RealMan
JF-Expert Member
- Nov 9, 2010
- 2,367
- 1,388
CCM ipo juu, hata wabishi hilo mnalijua! Haikurupuki ktk maamuzi!
Najaribu kuamini kwamba unafanya utani ili kuwapunguzia watu stress.
Kenyans are miles ahead, Jomo Kenyata sasa ndo hub ya East Africa, wanajenga Lamu port ili iwe hub (meli kubwa zitaishia pale kwetu vitakuja vibajaji tu). Tunapontential ya kufanya makubwa lakini tumekalia uchumi: Fikiria Tanzania ikipiga miradi ifuatayo:
1. Reli ya uhakika DAR - Kigali au DAR - Bujumbura
2. Bandari ya Tanga ina advantage kuliko Lamu - Tanga iwe hub ya ukanda huu
3. Reli ya Tanga Musoma
4. Barabara ya uhakika from Mtwara to Malawi border
5. Weka uwanja wa ndege wa kimataifa Mwanza (for Rwanda, Uganda, Burundi and Eastern Congo connectivity).
6. mengine mengi tu............
CCM tumewaona kwa 50 yrs wacha wengine waje and in this case ni CDM.
By the way Ng'wana = Mtoto wa... Kidiku = Masika. Bila shaka wewe ni Ngosha....