta ya afya. Hii haikubaliki, mfano tizama jinsi chama cha mapinduzi kinavyo fanya mambo kwa kufuata sheria na ni chama kivumilivu. Nasaha zangu, watanzania msibabaishwe na vyama vya upinzani. Tujenge nchi na CCM!!

So sad kwa ***** wako uliouweka hapa sitashangaa nitakapouliza umri wako ukanijibu ni mzee ambao ndo jk anapenda kukutana na nyie na kuwamwagia propaganda zake zisizokuwa za msingi na hazina maendeleo
 
Humu ndan kuna vilaza ambao kama ni degree basi waliingia kwa VIDU(viwango duni). Hawa Idd Amin na Hitler alikuwa anawatumbukiza victoria ama firing squad respectively. Mjinga wewe unafananisha Kenya, acha upuuzi wako. Kenya wamezindua ujenzi wa Bandari ya Lamu ambayo ni ya pili afrika baada ya ile ya Durban S. Africa pia wamezindua Ujenzi wa reli. Nyie na ccm mmefanya nini? Acha ushabiki wa babu yako bibi yako wewe. Have ur freedom of action gentleman
 
Back
Top Bottom