Watanzania mbona tuko kimya mpaka wazungu waandamane kwa ajili yetu?

We do have fierce loyalty and confidence in JK and his administration, so we don't care what others say about our country. Go CCM Go JK!!

You mean you have fierce.... BLIND loyalty to your so called JK and his admin'???? It's no wonder you don't care about others who ill speak about your JK and..... whatever!!!!!
 
Ndugu zangu,
Inaskikitisa na inatia uchungu bt yote ni kwa sababu ya misingi mibovu tuliojengewa tangia tukiwa wadogo.. Kwanza anglia familia zetu., majority tumekuwa katika familia ambazo mtoto hasikilizwi chochote, yeye ni kusikiliza anchoambiwa na kutii amri bila kuuliza chochote. Mtoto akiuliza chochote anachapwa fimbo, akibisha kidogo anachapwa fimbo na kugombezwa. Unajua matokeo yake ni nini psychologically na akikua? Shuleni nako hali inaendelea hivyo hivyo, mwalimu akisema amesema, akiuliza swali darasani ukajibu na bahati mbaya ukawa umekosea jibu unabezwa na kuchapwa mbele ya wanafunzi wenzio hali imeendele hivyo mpaka sekondari kwa tuliobahatika, no room to express yourself free of fear.. WOGA, KUTOJIAMINI, INFERIORITY.. na matokeo yake incompetence na uzembe.

Nakumbuka mwalimu wangu mmoja (jina namhifadhi) wa somo la sayansi shule ya msingi akiwa anafundisha darasani aliuliza swali; 'Ukivuta hewa nini kinatokea?' Nilinyoosha mkono kujibu; nilikuwa peke yangu, mwalimu alipoona akauliza tena jamani ina maana wengine hamjui chochote kuhusu swali hili. Mwanafunzi mwenzangu aitwae Nicko akanyoosha mkono ili ajaribu, akajibu; ukivuta hewa mapafu yanasinyaa.. Kusikia hivyo mwalimu alikasirika sana na kutuchapa darasa zima eti ni wazembe badala ya kumtia moyo kwa kujaribu. Unadhani wanafunzi watakuwa free kujaribu tena..?

Matokeo yake jamii yetu imejengwa katika hali ya woga na kutojiamini., Every time watu wanaogopa kukosea, kukosolewa, kubezwa na kuadhibiwa.. Ndio maana hata kudai haki zetu za msingi inakuwa shida..
IT IS A CIRCLE., MEET YOU IN THE OTHER TURN...
 
IMG_8710%25282%2529.JPG


HIVI WATANZANIA TUMEROGWA? HATUONI AIBU WATU WENGINE WAANDAMANE KWA AJILI YA HAKI YETU. SIJASIKIA KIONGOZI YOYOTE WA NCHI HII AMBAYE AMEONYESHA UCHUNGU KWA KUIBIWA NA HAWA BAE. THIS MEANS VIONGOZI WETU WANAHUSIKA KWA NAMNA MOJA AU NYINGINE KATIKA KASHFA HII.

YAANI WATU WENGINE NDIO WANAKUWA WANATUTONGOZEA TUPATE HAKI ZETU NA SISI TUMEKAA KIMYA KAMA MAJUHA. NO NO NO NO NO LAZIMA KITU KIFANYIKE HAPA. TUKIUNGANA TUTAWEZA, NCHI YETU INAPELEKWA PABAYA NA SISIS TUMEKAA KIMYA TU KAMA MAJUHA!

\NASEMA TENA NO NO NON NO INAUMA SANA!!!!!!!!!!!!!!!


Sisi tumejaa uwoga, hatuwezi kutenda kitu. Kila mtu anajifanya ni usalama wa taifa! Lol
 
Back
Top Bottom