Watanzania mbona tuko kimya mpaka wazungu waandamane kwa ajili yetu?

chidide

Member
Nov 11, 2010
91
9
IMG_8710%25282%2529.JPG

HIVI WATANZANIA TUMEROGWA? HATUONI AIBU WATU WENGINE WAANDAMANE KWA AJILI YA HAKI YETU. SIJASIKIA KIONGOZI YOYOTE WA NCHI HII AMBAYE AMEONYESHA UCHUNGU KWA KUIBIWA NA HAWA BAE. THIS MEANS VIONGOZI WETU WANAHUSIKA KWA NAMNA MOJA AU NYINGINE KATIKA KASHFA HII.

YAANI WATU WENGINE NDIO WANAKUWA WANATUTONGOZEA TUPATE HAKI ZETU NA SISI TUMEKAA KIMYA KAMA MAJUHA. NO NO NO NO NO LAZIMA KITU KIFANYIKE HAPA. TUKIUNGANA TUTAWEZA, NCHI YETU INAPELEKWA PABAYA NA SISIS TUMEKAA KIMYA TU KAMA MAJUHA!

\NASEMA TENA NO NO NON NO INAUMA SANA!!!!!!!!!!!!!!!
 
We do have fierce loyalty and confidence in JK and his administration, so we don't care what others say about our country. Go CCM Go JK!!
 
We lala tu mkuu, ng'ata pillow hasira ipungue. Wanaoweza kuandamana hawana uwezo wa kufika Hapa janvini na hivyo hawaelewi undani na upana wa hilo jambo unaloongea. Si umeona walivyotingisha arusha hadi palisi mamluki wakakodishwa?
 
Organize mgomo tutakuunga mkono. Sio maneno mengi wakati wewe mwenyewe huchukui hatua.
 
Tatizo ni mfumo wa siasa ya ujamaa uliobobea kwenye bongo zetu....itachukua muda mpaka kugundua kuwa kamba ya ujamaa ilishakatwa.....kwa hiyo usishangae kuwa bado tuko katika usingizi wa pono! Matatizo tuliyonayo ingekuwa nchi zingine pangekuwa hapatoshi! Bado tunadumisha "amani na utulivu" hasa ukizingatia Tanzania ni "kisiwa cha amani".
 
hiyo kansa ya ujamaa ikipatiwa tiba , tutapona, kwa hali ya sasa tanzania it is assumed kila mmoja ana good life!!
 
Umasikini, ujinga na kutojari kwa watz. Nchi haiwezi kukombolewa lazima watu wajitoe mhanga kama inavyotokea Arusha, na watatumia hila zote wizi wa kura, kufisha tarehe za uchaguzi na ikishidikana watafanya kama Rais mshenzi wa Ivory Coast.

Siku kizazi kinachothamini utu wake kikizaliwa nchii itakuwa huru na si vinginevyo.
 
We do have fierce loyalty and confidence in JK and his administration, so we don't care what others say about our country. Go CCM Go JK!!

another ********* inside JF ...... Rev Mtikila .. where are you?
 
Bila shaka walikuwa hawaandamani kwa niaba ya watanzania bali waliandamana kupinga makampuni yao kutuibia watu maskini.
 
We do have fierce loyalty and confidence in JK and his administration, so we don't care what others say about our country. Go CCM Go JK!!

hili dude siku zooote humu ndani kazi kutugea wenzake mihasira tu...raj...i wish i know you man.......
 
We do have fierce loyalty and confidence in JK and his administration, so we don't care what others say about our country. Go CCM Go JK!!

Mode, is it allowed to make vote of "no confidence" to particular jf members to keep them out, starting with this gy Patel?
 
Back
Top Bottom